Sam
2.7K posts


Sisi ni kitakataka kimoja tu kati ya mabilioni ya vitakataka huko ulimwenguni.
Mdau: Unadhani nani aliumba vyote hivi?
Mimi: Sijui. Wewe unajua?
Mdau: Mungu ndio aliumba vyote hivi.
Mimi: Ooohh, ulijuaje kwamba Mungu ndio aliumba vyote?
Mdau: Naamini hivyo.
Mimi: Ilikuwaje ukaamini hivyo?
Mdau: ………..

Indonesia

@awarenesskills @AlexSamoja Kupika ni kitu cha kijinga ?
Restaurant ni kitu cha kijinga kumbe
Indonesia

@AlexSamoja Isuue hapa sio dunia tamabara bovu,haya huwa yanatokea sana! Unapotoboa kupitia kitu cha kawaida au cha kijinga,inabidi utumie muda huo kutengeneza kitu ambacho ni cha kipekee sasa chenye mantiki utumie hicho cha kijinga kilichokupa airtime kukuza hicho unique!that's the formula
Indonesia

Mwamba anaitwa Mr Salt Bae, alipatia maisha kama MackMuga wa Ali kiba, kupitia Restaurant kwa umaarufu wa kupika nyama tamu na nzuri, watu maarufu na mashuhuli walikula kwake, Watu wakafunga safari toka nchi tofauti ili wakale kwake, but Guess what Dunia Tambala bovu ukikosea mara moja inakuadhibu, 2021 waliokuwa wafanyakazi wake wakalalamika kupokonywa Tips na boss wao ambaye ni Mr salt bae, 2022 akagusa kombe la Dunia pale Qatar kimakosa sheria haikumruhusu, watu wakamind, wakaboycott kwenda kula mgahawani kwake, ndani ya kipindi kifupi akapoteza wateja wakubwa na jina, saa hivi amebaki na biashara ya kawaida tu 🙌🙄 Maisha



Filipino

@askariwahovyo @ayubu_madenge Another idiot tweeting form Far es salaam slams
English

@ayubu_madenge Kwa.mujibu wa marekani mwaka 1969 neil.armstrong alikanyaga mwezini kipindi hiko technology haijakua miaka 50 baadae technology ipo more advanced hawajatua mwezini wameuzunguka mwezi bro inakujia akilini hiyo??
Indonesia


Sawa ulikuaga ufanyiwi birthday na Wazazi wako, sasa Huyo mtoto wako Unafanyia birthday kazi kumlisha makeki keki baada birthday ya Kwanza mnunulie kiwanja next birthday muwekee tofali next bday weka msingi next hivyo hivyo mpaka anafika 18 years mjengo wake umeisha hiyo Ni gift kubwa Sana ,.si kile ulichokosa Kwa Wazazi wako na mwanao akikose kateni hizo nyororo za kigaidi wazee ooh shauri zenu
Filipino


Dr. @AnwarGargash: “Our main security partner is the United States. We will double down on our relationship.”
“…We will join any American-led effort, international effort to secure navigation in the Strait of Hormuz. We are ready to play our part.” ⬇️ uaeinusa.co/4sSMakd
English

#TajiriLaKihaya
“The entire country could be taken out in one night, and that night could be tomorrow night.”
Haha anataka kuwapiga Nuclear ☢️ watu aliosema anawakomboa 😂😅
English

North Korea appears to be distancing itself from longtime partner Iran and carefully managing its public messaging to preserve the possibility of a new relationship with the US after the Iran war, South Korean lawmakers said, citing the spy agency reut.rs/4crSLw7
English

Who said this is Islam?
You’re using public roads
as a stage for your political
agenda that’s an insult to Islam!
Australia needs to crack down on
the Muslim Brotherhood, Hamas,
and Hezbollah!
Kick these brainwashed
clowns out of your country NOW !
RadioGenoa@RadioGenoa
Australian police forcefully chase away Muslims who occupied a street in Sydney to pray to Allah. The streets are not personal mosques.
English










