고정된 트윗

ZIRO KOTEKOTE!
Huu ni Unafuu uliopitiliza, Ni rasmi sasa wateja wa Azampesa wanaweza kufanya miamala BURE kwa Azampesa.
Miamala inayofanywa BURE ni pamoja na:
Kutuma pesa Azampesa - Azampesa
Kutuma pesa Azampesa kwenda mitandao mingine
Kununua LUKU/TUKUZA
Kufanya malipo ya serikali
Kulipia Bili (Vingamuzi vyote)
Kukata Tiketi
Kufurahia huduma hii jisajili sasa na Azampesa kupitia Azampesa App.
azampesa.sng.link/Cnr10/7ndd/avvy
#azampesa #jisajilisasa #zirokotekote #usikubalikupigwa

Indonesia



















