AMRI IFX

4.3K posts

AMRI IFX banner
AMRI IFX

AMRI IFX

@amrisaly

📄Professional forex trader | CEO & founder @IntelligenceFx 👇Become a profitable trader

Katılım Şubat 2019
52 Takip Edilen12.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
AMRI IFX
AMRI IFX@amrisaly·
everything happen to us for a specific reasons You can’t connect the dot’s by looking forward💯 Life Thread👇
AMRI IFX tweet mediaAMRI IFX tweet mediaAMRI IFX tweet media
English
93
182
1.3K
0
paul_J
paul_J@chui_fxbd·
@amrisaly Napenda stor za inspiration wacha nijaze bando sasa nikaone
1
0
0
152
Jay
Jay@Jay_luba·
@amrisaly Dada Eliza kaongea mambo mengi MAZURI🔥🔥..... Worth of my time
Filipino
1
0
5
1.3K
Allan Media 🇹🇿
Allan Media 🇹🇿@allanmediatz1·
@amrisaly Umri hauamu hatima ya maisha ya mtu kama mzee huyu kaweza pasipo kujali umri wake na kukata tamaa kwa yote aliyo pitia , basi vijana tuna kitu cha kujifunza hapa.
Indonesia
1
0
1
95
AMRI IFX
AMRI IFX@amrisaly·
As a gentleman ukiwa unaomba msaada au una propose biashara, Usiongelee na kukumbushia sana kuhusu favors za zamani ulizowahi kumpa mtu, Zungumzia zaidi mtu atafaidikaje kwako au kwenye proposal ya biashara iliyopo mezani, Hiyo ndio namna rahisi ya ku-WIN.
Indonesia
4
21
164
7.2K
AMRI IFX
AMRI IFX@amrisaly·
Change your circle or change your goals
AMRI IFX tweet mediaAMRI IFX tweet mediaAMRI IFX tweet mediaAMRI IFX tweet media
English
4
10
145
10.8K
AMRI IFX retweetledi
Abouh Sued
Abouh Sued@SwediAbou·
@amrisaly Surround yourself with the right people.
English
0
5
10
3.1K
Stephanie's future Dad
Stephanie's future Dad@simplychale·
@amrisaly Nimewahi ishi na mlevi....nimeyashuhudia maisha ya mlevi.....sio ya kuyatamani...Hana mke ila amejaliwa mabinti saba. Mmoja akatolewa mahari ....800k. That man alienda nayo Baa. Hakurudi hata na senti. Na jamaa ana bahati sana na hela bt pombe ni kikwazo.
Filipino
1
1
6
3.2K
AMRI IFX
AMRI IFX@amrisaly·
@simplyconsultus Ni hatari sana, ni vile kuna watu tukiwaambia wanahisi hatutaki wapate starehe
हिन्दी
0
0
7
673
AMRI IFX retweetledi
AMRI IFX
AMRI IFX@amrisaly·
Ulevi ni biggest red flag 🚩 Ni ngumu sana kwangu kushirikiana, kufanya long term business au kuajiri mlevi, Anytime mlevi anafanya blanda; alafu atakimbilia kumsingizia shetani au pombe, Hivi kijana timamu anakubali vipi kutumia kitu kinachomtoa kwenye consciousness yake?
Indonesia
14
15
216
11.2K
AMRI IFX
AMRI IFX@amrisaly·
Kuna wale watu ambao ukipost vitu wanavyokubaliana navyo wanaruka post zako, Ukipost vitu hawakubaliani navyo wanakuwa very aggressive kuku-attack, Hawa watu hawakuchukii hata kidogo, shida yao ni kwamba wana matatizo ya akili
Indonesia
8
24
210
7.2K
AMRI IFX
AMRI IFX@amrisaly·
Betting ni mbaya kwa uchumi wako, afya ya akili yako, kwa future yako na ni haram, Hopes, excitements and promises unazoziona they are not real, Kufanikiwa kwenye betting labda uwe muuza odds, uanzishe betting company, ufanye partnership na betting company/ uwe mtoa promo code, etc Pia forex sio get rich quick method au sehemu ya kukimbilia ili ku-solve matatizo yako faster.
AMRI IFX tweet mediaAMRI IFX tweet media
Filipino
8
5
68
9.2K
paul_J
paul_J@chui_fxbd·
@amrisaly 0656208198 Paul Natanguliza sana shukran mkuu
Filipino
1
0
0
207
AMRI IFX
AMRI IFX@amrisaly·
Maisha yamekuwa matamu, baraka ziko kila kona, furaha imenizidia hadi nimesahau hata kuingia 𝕏
AMRI IFX tweet mediaAMRI IFX tweet mediaAMRI IFX tweet mediaAMRI IFX tweet media
Indonesia
12
9
178
9.8K