Big

4.4K posts

Big

Big

@zed_ogtz

MUUZA MCHELE

Katılım Temmuz 2021
936 Takip Edilen2.6K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Big
Big@zed_ogtz·
Mmeshakula Wali Wakuu Mkujee😇 Nipigieni Simu Wakuu Au Nijiue😭😭 Basi Naomba Repost Yako🤝🙏🏾🙏🏾
Big tweet media
Big tweet media
Indonesia
5
45
70
6.2K
Big retweetledi
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Arsenal wamechukua ligi sawa… lakini mchezaji anayetikisa headlines bado ni Bruno Fernandes 😂🔥
MJUKUU (Fan) tweet media
Indonesia
14
21
43
544
Big retweetledi
Placide Trevor🇧🇮
Placide Trevor🇧🇮@PlacideTrevor·
Arsenal ikipeleka UEFA da hatutawapona😂😂
Indonesia
0
1
6
109
Big retweetledi
Eng.Harrison HR
Eng.Harrison HR@Buberwa_·
Kidogo usiku upite bila kula ila Dodoma 🙌🏻
Eng.Harrison HR tweet media
9
4
26
1.8K
Big retweetledi
𝙓𝙨
𝙓𝙨@Excess300·
Nani yupo Karibu na hapa tuzinese?
𝙓𝙨 tweet media
14
12
48
880
Big retweetledi
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Demu anashangaa inakuaje tuko talking stage Halafu zimepita siku tatu tangu aone sms yangu. Dada mimi nina majukumu, kuna watu wanao nitegemea, muda mwingine nachoka na harakati zangu. Kama unatafta mwanamme wa kukumbusha namna gani ulivoumbika Kila siku tafuta mabishoo wenzio
Indonesia
14
29
132
4.6K
Big retweetledi
Eng.Harrison HR
Eng.Harrison HR@Buberwa_·
Hapa ndo sehemu pekee utamuona chezaji la AssNo 😂😂
Eng.Harrison HR tweet mediaEng.Harrison HR tweet mediaEng.Harrison HR tweet media
Indonesia
10
7
37
1.7K
Big retweetledi
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Moja ya mambo yanayoniuma sana ni kuona karibu kila mradi mkubwa wa kimkakati nchini unakuwa na sura ya WORLD BANK, hadi huwa nahisi kama wao ndiyo wamefikiria maendeleo yetu kuliko sisi wenyewe 😄. Utasikia: “Huo ni mradi wa World Bank.” Yani kama vile sisi hatuna mawazo, mipango wala vipaumbele vyetu wenyewe 😁. Sasa kama wanatukopesha tu pesa, kwa nini miradi ionekane ni yao kabisa? Kwa nini isiwe miradi yetu ambayo wao wamechangia ufadhili tu? Maendeleo ya nchi yanapaswa kuwa na sura ya Watanzania kwanza, si ya wakopeshaji .🤷🏾‍♂️ Nyie mnaona ni sawa hili.?
Filipino
31
2
28
4.1K
Big
Big@zed_ogtz·
Kuna Mganga Anasema Utajiri Upo Ila Kwa Mashariti! Kwanza Ukae Kwake Miezi 6 Bila Kuwasiliana Na Mtu Yoyote Hapo Unakua Unaoga Dawa Pamoja Na Chale Mwilini Miezi 6 Ikiisha Kunadawa Ya Kuoga Njiapanda Mchana Anakuruhusu Uondoke Ila Ukilala Na Mwanamke Hakuna Kumrudia Mpo😁
Indonesia
17
26
142
8.9K
Big retweetledi
Wisdom
Wisdom@whiz93·
@zed_ogtz Pole mzee cku iz mapenzi ni kama unacheza aviator
1
1
1
34
Big
Big@zed_ogtz·
Mapenzi Huwa Ya Ajabu Sana Unaweza Ukaamua Kujitoa Kwa Mtu Kwa Kila Kitu Kumbe Yeye Hana Hesabu Na Wewe Anaangalia Interest Zake Tu Ajui Kama Anakuharibia Mipango Yako😭💔🙌🙌
Indonesia
7
12
51
1K
Big retweetledi
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
@zed_ogtz Kwenye mahusiano usiingie mazima, ingiza akili kidogo, viungo vya uzazi na moyo robo
Indonesia
0
1
3
77