De Caprado
188 posts


@Labella_Mafia95 Mbona hawadinyani sasa km anataka Mapenzi ya hadharani😀
Indonesia

Kwa sasa akiishi Ujerumani kama muomba hifadhi, Nyanzi alitumia mitandao ya kijamii kushirikisha habari hiyo, akiweka picha kadhaa akiwa na mpenzi wake mpya, mwanaume mzungu wa umri wa kati.
Katika ujumbe wake wa dhati, alisisitiza shauku yake ya kuwa na uhusiano ulio wazi na wa hadharani.
“Niliumbwa nipende na nipendwe. Kwangu ni bora kupendwa hadharani,” aliandika.
“Kadri ninavyoanza jioni ya maisha yangu, nakataa kuwa na uhusiano wa mapenzi unaotaka kufichwa.
Nikikipenda, napenda kwa nguvu. Nastahili kupendwa kwa nguvu na kwa uwazi vile ninavyopenda. Upendo uchanue!”
— Inaendelea:⤵️

Indonesia

@Gladiator_isuit Kaka itatuua hii timu ila hakuna namna wala mbadala
Filipino

@Sativa255 Kitambulisho chochote ili mradi kiwe na taarifa sahihi tena kwa watu wazima coz watoto ni free port yupo na mzazi, pia kuna wanangu kibao wapo Zenji na wemenunua plot na wengine wamejenga na wengine wanaendelea na ujenzi acheni kuuponda huu Uhusiano wetu bora wa Muungano
Indonesia

Naona hamjanielewa niliposema huwezi kuingia ZANZIBAR kama huna PASSPORT.
Kwanza sio UONGO, ni ukweli.
Kuingia ZANZIBAR wewe MTANGANYIKA lazima uwe kati ya vifuatavyo.
1. Kitambulisho cha NIDA.
2. LESENI ya udereva.
3. Barua ya UTAMBULISHO wa mtaa unayotoka.
4. PASSPORT.
Kama huna kimoja kati ya Hivyo hapo juu ZANZIBAR huingii. Ila wao WAZANZIBARI wanaingia TANGANYIKA bila KUGUSWA na kenge yeyote.
Wanaweza kuja huku na kumiliki ARDHI na kujenga. Ila wewe MTANGANYIKA huwezi kuenda ZANZIBAR na kununua hata shamba.
Mzaznibari anawezq kuwa KIONGOZI huku TANGANYIKA kama ilivyo kwa Mamaenu, ila wewe MTANGANYIKA hata kuenda kuwa mwenyekiti wa kijiji SAHAU.
Nilichagua neno “PASSPORT” kwenye hiyo post yangu iliyopita kuongeza ukali wa maneno.😂🫵🏾
Tunatumia nafasi hii ya mpira kupitisha AJENDA yetu ya #NoReformsNoElection maana tukipata wawakilishi ambao tutawachagua na kura zetu wataenda kutusemea HAYA.
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Indonesia

@Sativa255 "Lost, you can afford to lose" hii kauli ya KiGangstar kabisa
Filipino

@Dr_DGwajima @ausi_junior Mama mpendwa Mungu akuongoze kwa kila hatua
Indonesia

@ausi_junior Hivi nikuulize swali:
1. Unadhani nafanya kazi kwa staili hii ili kuwaaminisha watu jambo lipi kwa faida yangu rafiki?
2. Halafu unadhani Imani na uelewa wa watu vikishapanda basi mimi binafsi baadae ninufaikaje kwa mfano?
3. Je huoni kuwa uelewa wa watu ukiongezeka
Indonesia

@Dr_DGwajima @fundimitamboGk Mama siye tunaokufaham tunakutakia Maisha mema Kazi iendelee
Indonesia

Sikiliza rafiki; mimi najiamini Sana kwenye moyo wa kuwa responsible kwenye majukumu yangu na kujali... Hilo nimejaaliwa, na sijaanza leo ufuatiliaji wa mambo ya huduma inayohusu wajibu wangu. Kwa kifupi sana, tangu nikiwa wodini internship bugando mwaka 2004 wewe sijui ulikuwa wapi, ilikuwa nikitibu mgonjwa lazima aondoke na namba yangu ya simu na mimi yake nichukue hata ya jirani, nitamfuatilia huyu hadi amalize kliniki yangu. Nikaenda bagamoyo hospitali 2005 kawaulize, nikaenda iramba singida, hospitali ya wilaya ya kiomboi, kawaulize, nikaenda hospitali ya mkoa singida kawaulize, nikaenda wizara ya afya kawaulize, nikaenda TAMISEMI kawaulize na nikarudi wizara ya afya kawaulize na sasa Niko maendeleo ya jamii waulize. Ufuatiliaji ni kipaji changu na hakifungamani na siasa tafadhali. Kwani wewe unataka wanasiasa wasiofuatilia au unatakaje?
Tusizinguane tafadhali 🥳🥳🥳🥳
Hujambo lakini? Tutakiane sasa Pasaka njema tafadhali 🤣
Indonesia

Madame bhana 😆😆😆! Afrika itaendelea tuu siku siasa zitakapowekwa kando!! Tamba mama!!!
Dr. Dorothy Gwajima@Dr_DGwajima
@fundimitamboGk @kindamtoto @UdsmOfficial @udsm_alumni @maendeleoyajami @tanpol Hujambo? Sijatumia cheo bali cheo hiki kinanitaka niitikie wito wa wananchi pale wanaponihitaji na hasa, wanapojikuta bila msaada wa serikali hawawezi kwenda mbele. Ndiyo maana nalipwa mshahara wa Kodi za wananchi. Sasa kama wewe hili nalo linakusumbua, basi pole sana urafiki 🤣
Filipino

@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @Balyx_ Watu wanataka #Mimba siyo hayo mazingaombwe tushazoea piga tumbo ili uwakilishe Taifa aache uzoba
Filipino

@KennedyMmari @pvtrick_koe Itoshe kusema Huyo ni Askari full na amefanikiwa
Filipino

@pvtrick_koe Ndiyo sababu ninahisi kuwa aidha amepaniki au hataki kutoa kodi na kujibu kwa ufasaha.
Kuna hali katika vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo mtu hataki kujitambulisha, na kama sehemu ya kuheshimu muuliza maswali, huwa anapaswa kutoa majibu yaliyovurugika.
Sisemi kuwa ndiyo
Indonesia

Natamani kujua hii hadithi iliishaje.
Ila nikimuangalia, kuna roho inaniambia huyu ni askari, ila aidha amepaniki, au hataki kuuza kodi mbele ya kamera.
Kwa waliofuatilia kujua hii kesi iliishaje tafadhali watufahamishe.
SATIVA@Sativa255
Kitengo cha SYSTEM 😂🫵🏾 Hii nchi kila mtu TAPELI.
Indonesia

@KingPablotz Huyu ni mjeda kabisa na anachokifanya ni kuwavuruga hao wanaomuhoji at the end wataishia kumuachia
Indonesia

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linawashikilia Watuhumiwa wawili ambao ni Dickson Paul Tamba (27) Mjasiriamali, Mkazi wa Mkuti chini machinjioni Wilaya ya Masasi na Mohamed Ally Kajao (34) Mwalimu Shule ya Msingi Nanyani, Mkazi wa magomeni Wilaya ya Mtwara kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Akitoa taarifa leo February 12,2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara SACP Issa Suleiman amesema tukio hilo lilifanyika mwezi January 2025 katika nyumba ya kulala Wageni (jina limehifadhiwa).
Taarifa ya Polisi imesema walikamatwa baada ya Dickson Paul Tamba kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na Mwalimu Mohamed Kajao huku wakijirekodi video kisha kuisambaza video hiyo kwenye mitandao ya kijamii.
#MillardAyoUPDATES

Filipino

@Labella_Mafia95 Ameshiriki kupitia Mtandao na mimi nimemuona na pia alitambulishwa aka wave hand kupitia hyo big screen...mengine ni ta Kiusalama zaidi
Filipino

Hii joint meeting imehudhuriwa na viongozi karibu wote wa SADC na EAC kwa kutambua umuhimu wake kwa usalama eneo la maziwa makuu.
Viongozi hawa wanajua kuwa usalama wa eneo hili ni muhimu kwa ustawi wa kanda nzima, hasa ikizingatiwa mizozo ya muda mrefu kama ile ya Mashariki mwa DRC.
Lakini pia hata viongozi ambao nchi zao zimekuwa kwenye msuguano kwenye mgogoro wa Congo wamehushuria. Paul Kagame wa Rwanda na Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini wamehudhuria pia.
Wote tunakumbuka kwamba hivi karibuni Kagame na Ramaphosa walikuwa kwenye uhasama hawa kwa sababu ya tuhuma zinazoelekewa kwa Rwanda kwamba wanawaunda mkono M23, kundi la waasi linalohusishwa na kuvuruga amani Mashariki mwa DRC.
Hata hivyo, Tshisekedi ameshindwa kuona umuhimu wa mkutano huu mpaka kumtuma mwakilishi badala yake?
Hii inaashiria kutokuwa na ushirikiano wa kutosha au kutokubaliana na juhudi za kutatua mgogoro huu kwa njia ya kidiplomasia.
Is this a sign of deeper political divisions within the DRC or a strategic move to maintain sovereignty?..⤵️

Indonesia

@Chahali Unajua nilitegemea uandike Analytical Story but umeandika vitu ambavyo vinajulikana so hakuna jipya...tupe za Ujasusi ziyo hizi nyepeee
Filipino

Siku kadhaa #Jasusi hajabandika uzi hapa licha ya ghala lake la nyuzi kuwa lina stock ya kuweka nyuzi kila saa kila siku kwa miaka 50 mfululizo 😁. Uzi huu ni spesheli kwa ajili ya besdei ya kijani. Awali uzi ulitundikwa hapa wakati kijani inatimiza miaka 46 mwaka juzi

Indonesia

@Labella_Mafia95 Acha unafiki ile ni Biashara na kila kinachofanyika ni makubaliano ya pande 2 ambazo zote zinapata faida au hasara ndo mana wanakuwa na Mikataba...Nasibu hasaidii anafanya Biashara na ananufaika likewise kwa wasanii kwny hy label kwahy wakifanya move ni makubaliano
Indonesia

Hii inakatisha tamaa watu wenye nia ya kusaidia.
Nafikiri hii ni hali ambayo Diamond anakutana nayo sana—anapojitahidi kumtengeneza msanii, anachangia mafanikio yake, lakini mwisho wa siku wanataka kuondoka.
It feels like betrayal for Diamond, na anaweza kuona kama kuna kitu anafeli, anauliza, "Why are they leaving?"
Lakini lazima tukubali, watu hubadilika, na wanapopata mafanikio, tamaa inaanza kutawala.
Wanataka kujitegemea zaidi, kupata sehemu kubwa ya mapato ili waweze kuenjoy.
Lakini wanakosa kuelewa, kuondoka Wasafi kunaweza kumaanisha kupoteza mashabiki waaminifu wa Diamond, ambao wanaweza kuwa na mtizamo tofauti.
Tena, kwa endorsements, kuna watu wanapenda kufanya kazi na wewe kwa sababu uko chini ya WCB.
Wasafi ni collateral nzuri, na watu wanajua kwamba WCB ni legit, hivyo wanapata confidence na mashirika wanayoshirikiana nayo....⤵️

Indonesia

@fbuyobe Kaka unaninyima upendo kwny telegram since mwak jn cjui kuna shida gan
Indonesia
















