
Subaru Empire🤴
9.6K posts

Subaru Empire🤴
@RyderWaylon
MONEY LENDER, ICONOCLASTIC PERSON# REASONING & ARGUMENT IS MY SPIRIT# I AM NOT A YES MAN#CHELSEA & YOUNG AFRICANS DIE-HARD FAN.
参加日 Ocak 2022
520 フォロー中512 フォロワー

Havi ni Africa tu ambapo mtoto hutupiwa lawama na wazazi wake kwa jambo ambalo walijichanganya wenyewe? @ema_fundi_nguo @Noedson_tz @AllyAssed13070 @LifeofSteph_1 @ShirimaYvonne
Indonesia

Hao walioandika kodi 50k na wako Dar, kutwa nzima mtandaoni ku-bully na kutukana watu ambao hawawajui.
Sio kwa ubaya. Waambie wajitafakari saaaana.
Steph.@LifeofSteph_1
Mzee, laki na nusu ya chumba kimoja Dar huko kwenu Madaba, Ruvuma unakodi kijiji kizima.
Indonesia

@AllyAssed13070 @Adv_innocent Umemsahau yule LB ambaye raia wa Congo.
Indonesia

Diara.
Mayele
Aziz k.
Pacome.
Aucho.
Max.
Mudathiri.
Hakuna kiongz wa simba aliyewahi sajili quality kama hizi toka tupate uhuru
Dr. Thadeus Mihayo@Dr_Thadeus_19
Mwanetu alikuwaga Anajionaga Florentino Perez wa bongo😂😂😂
Indonesia

Typhoid ukiwa unatumia dawa ndo inakupelekesha kabisa, unaanza kuona haueni kwenye dozi ya mwisho, yaonekana typhoid yako ilikuwa🔥🔥🔥
Sarafina@Finah_Business
Niliumwa typhoid nikachomwa sindano za UTI, bado kidogo nikatae maana sijawahi ugua uti ya kuchomwa sindano🙄, wallahi hali ilikua mbaya bado, mpaka nikabadili hospitali ikawa ahueni🙌
Filipino
Subaru Empire🤴 がリツイート

@iMajeshi_ @Kariakoo_ Are you talking from your own experience?
English

Hakuna mwanamke ambaye huwa anacheat na kondomu.
Mara nyingi huwa wanagongwa bila kondomu na hawabishi.
Imagine mwanamke wako anamwagiwa shahawa na mwanaume mwingine?
Nadhani hii ni moja ya experience mbaya zaidi ambayo mwanaume anaweza kuipitia.
Inauma mno!
Ndio maana ukigongewa mwanamke unayempenda ni ngumu ku-heal.
Filipino


@juliejuleth Duhhh!! Badala ya kutunanga ungetwambia wapi tukashinde.
Indonesia

@MAO_the2nd @MickyJnr__ @fistonmayele9 @YoungAfricansSC Mimi na Jangwani ni sawa na ulimi na mate kaka.
Filipino

Fiston Mayele during the parade. 🇨🇩🔥
He is going to the World Cup. 🌍✨
#AfricanFootball
#DRCongo

English

Hakuna mkoa wenye lodge nzuri na bei chee kuzidi chugaa🤝
M A G I R I@Kiganyi_
Arusha ki lodge cha 40k kipo uchochoroni, katikati ya mabaa yenye mziki mkubwa, no parking. Yani chumba, jagi la kuchemsha maji, tea bags 2 na mbu wa kutosha smh
HT

@Mwinshehe07 @Excess300 lete namba yake nimkanye mkuu. Amefanya jambo la aibu sana.
Indonesia
















