Eng. Zawadi Samsoni

78.9K posts

Eng. Zawadi Samsoni banner
Eng. Zawadi Samsoni

Eng. Zawadi Samsoni

@Eng_ZSamsoni

A friend

Moshi, Tanzania 参加日 Nisan 2022
4.7K フォロー中3.7K フォロワー
固定されたツイート
Eng. Zawadi Samsoni
Eng. Zawadi Samsoni@Eng_ZSamsoni·
Tunaomba radhi kwa ushindi mwembamba tulioupata leo dhidi ya Arsenal. Tutajitahidi kufanya vizur zaidi katika mechi zetu zijazo. Ahsante 😎
Eng. Zawadi Samsoni tweet media
Indonesia
7
6
17
561
Eng. Zawadi Samsoni がリツイート
Ismail
Ismail@Mofey203·
Natongozwa sana Dm na wazungu nifanyaje?
Ismail tweet media
Polski
24
17
55
2.1K
Eng. Zawadi Samsoni がリツイート
Eng.Harrison HR
Eng.Harrison HR@Buberwa_·
Mwanaume unaweza ukawa ndo umefukuzwa kazi, mke akakuuliza siku yako ilikuaje na ukamjibu Mungu ni mwema. Ukaenda kulilia bafuni machozi yasionekane.
Eng.Harrison HR tweet media
Indonesia
3
9
46
1.1K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
1. CDM imeruhusiwa kufanya siasa 2. TAL atatoka soon!! 3. Then watakaa mezani 4. Tume ya J.Chande itakabidhi report. 5. Report itakuwa iko balanced, Itaipiga gavoo kimtindo(Kwa mbali) 6. Mchakato wa katiba mpya utatangazwa kuanza rasmi!! Lengo kuu ni 👇🏻 Let’s buy time till 2030!! Miaka mitano ni mingi sana lazima tuwe na activities za kuwaonyesha matumaini hawa raia hadi tufike 2030!! Sasa unajua mchawi ni nani? Mchawi ni ile namba 3 pale juu 👆 Pale kwenye kukaa mezani pale ndio panaenda either kusupport au kuvuruga hii plan!!
Indonesia
111
311
2.2K
169.8K
𝐳𝐚𝐦𝐨_𝐭𝐳
Nilikuwa na 20k sijui dira ya mbeleni kutokana na utafutaji wangu Wife mkubwa nikampa 10k akanunua unga kilo kadhaa,dagaa,nyanya na mafuta ikabiki 1k Wife mdogo naye nikampa 10k yeye nikakuta kanunua nyama ½,mchele na viungo vyake na Fanta mbili za baridi pesa yote kwisha
Indonesia
10
15
109
5.9K
Eng. Zawadi Samsoni がリツイート
Ismail
Ismail@Mofey203·
Hakuna shida hao wanaodhaniwa ni Askari Mungu Atawaadhibu Yeye Kwa Namna Yake 😭😭
Ismail tweet media
Indonesia
16
50
180
1.8K
Eng. Zawadi Samsoni がリツイート
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Kwa mujibu wa Jaji Kiande, Master Tindwa alipigwa risasi akauwawa akiwa nyumbani kwake sababu alilipwa na akapewa mafunzo ya kuandamana. Keep resting in peace, Master! What a sad day for us!!
Tito Magoti tweet media
Filipino
37
316
1.7K
25.3K
ngumigani?
ngumigani?@ngumigani·
Sio kama sizioni post zako ila najishauri nikoment nn
ngumigani? tweet media
1
1
3
88