Yonce🌹

4.9K posts

Yonce🌹 banner
Yonce🌹

Yonce🌹

@MsBeyonc

|Accountant| In order to write about life first you must live it🤏

Lithuania Katılım Mart 2022
1K Takip Edilen1.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Yonce🌹
Yonce🌹@MsBeyonc·
Tofauti ya Wewe na unavyotaka kuwa ni kile unachofanya sasa hivi, Be selective.
Indonesia
5
14
38
3.9K
Yonce🌹 retweetledi
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Haya maisha, kama ukiweza kumshika mkono Mtu mmoja atoboe, fanya hivyo. Umasikini ni mbaya!
Indonesia
9
58
199
2.8K
Yonce🌹 retweetledi
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Ikitokea umefariki ghafla, pesa ulizoweka bank/kwenye simu, zitapotea au Watu wako wa karibu wanajua taarifa zako?
Indonesia
16
14
137
6.8K
Yonce🌹 retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Dear April, surprise me with the things I have been praying for.....
English
19
88
169
1.7K
Yonce🌹 retweetledi
TRUST ME BRO
TRUST ME BRO@Mwenyekit_i·
Unaweza kusema mimi sina gari acha mafuta tu yapande lakini oil prices zikienda juu kama hivi tegemea, 1. Nauli kupanda 2. Bei ya vyakula kupanda 3. Maisha ya kila siku kupanda 4. Inflation kuongezeka 5. Kutokukua na kufa kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja. Hili ni letu sote.
Indonesia
7
31
108
1.5K
Yonce🌹 retweetledi
TRUST ME BRO
TRUST ME BRO@Mwenyekit_i·
Ukweli ni kwamba kuna vyumba na meza hautawahi kukaa mpaka ukiwa na pesa nyingi sana.
Filipino
5
16
101
3.4K
Yonce🌹 retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kadri unavyozidi kuishi nae ndo utagundua kwanini ulimkuta Single.
Indonesia
24
45
211
4.9K
Yonce🌹 retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Usijilaumu sana kwa kuchelewa kufika unapotaka kufika. Life sio race ya nani anawahi, ni safari ya nani anadumu. Keep trusting your timing, because not every delay is a denial.
Indonesia
1
16
78
1.3K
Yonce🌹 retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Una Baba/Mama yako au mzee mwenye changamoto hizi •Anasahau majina au vitu vya kawaida •Anapungua uzito bila sababu ya wazi •Hana hamu ya kula kama ilivyokuwa zamani •Analalamika maumivu ya mwili mara kwa mara •Anakuwa mnyonge mnyonge Tiba ni samaki huyu 👇🏼 0762344677
IAmHaule tweet mediaIAmHaule tweet media
Indonesia
2
18
28
3.2K
Yonce🌹 retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kwenye haya maisha nimejifunza jambo moja kubwa sana, know people by your experience sio story za watu. Hata wewe kuna watu wanakuona mbaya na wengine wanakuona mwema.
Filipino
18
108
476
10.3K
Yonce🌹 retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kuna uwezekano mkubwa watoto ambao Mama na Baba wanaishi happy under one roof wakawa wachache huko mbeleni.
Filipino
59
130
919
28.9K
Yonce🌹 retweetledi
888
888@444holywitch·
KUNA MAMBO MANNE MUHIMU SANA UNAPASWA KUACHA KUYAFANYA KUANZIA SASA KAMA KWELI UNATAKA KUONA MABADILIKO KWENYE MAISHA YAKO. Kwanza, acha kujilaumu kwa yaliyopita. Ukweli ni kwamba huwezi kurudi nyuma na kubadilisha kilichokwisha tokea. A THREAD 🧵
Filipino
16
88
334
19.4K
Yonce🌹 retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Things end, people change and life goes on
English
31
79
143
2.5K
Yonce🌹 retweetledi
fifi_catering_service
fifi_catering_service@FamWorld2025·
Destiny za watu wengi zimepotezwa kwa ajili ya aina ya watu shetani anawatumia kuwaleta kwenye maisha yao, kati ya vitu unahitaji kuomba sana ni Mungu akupe watu wake maana katika watu kuna anguko na mafanikio chaguo ni lako, unawezaje kujua mtu ni wa kuzimu au kwa Mungu👇🏻🫵🤝
Indonesia
10
35
129
3.4K
Yonce🌹 retweetledi
‏ٰ
‏ٰ@topsytpff·
Basketball is 10x more interesting than football.😭
English
288
417
2.7K
117.6K
Yonce🌹 retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Ondoka uangaze kwa kuwa Nuru yako imekuja na utukifu wa bwana umekuzukia~Isaya 60:1
Mwinshehe 🕊️ tweet media
Indonesia
45
97
227
2.7K