固定されたツイート
The Mandevu Store
2.5K posts

The Mandevu Store
@Mandevu_Store
Kupendeza ni haki yako ya msingi hapa The Mandevu Store
Dar es Salaam, Tanzania 参加日 Eylül 2022
255 フォロー中9.2K フォロワー
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 38
Anaendelea Jaji Nduguru
Sasa turejeee kwenye hati ya mashitaka tuliyonayo hapa mahakamani.
Anasoma statement of the offence na particulars of the offence kwenye hati ya mashitaka kama vipo au havipo?
Anaisoma hati ya mashitaka yote kuhusu maneno ya kukinukisha ya TUNDU LISSU.
Jaji anaendelea...
Sasa tukishasoma hiyo hati tunapaswa kurudi kwenye sheria.
Statement of the offence tunaona iko clear kabisa imeelezwa kwenye hati ya mashitaka.
Kingine ni Particulars of the offence na sheria pamoja na mashauri ukisoma shauri la Mwaikunda linasema lazima maelezo ya kosa yawe yakutosha ana kueleweka vizuri.
Shauri la Isdory lilisema pia ni muhimu sana kuwepo na reasonable information in relation to the charge.
Anasoma kilichosemwa na Jaji katika hukumu ya hiyo kesi ya Isdory aliyoitaja hapa.
Na hivi basi baada ya kurudi kwenye hati ya mashitaka. Information imeeleza suala la nia ya kushawishi kuzuia uchaguzi mkuu na kutishia utawala.
Nia hiyo imethibitika kwa matendo ya kutamka hayo maneno.
Hoja ya kwamba maneno yanamanifest matendo ni suala la ushahidi.
Tunakubaliana na mshitakiwa kuwa pande zote mbili zinabanwa na pleadings. Hatupaswi kutoka nje.
Tunaungana na mshitakiwa katika kulitatua hilo tusubiri ushahidi huo.
Kifungu cha 138 cha CPA tulikisoma na mshitakiwa alisema hati ya mashitaka kwenye kesi kubwa hivi yanapaswa kutengenezwa kwa mujibu wa kesi hizo tajwa za Grey likungu na Khatibu Gandi.
Mshitakiwa alisema lazima kuwepo na particulars of the offence lazima upande wa mashitaka waonyeshe manifestation na lazima iwe pleaded na ielezwe kama alipublish au vipi na pia lazima overt act ionekane.
Hayo yote yanapaswa kuwa pleaded separately ndio alisema hivyo Mshitakiwa akiwa anaegemea kwenye hayo mashauri mawili ambayo ndio muundo qa kiingereza wenyewe.
Shauri la Grey Likungu kuhusu adoption ya English Procedure (English Mode za kuendesha mashitaka) mahakama ilisema nchi ya Tanzania haibanwi kufuata English Procedure and Practice sio lazima kuifuata inaweza kutafuta utaratibu wake bora zaidi.
Tumeyasema hivi ili kuonesha kuwa mahakama hii haibanwi wala kulazimishwa kutumia mfumo wa kiingereza.
Kwahiyo kifungu cha 135 na 138 vya CPA ndio vitatumika katika kuamua jambo hili na tusiende kwa KHATIBU GANDI na Kwa GREY LIKUNGU.
Tunabanwa na sheria yetu wenyewe.
Hoja ya pili kuhusiana na endapo Hati ya Mashitaka ilifanyiwa amendment. Kimsingi ukisoma kosa la treason linaangukia sehemu ya pili ya Penal Code. (Kanuni ya Adhabu)
Mahakama hii imeyapa uzito mwasilisho ya pande zote mbili. Ambapo kif. Cha 262(1) cha CPA kinazungumza kuhusu mshitakiwa anavyopaswa kupelekwa mahakamani mara baada ya kukamatwa. Apelekwe na Charge.
Ukisoma kifungu hiki ni dhahiri hati ya mashitaka katika makosa ambayo mahakama kuu inasikiliza basi hati ya mashitaka inakuwa ni proposed charge au holding Charge na ita exist hadi siku anapelekwa mahakamani na DPP akiona kuna ushahidi basi atatengeneza hati ya mashitaka nyingine na kuisubmit akiwa na nakala tatu pamoja na viambatanisho.
Kifungu hiki kinasema DPP asome kwanza maelezo ya mashahidi akijiridhisha ndio anaandaa hati ya mashitaka na kuiwasilisha mahakamani.
Kwahiyo hati inayopelekwa mahakama kuu ndio hati halisi ndio mshitakiwa anasomewa wakati shauri lake linapoanza kusikilizwa. Na ndio hati ambayo ilitumwa Kisutu.
Hati ambayo imeletwa hapa mahakama kuu haijawahi kubadilishwa na haina marekebisho yoyote.
Kwahiyo hoja ya kwamba imefanyiwa marekebisho haiko sahihi tunakubaliana na mawakili wa serikali.
Part 39 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
Filipino
The Mandevu Store がリツイート

Kuna video inasambaa mitandaoni ikionyesha Mwalimu akimuadhibu mwanafunzi.
Inayoambatana na barua ya Maalimu mkuu, ya kumfukuza kazi mwalimu huyo.
Binafsi kwenye hii video sijaona kosa la Mwalimu, kwa sababu kijana anaonekana kabisaa amemdharau huyo mwalimu.
Labda kama kuna mwendelezo wa adhabu nyingine ambayo hatujaiona kwenye hii video.
Kama mtaendelea kufukuza walimu kwa namna hii,
mnataka watoto wenu wakue na walezi wanao waogopa watoto?
Video kwa Comments 👇

Indonesia
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート

The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート
The Mandevu Store がリツイート



































