Sabitlenmiş Tweet
Eng.Harrison HR
74K posts

Eng.Harrison HR
@Buberwa_
Expert Structural Engineer #Gemini
Arusha, Tanzania Katılım Ağustos 2014
8.4K Takip Edilen8.4K Takipçiler

@INFLUENCERjr Sisi ndo sababu ya wao kubaguliwa hawawez kutupenda.
Indonesia

@George_Ambangil @JMariotz Mwanaume anatakiwa endesha gari za kiume kaka kama;
1.Prado
2.Discovery
3.Benz
4.Hilux
5.Fortuner
6.Ford
7.Crown
8.Subaru
Ila za kike sio aise kama;
1.Anaconda
2.Tako la nyani
3.Vanguard
4.Dualis
5.Mazda CX5
6.Evoque
7.Juke
Eesti

Hivi kwanini almost (80-90)% ya Anaconda nyingi barabarani zinaendeshwa na wanawake (basing on my research ya haraka haraka), Is it a new Dualis?
NOED.@Noedson_tz
Aisee Toyota Anaconda (nyeupe) ina AURA balaa 🙌🙌🙌
Indonesia

Nimetoka IG sasa hivi..
Nimekutana na mzungu anasema kuwa Amehama Zanzibar kwa sababu ya Umeme Kukatika katika
Watu wakamsema vizuri kwa Comments,
Part 2 akasema alitoka na mmasai akazaa nae then wakati analea mtoto mwamba akampiga Tukio (Aka cheat)
Kwenye kuendelea kulea mtoto mwaba akawa anakuja kumuomba msamaha yule mzungu.
Mwishowe Mmasai akapoteza kazi aliyokuwa anafanya akaja kuomba awe anaishi na Mzungu.
Mzungu akagoma.
Akamchukua binti yake waka kwea pipa kwao Ujerumani 🙆♂️🙆♂️
Ndo akaanza kuichafua nchi
Sasa mimi najiuliza kwani mzungu alikuwa hajui kuwa kuwa na "Mwanamke mmoja" haipo kwenye tamaduni za Kimasai? 😅😅
Ila nini Pole sana Ariana.
Mlete mtoto huyo ni damu yetu tutamlea

Filipino

@Buberwa_ @Ngattaboe99 Hapo Kuna "gongo" means ni mgonjwa hafanyi kazi
Filipino


@_zack255 Kimara huwez kutana na setup ya aina ile janja sanuka 😅😅
Indonesia

Born - Morogoro
Raised - Morogoro & Dar
Study - Morogoro & Dar
Live in - Arusha & Dar
Job - Classsified
Job place - Dar/Dodoma/Arusha
Speak - Swahili,English & Japanese
Country Visited - Kenya,Uganda & Japan
Want to Visit - England,Brazil & France
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA@AM_NIC3
Born - Kagera Raised- Different places Parent- Bunju Study - Kagera,Mwanza ,Morogoro,Pwani, Dar Live in- Dar Job- Winga wa kimataifa Jop place - Mikoani tunakufikia Speak- Swahili, Country Visited, Want to visit- PARIS, CHINA ,SOUTH KOREA,JAPAN, AUSTRALIA, GERMANY AND YOU?
Indonesia

@Mwinshehe07 @Ngattaboe99 Na unakuta hakuna kazi ya nguvu anafanya 😅😅
Indonesia

@_zack255 Najua unaona aibu ya kuweka kimara hapo, hama janja watakuchoma kisu huko🤣🤣
Indonesia

















