Sekenke One 🌻

127.3K posts

Sekenke One 🌻 banner
Sekenke One 🌻

Sekenke One 🌻

@AlexSamoja

Vice Chancellor of Iramba. 29/10/2025 HATUTASAHAU 🕊 💔😭

Republic of Croatia Katılım Temmuz 2022
7.5K Takip Edilen15.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Fundi anarudi kwenye UWAKILI, nakumbuka kesi ya yule kijana alosemaga JPM ni mpumbavu, LISSU akajitolea kumtetea kijana mahakamani, LISSU akawaambia mteja wangu hakumaanisha JPM ni JOHN POMBE MAGUFULI, kijana alimanisha JPM ni JUMA PUMBA MAHARAGE, kesi ikaisha 😂 He is back ✊
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
101
220
2.8K
93.5K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Fabian Luiz, Media huwa hazimuimbi sana, ila huyu ndo anawafichiaga makosa wale Andunje wawili wa Portugal pale kati wakiwa PSG, ila media huwa zinawaona Neves na Vitinha tu, Mechi ilopita alimweka Pedri Spinal code bench, leo nitamtazama Fabian pekee yake kama akianza, Andunje wa Portugal wanyongwe
Sekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
8
4
46
1.3K
Kaka mkubwa
Kaka mkubwa@sapro_phyticus·
@AlexSamoja Huwa wanalijua sana tu sema hana mtu wa kumpush vile vifupi hamna kitu vinafanya.
Indonesia
1
0
1
65
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Niliendaga kuopoa manzi kijijini kwetu, Nyumbani kwao palikuwa na fence kama hili, oya fence limezungushwa na miiba, basi bhana mzee wake mtu wa Skanka akatufuma ile kutaka kuchoporoka nikakuta Gate limefungwa, ikabidi nidandie kwenye Miiba, nilivuka salama bila kuchomwa miiba, ila baada ya kufika nyumbani nikaanza kuona maumivu kwenye mapaja, kuchunguza kwa makini ni miiba, sjui nilichomwa saa ngapi 😄 🤣, uchawi upo
Sekenke One 🌻 tweet media
Filipino
12
5
64
4.7K
Rembesha Elly
Rembesha Elly@Rembesha25·
@AlexSamoja Oya nilishawahi kudakwa nikadhani nimeruka fence kumbe nilikatiza katikati mzee kanishikisha mbwa nao nikawazidi kasi nilipofika home kuanzia shingoni kushuka chini pote mikwaruzo na damu😀😀🙌
Filipino
1
0
2
84
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Hii picha nilipiga nikiwa KATORO, na sikuona hizo hela, nyie nendeni kule kuna Ndumba sana, unaenda na mtaji, unarudi mikono mitupu
Sekenke One 🌻 tweet media
Filipino
10
11
53
1.2K
Sekenke One 🌻 retweetledi
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Good Morning Blessed Fam😎
Djkid_b_____ tweet media
English
16
23
68
3.6K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
@AlexSamoja Nipo katoro muda huu na hamna hizo hela mnazohype huku mtandaon
Indonesia
1
0
1
94
MRENO_🎧
MRENO_🎧@mreno255·
Wewe unahisi ni challenge ipi hawezi ifanya huyu jamaa ?? 😂😂🙌🏿🙌🏿
MRENO_🎧 tweet media
हिन्दी
18
20
83
3.8K
Sekenke One 🌻 retweetledi
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Unaikumbuka connection ya Nandy na Nenga ulikuwa wapi, me nilikuwa bwenini form six na tuliangalia kwa kujificha mno 😀. Video kwenye comment
Sekenke One 🌻 tweet media
Filipino
68
23
244
19.4K