Brian Tech

2.5K posts

Brian Tech banner
Brian Tech

Brian Tech

@Brian_tech_

1 TB🧠……………………………………………………………………MuLtIpUrPoSe MaChInE😎…………………………………………………………………………………………MaNcHeStEr__UnItEd__FaN c_O_n_T_e_N_t__C_r_E_a_T_o_R 📸

Tanzania 가입일 Kasım 2023
1.9K 팔로잉2.1K 팔로워
고정된 트윗
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
You cannot sleep 4 hours a day while running a business. The world doesn't care if you are tired. Money is moving at a faster rate than ever so you need your sleep. Get up early, hit the gym, get to work, go to bed on time and most of all, pray to God. Goog morning🥱🥱
English
8
4
27
5.9K
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Ukichunguza kwa umakini utagundua kuwa, utajiri haitokani na kuwa na PESA! Bali, kutokana na michakato na mifum (Processes & Systems) ya kuzalisha pesa. Yaani, pesa ni kama side effect tu. Ndiyo maana, matajiri wanaojua hii siri ni rahisi kutengeneza tena pesa baada ya kupotez
Brian Tech tweet media
Indonesia
0
0
0
24
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Kunamwamba mmoja niliwahi kumsikia akisema speed ya hapa sijui itakua ndogo,oya wee huyu mwamba wa kuitwa @elonmusk apewe maua yake.🙌
Brian Tech tweet media
Indonesia
0
0
1
32
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Kuna wale watu ambao ukipost vitu wanavyokubaliana navyo wanaruka post zako, Ukipost vitu hawakubaliani navyo wanakuwa very aggressive kuku-attack, Hawa watu hawakuchukii hata kidogo, shida yao ni kwamba wana matatizo ya akili
Brian Tech tweet media
Indonesia
0
0
2
27
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Kijana wa kiume miaka 30, unatakiwa uwe unamiliki 1. Passport 2. Leseni 3. NIDA 4. Ujue kuendesha gari/pikpik/bajaji 5. Uwe na active bank account 6. Uwe na akiba angalau million 2 7. Uwe una miliki aridhi 8. Uwe na mahusiano serious 9. Uwe na chanzo cha kipato imara Una nini?
Indonesia
0
0
3
79
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Supermarket na malls, Kuna mbinu wanatumia kukulazimisha kutumia pesa zako bila kutarajia Inaitwa Marketing trick Mfano 1. Discounts (asilimia 50%, special offer) 2. Buy 1 get 1 free Hapa ni mtego Ni psychology ya consumerism unashawishiwa kufanya decision ya haraka
Brian Tech tweet media
Filipino
0
1
4
86
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
UKIJIAJIRI Kama kipato chako kiko chini ya 500k kwa mwezi, usiwekeze kwenye vitu, wekeza kwako na mchongo unakupa hiyo hela BRO. 1M ya kununua assets vs 1M ya kujifunza kujiposition, kuuza na kujibrand. 1M ya kujifunza kujiposition, kuuza na kujibrand itaisha ila ITAKUSAIDIA.
Brian Tech tweet media
Indonesia
0
1
5
82
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
Kuna vocha ya Sh 30,000 🎊 🟢 Yanga SC 🆚 Simba SC 🔴 Nipe Mfungaji wa Bao la kwanza na Matokeo ya HT & FT ___👇 Repost kabla ya mechi Kuanza.
SportsArenaTz tweet media
Filipino
270
51
615
52.2K
Sam Keys
Sam Keys@samkeysforex·
Mention one Forex trader that motivates you to keep going
Sam Keys tweet media
English
869
99
2.6K
143.3K
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Mwaka huu usiogope kutangaza unachojua. Sauti yako ni capital. Weka bidii + value + boldness = difference.
Indonesia
0
0
1
274
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
@Sirjeff_D Maneno mengi utekelezaji 0 @Sirjeff_D BTC atashuka chin ya $100k kabla mwaka haujaisha pin hii comment
Indonesia
0
0
1
127
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Kwa hapa tulipo, BITCOIN haitashuka chini ya $100K Siku ikitokea BTC ikawa valued at $99,999.99 nagawa bitcoin 1 kwa watu 20 hapa X. 📌 pin hii tweet.
Filipino
46
10
312
10.5K
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
@ze_mandevu *KARIBU UJIPATIE* *HALOTEL MWEZI* Gb 10 kwa 10,000 Gb 20 kwa 19,000 Gb 30 kwa 27,000 Gb 40 kwa 37,000 Gb 50 kwa 44,000 *COMBO PACKAGE* GB 20 dakika 600 na sms 10,00 24,000 Gb 30 dakika 1100+sms 10,000 34,000 Gb 40 dakika 1500 sms 10,000 43,500 chat.whatsapp.com/JGBywBa56QTJIv…
HT
0
0
2
21
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
"Maandishi haya sio mageni jijini labla kwa mgeni jijini, ila kwa wenyeji wa jiji ni maandishi tuliyoyazoea"
The mandevu tweet media
HT
32
21
334
20.3K
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Ukitaka pesa ya kweli, jiandae kubadilika zaidi ya mara moja. Kile unachokipenda leo, kinaweza kisikupe chakula kesho. •Jifunze kuswitch. •Jifunze kusurvive. •Jifunze ku-evolve. Kamwe usiache kujifunza.👊 #hatupokukumotivate
Indonesia
0
0
1
254
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Tupo Katika Karne Ambayo Unahitaji Vitu 3 Tu Ili Kutengeneza Pesa… 1)UJUZI—(Specifically Selling skill) 2)MEDIUM—(a.k. Platform) 3)PRODUCT/SERVICE …sometimes Unaweza Kutumia Ujuzi & Platform Tu Ukatengeneza Kipato Mtandaoni! PS: INTERNET ni Zawadi
Indonesia
0
0
2
238
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Mtoto wa maskini ana option mbili: 'kulalamika au kupambana.' Na hakuna anayemhurumia atakaposhindwa. Vita ya mtaa haina fair rules, lakini unaweza ku-exit. Ili u-exit ni kuamka mapema kuliko wengine (kuona fursa kabla ya wengine ni kuamka mapema pia)
Brian Tech tweet media
Indonesia
1
2
3
300
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Kujitafuta ni kama kuchimba kisima. Unachimba halafu unachimba tena. Wengine wanacheka, wengine wanakuacha. Lakini maji yakitoka, wote wanarudi. Usiogope kuonekana kama umechanganyikiwa. Ni kawaida ukianza kitu mpya. Ukianza kusaka ndoto yako, wengi wataku-question.✊️
Brian Tech tweet media
Indonesia
0
1
2
191
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Umaskini si tu kutokuwa na hela. >Ni kukosa tumaini. >Ni kuamka ukiwa huna pa kuanzia. >Ni kuona maisha yanakukimbia huku wewe bado uko darasani kujifunza kuvuka barabara. Inabidi tubadilike kabla hatujamezwa na mfumo.
Brian Tech tweet media
Indonesia
0
0
2
167
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
zilizokufikisha hapo ulipo. Mindset inahitaji kubadilika kabla ya balance kubadilika. Mabadiliko ya nje huanza ndani. Ukibadilika kifikra, fedha utaanza kuiona.
Indonesia
0
0
1
147
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Hakuna shortcut ya kweli.🫵 Kama unakimbilia forex bila kuelewa basics, crypto bila kusoma risk, au biashara bila hesabu, utapotea. Usikimbilie pesa, kimbilia maarifa. Maisha yanampa yule anayejiandaa, si anayetaka tu.
Indonesia
0
1
3
187
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
System haikubali creative minds. Inataka utulie, ufuate ratiba, upokee mshahara. But that doesn’t work for everyone. Wengine wana akili za kujenga vitu vikubwa kuliko job descriptions. Don’t apologize for that. Find your lane and dominate it.
English
0
0
2
93
Brian Tech
Brian Tech@Brian_tech_·
Kila mtu ana ndoto, lakini si kila mtu ana stamina ya kubeba hiyo ndoto. Vision nzuri inahitaji upweke, kukataliwa, kushindwa, na kurudi tena sokoni ukiwa na maumivu. Kama bado unakatishwa tamaa na kauli za watu, basi hiyo siyo vision🫵
Filipino
0
0
1
140