iTrust mobiles Tz

20.4K posts

iTrust mobiles Tz banner
iTrust mobiles Tz

iTrust mobiles Tz

@msafwaOG

phones 📱 dealer| used phones and brand new| whats app 0694223610| ☎️ calls 0752613610

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2020
2.8K Takip Edilen1.6K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
iTrust mobiles Tz
iTrust mobiles Tz@msafwaOG·
The next day John saw Jesus coming toward him and said, “Look! The Lamb of God who takes away the sin of the world! John 1:29
English
12
14
44
0
iTrust mobiles Tz retweetledi
NAYA❤️
NAYA❤️@gg_ihy·
Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, bali ninyi ni wenyeji pamoja na watakatifu, watu wa nyumbani mwake Mungu. Waefeso 2:19
Indonesia
0
2
4
61
iTrust mobiles Tz retweetledi
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
Mtu mwelewa sio mwepesi kutoa matamko.
Indonesia
0
1
1
54
iTrust mobiles Tz retweetledi
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Si Hata Wewe Umeona Mapenzi ni kama Shift Muda Wako Ukiisha Unampisha Mwenzio nae Mwenzako Atampisha Mwenzie.😂
Filipino
5
25
67
1.3K
iTrust mobiles Tz retweetledi
Hika Lyimo
Hika Lyimo@iamthatfemale·
🤭🤤 🍽️ 🥘 me nundu tu
Hika Lyimo tweet media
Eesti
9
14
89
2.2K
iTrust mobiles Tz retweetledi
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Manesi Wakukute hivi kwenye Hospital zetu utajuta.😂
Masterplan🇹🇿 tweet media
Indonesia
36
39
195
8.1K
iTrust mobiles Tz retweetledi
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Mimi nalala ila naamini kesho inaweza kubadilisha kila kitu. 🚶🏿‍♂️
Indonesia
3
12
32
358
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Niliwahi kuambiwa stori ya tajiri mmoja kule Moshi jina nmesahau kwamba ana mali nyingi, hotel za kifahari ila haruhusiwi kulala kimasharti. Unaambiwa jamaa yupo tayari awanunulie pombe mkeshe wote. Walevi wakimuona wanamkimbia. Hii story niliambiwa zamani sijui kama ni kweli.
Indonesia
2
1
6
410
iTrust mobiles Tz retweetledi
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Maisha yangu hayakubaki kuwa yaleyale baada ya kukamilisha hizi changamoto 7 nilizojifanyia peke yangu: 1. April 22 Niliacha kutumia sukari. Niliacha chocolate, niliacha soda, sukari iliyofichwa na kuongezwa kwenye juice na matunda, pamoja na energy drinks. Baada ya siku 20 za mwanzo unajua kilitokea nini? Ngozi yangu, nguvu zangu na uwezo wangu wa kufikiri vilianza kubadilika kwa kiasi kikubwa. Nilitambua kumbe sukari ndiyo iliyokuwa inadhibiti hisia zangu muda wote. Jaribu utanipa majibu! 2. Nilitumia kanuni ya kunywa lita 2 za maji kila siku. Nilianza kunywa lita 2 za maji kila siku. Niligundua kuwa watu wengi wana upungufu wa maji mwilini lakini wanadhani ni msongo wa mawazo au wasiwasi. Kwa kuwa ubongo kwa kiasi kikubwa ni maji, niliamua kuutunza ipasavyo. 3. Niliachana na skrini baada ya saa 4 usiku kwa muda wa wiki 2. Nilianza kuweka simu chini ifikapo saa 4 usiku. Hakuna kuangalia video za reels, hakuna kusoma messages yoyote. Akili yangu hatimaye ilipata lile pumziko ambalo ilikuwa inaliomba kwa muda mrefu. Acha domscrolling, mida usiku at least dakika 30 kabla ya kulala ni muhimu sana kwa afya yako. 4. Nilitafakari (Meditate) kila siku kwa siku 21. Zilikuwa dakika 10 tu kwa siku. Nilikaa, nikapumua, na kutulia. Ule msongamano wa mawazo niliokuwa nauhisi ndiyo ulikuwa sababu hasa iliyonisukuma kufanya hili, na lilinisaidia sana. Nilikaa na upweke wangu huku nikiandika mawazo yangu! Hii inasaidia sana. Mungu hunena katika kimya. 5. Nilijizoesha kuoga maji ya baridi kwa siku 30. Nilimalizia kila kuoga kwa sekunde 60 za maji baridi. Hili lilifundisha akili yangu kubaki katika udhibiti na utulivu hata ninapokumbana na hali ngumu. Hii code niliiba kwenye mafunzo ya kijenzi, ni nzuri sana na hua inampa mtu ukakamavu wa kukabiliana na changamoto za hapa na pale kwenye maisha. 6. Nilianza kutoweka kwa masaa 3. Mara moja kwa wiki, nilijitenga kwa masaa 3. Hakuna simu, hakuna watu, ilikua ni mimi tu. Hapa ndipo nilipata uwazi wa mawazo na kupata muda wa kukaa peke yangu na kujitafakari. Hapa nilijifunza jinsi ya kuinyamanzisha sauti iliyopo kichani mwangu maana mimi ni overthinker mbaya sana😂 7. Niliandika kumbukumbu zangu kwa siku 30. Kila usiku, niliandika nilichokifanya, kilichonichosha, na kile ambacho ningefanya tofauti. Kufanya hivi kulinisaidia kugundua mifumo ya maisha yangu ambayo watu wengi huchukua miaka mingi sana kuielewa. Sijafika ninakwenda ila muelekeo nauona!
Indonesia
7
18
50
3.3K
iTrust mobiles Tz retweetledi
Talk Church
Talk Church@churchtalkative·
Jesus is: My savior My life My peace My love My guide My provider My teacher My security My victory My Saviour My King My Lord My bread My water My redeemer My friend My help My rock My shepherd My shelter My hope My salvation My eternity My haven My shield My armor My all
Talk Church tweet media
English
85
812
7.1K
58.6K
iTrust mobiles Tz retweetledi
It's Hunaiya 💋❤️
It's Hunaiya 💋❤️@Hunaiya153989·
Asiye ridhia Qadar,Allah humuongezea mitihani basi na atupe wepesi tuwe wenye kuridhia kila analotujaalia. Atupe nafsi zilizotulizana 🤲🙏 Muwe na weekend njema Msisahau kuweka oda na kuniungisha 😭🤲
It's Hunaiya 💋❤️ tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
18
30
66
801
iTrust mobiles Tz retweetledi
Rubanzibwa Ndyamukama
Rubanzibwa Ndyamukama@joshuasultanPT·
BTW, Ipyana is doing live recording leo in Dodoma na kesho. Nendeni mkasali.
Filipino
3
1
11
404
iTrust mobiles Tz retweetledi
Munyu🌊
Munyu🌊@EliraNyamu·
I ain’t too proud to tell that I cry sometimes about it …
English
2
3
15
193
iTrust mobiles Tz retweetledi
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA
Heri kug'ag'ania kwa Yesu 🔥 Kwa Yesu Heri kug'ag'ania kwa Yesu 🔥 Kwa Yesu Ohhh Kwa Yesu, ohhh Kwa Yesu 🔥 Bila kujali kitu chochote 🫠
Polski
0
3
5
91
iTrust mobiles Tz retweetledi
minah🌹
minah🌹@queeen_minah·
“Love is a terrifying thing, it’s not safe…because when you love someone you have to face the fact that you could loose them”
English
1
3
15
242
iTrust mobiles Tz retweetledi
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
Dear wafalme, Utahitajika pale utakapokuwa na kitu kinachohitajika. Usichanganye kati ya umuhimu wako kwao na upendo wao kwako.
Filipino
0
5
29
383
iTrust mobiles Tz retweetledi
lizzy causion
lizzy causion@LCausion·
Kwa kupigwa kwake sisi tumepona ….🙏
Filipino
2
5
39
595
iTrust mobiles Tz retweetledi
it's__me🤍💫
it's__me🤍💫@__livelihood_·
Haijalishi maisha yako ya zamani yanaonekanaje, bado unaweza kuchagua mwanzo mpya.✍️🏿
हिन्दी
1
14
36
540
iTrust mobiles Tz retweetledi
P•
P•@28_prb·
pesa inaweza kukuokoa?
Indonesia
5
5
9
253