iTrust mobiles Tz

22.4K posts

iTrust mobiles Tz banner
iTrust mobiles Tz

iTrust mobiles Tz

@msafwaOG

phones 📱 dealer| used phones and brand new| whats app 0694223610| ☎️ calls 0752613610

Dar es Salaam, Tanzania 参加日 Ağustos 2020
2.9K フォロー中1.7K フォロワー
固定されたツイート
iTrust mobiles Tz
iTrust mobiles Tz@msafwaOG·
The next day John saw Jesus coming toward him and said, “Look! The Lamb of God who takes away the sin of the world! John 1:29
English
13
16
46
0
iTrust mobiles Tz がリツイート
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Ni umasikini tu, ila hawa wanetu tuliosoma nao kama ndio tunawategemea kama taifa kututibu na kufundisha watoto wetu,.. bhasi tuna hali mbaya, hawa wanetu si tunawajua😂😂💔
The champ👑 tweet media
Indonesia
6
6
27
1.8K
iTrust mobiles Tz がリツイート
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Tunaitaka serikali ituwekee ngazi za umeme Buguruni. Daraja linachosha miguu. Asante.
Indonesia
3
2
17
637
iTrust mobiles Tz がリツイート
Corner King 👑
Corner King 👑@_ThisIsAntony·
Moja ya baraka zinazopuuzwa sana ni kukutana na watu wanaokutakia mema kwa dhati. Hakuna ushindani, hakuna wivu, hakuna weird energy ni support tupu tu.
Indonesia
0
5
11
99
iTrust mobiles Tz がリツイート
evil
evil@eviljordaan·
3 places i love staying 1. home 2. outta peoples business 3. in my own lane.
English
0
4
9
55
iTrust mobiles Tz がリツイート
evil
evil@eviljordaan·
make sure you're disgusted by your own sins as much as you are about others
English
0
3
5
63
iTrust mobiles Tz がリツイート
Alfred Kajuna (S.T.A.R)
Alfred Kajuna (S.T.A.R)@kajuna_alfred·
Money is nice
Tanzania 🇹🇿 English
1
2
9
671
iTrust mobiles Tz がリツイート
Chidinma
Chidinma@Chidinmaccoz·
Someone is about to experience a major breakthrough and divine elevation 🙌💙
English
4
5
62
676
iTrust mobiles Tz がリツイート
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Bongo hata kuanzisha mahusiano lazima uwe na kiingilio.
Indonesia
1
6
33
940
iTrust mobiles Tz がリツイート
Placide Trevor🇧🇮
Placide Trevor🇧🇮@PlacideTrevor·
Maumivu yana muda wake na furaha ina muda wake muhimu ni kuendelea kuwa na imani na subira✍️✍️📌
Indonesia
8
21
48
891
iTrust mobiles Tz がリツイート
Chidinma
Chidinma@Chidinmaccoz·
God’s mercy is bigger than your mistakes and mess. Come to Him today 💙
English
4
14
76
1.1K
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Wawape mtonyo wao ase wamepambana sana🔥
mkadimba jnr@Mkadimbajnr

🚨🇹🇿BREAKING NEWS…!! Anaandika @jemedarisaid SERENGETI BOYS WAVUNJA KAMBI NA VILIO KIBAO💔😭 Timu ya Taifa ya Soka ya U17 ya Tanzania (Serengeti Boys) imevunja kambi yake leo pale Tiffany Diamond Hotel huku wachezaji wakitakiwa kuripoti kambini tarehe 4 Julai 2026 kwajili ya maandalizi ya Kombe la Dunia la FIFA kwa U17. Lakini katika hali isiyo ya kawaida vijana hao walidondosha machozi jioni ya leo walipokuwa wanaongea na Kocha wao na kupata taarifa kwamba ile pesa 500M iliyoahidiwa na Serikali kupitia Waziri Mkuu bado mchakato wake haujakamilika, hivyo waondoke waache namba za akaunti zao za benki na pesa “urua” zitawekwa humo wao wakiwa majumbani kwao. Tayari akaunti zao zinasoma 2M kila mmoja ambayo wameingiziwa na TFF, lakini mchakato wa 500M za Serikali unaendelea, wameambiwa pia kama watahitajika Bungeni watapewa taarifa pia, ila kesho baada ya chai asionekane mtu Tiffany Hotel. Kinachowatesa ni historia kwamba mwaka 2024, wakiwa Kampala ambako walipata ushindi wa pili, waliambulia 700k, wakaambiwa waache akaunti zao urua ungewekwa baadeni, lakini hawakupewa. Mwaka 2025 waliambuliwa 500k wakaambiwa pia waache akaunti namba za benki na kwamba “mchele” ungeingizwa lakini haikuwa hivyo. Hizo historia ndo zinawakosesha raha vijana na kuhoji kwamba ahadi ilitolewa Jumatatu na mechi ilikuwa Jumanne na wala haikuwa inasubiri matokeo ya mechi, ilisemwa kwa kufika fainali wanapata 500M na Viwanja Morogoro, kwanini mchakato haukuanza kabisa ili leo wakiwa wanavunja kambi mzigo uwe umeingia? Wanasema “mchuzi wa mbwa hunywewa ungali wa moto, ukipoa unanuka” Binafsi naamini ni uelewa mdogo tu wa taratibu za kiserikali na kibenki (kiutendaji) kuhusiana na masuala ya kifedha, lakini vijana watapata chao, wao kukosa imani nawaelewa lakini wawe na imani na serikali, hawatopigwa changa. Ila nadhani baada ya hapa watendaji watachangamka kama jambo la dharura na vijana watashika chao baada ya muda mfupi. BIN KAZUMARI MTIPA (Voice of the voiceless)

Filipino
1
0
6
189
Jay~Umeme⚡
Jay~Umeme⚡@JayUmeme·
Waliokudharau siku moja watakudharau tena usipojikaza✍️
Jay~Umeme⚡ tweet media
Indonesia
1
3
15
360