SALUM

1.6K posts

SALUM

SALUM

@GiftMan4

Music Artist,songs writter Email: [email protected] Mobile: +254 729647035 Get my new songs on https://t.co/1d3jS8QVeM

Nairobi and Dar 가입일 Aralık 2014
2.9K 팔로잉380 팔로워
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Rais wa Cameroon Paul Biya amemteua Mwanawe Franck Emmanuel Biya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri na Mkuu wa Majeshi. Hivi karibuni Bunge la Cameroon liliidhinisha kwa wingi marekebisho ya Katiba ili kurejesha nafasi ya Makamu wa Rais. Makamu wa Rais atachukua kiti cha Urais moja kwa moja ikiwa Rais Paul Biya atakufa, kujiuzulu, au kutokuwa na uwezo. Kulingana na sheria, Makamu wa Rais atateuliwa na kuachishwa kazi na Rais na atahudumu kwa muda uliosalia wa muhula wa Rais wa miaka saba endapo Rais atashindwa kuhudumu katika wadhifa wake. Kurejeshwa kwa Makamu wa Rais kunaashiria marekebisho ya kwanza ya katiba ya Cameroon tangu mwaka 2008 wakati ukomo wa mihula ya Urais ulipotupiliwa mbali hatua iliyozua maandamano nchi nzima. Makamu wa Rais hapo awali alikuwa sehemu ya muundo wa utawala wa Cameroon lakini ulifutwa mwaka 1972 kufuatia kura ya maoni ya Katiba. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
48
16
440
32.9K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Unafanya biashara yako fulani ambayo inakupa 300k per month, imekuwa ikikupa hivyo kwa miaka mitatu then ikatokea kampuni ikakupa ajira ya 900k per month ukatakiwa uache hyo kazi yako ya 300k. Je Utakubali au utakataa..?
Indonesia
27
17
162
8.2K
SALUM
SALUM@GiftMan4·
@kalage_jr Toka lin mafuta yakapatikana mjin,mafuta yapatikana vijijin mtwala huko!
Filipino
0
0
0
6
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Nahisi haya maeneo ninayo kaa hapa mbezi beach kuna dalili za uwepo wa mafuta.
John kalage 🇹🇿 tweet mediaJohn kalage 🇹🇿 tweet media
Filipino
42
23
295
42.5K
kijana mpole
kijana mpole@BesteNicolas·
Unahisi utakuwa mkoa gani??
kijana mpole tweet media
Indonesia
27
1
58
6.6K
(fan)Sam
(fan)Sam@iamsam_jr·
Wakuu hapa kuna usalama kweli?... nichakate??
(fan)Sam tweet media
Filipino
41
18
89
17.9K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Utakuwa mkoa gani hapa Tz
kasesco☆ tweet media
Indonesia
35
19
112
4.4K
SALUM
SALUM@GiftMan4·
@millardayo Tuepuke uzushi na kuuza taaluki kwa jamii
हिन्दी
0
0
0
123
millardayo
millardayo@millardayo·
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema imekuwa changamoto kwa Mamlaka kubaini kama taarifa kuhusu wizi wa nyeti za baadhi ya Watu ni ukweli au uvumi hata yeye amekuwa makini na ameogopa kushikwa bega Kauli hiyo imetolewa mbele ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba. RC Chalamila amesema, “Imetokea taarifa ya baadhi ya watu kuiba nyeti za watu. Hili jambo linaweza kuonekana la ajabu, lakini kule Sumbawanga watu wameuawa kwa tuhuma za kuhusika na vitendo hivyo. Hapa Ubungo nako kulikuwa na taharuki, na kama isingekuwa Jeshi la Polisi kuingilia kati, watu wangeweza kupoteza maisha. Mheshimiwa Waziri Mkuu, jambo hili limeleta taharuki kubwa kwa wananchi kwani inakuwa vigumu kubaini kama ni uvumi au ukweli. Tumemuachia SACP Muliro alishughulikie suala hili, kwa sababu kuna watu wanaamka wakiwa wazima lakini wanadai nyeti zao zimepotea,” amesema. Kauli ya RC Chalamila inajia wakati serikali ikisisitiza umuhimu wa wananchi kubaki watulivu na kutoa taarifa sahihi kwa vyombo vya usalama badala ya kuchukua sheria mkononi. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
12
2
96
7.9K
Moore Tips
Moore Tips@officialmoore7·
🏆Predict to Win - Real Madrid Vs Bayern Munich🏆 💰WIN: $50 (5 Winners) ⚽️Real Madrid Vs Bayern Munich⚽️ Rules? - Follow @Gamblebulls @officialmoore7 , LIKE AND REPOST THIS! - Anyone who comments more than once will be disqualified - Make your predictions pre KICK OFF. 👇Winners announced after full time! 🏆
Moore Tips tweet media
English
1.2K
660
1.2K
62.1K
SALUM
SALUM@GiftMan4·
@zed_officially Ni kuweka mkataba mahakamani tu,mama umenikuta na Mali isijetokea umekuja kuniua kwa sababu ya Mali au kuachana kisa tugawane Mali,mnaweka mkataba atakayevunja imekula kwake
Indonesia
0
0
1
193
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Usioe MCHAGA. Ijumaa mahakama imeamua jamaa angu wanagawa mali kati kwa kati vitu vyote walivyo navyo. Kavikuta mtafutaji mwanaume. MCHAGA ASIPO KUUA ATAKUFIRISI NI SWALA LA MUDA TU
Indonesia
58
52
530
34.7K
Andrew Bolis
Andrew Bolis@AndrewBolis·
ChatGPT is a money-making machine. You can use it to earn $379 per day. Like + reply 'Money' and I'll send you my detailed guide for FREE. Must follow me to receive the guide in DM. FREE for the next 48 hours only.
Andrew Bolis tweet media
English
4.8K
493
4.5K
662.7K
ngoswe😎
ngoswe😎@RenatusJam33444·
Daah jana sijalala kabisa Kuna mshua namueshimu sana kanitext usiku anasema eti niende nikamchape MSIPA atanipa nmachotaka Daah tusali wanangu 🤦‍♂️😔🙏
ngoswe😎 tweet media
Indonesia
29
28
120
9.9K
SALUM
SALUM@GiftMan4·
@EngMapundajr Tuwaseme Hadi waone aibu kama wezi wa pesa za umma,mama ameluusu tuwaseme!!
Indonesia
1
0
1
35
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Ndio Maana Wanaume wa Dar Vikao haviishi..,Sasa ndio nini hiki sasa aise 😅😅😅
Eng.Mapunda Jr tweet media
Filipino
92
39
329
26.8K
SALUM
SALUM@GiftMan4·
@EngMapundajr Bodaa Wana mashida sana asa abilia unataka nn hasa
Indonesia
1
0
0
39
SALUM
SALUM@GiftMan4·
@bonifacejoseph_ Mungu anaangalia na yy akupe maskini kiharusi si utakufa chap bola ampe mwenye pesa atahangaika kujipambania
Indonesia
0
0
0
14
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Kwanini magonjwa kama kiharusi au stroke huwakuta sana wenye hela kuliko masikini?
Bony 📚 tweet media
Indonesia
67
20
284
17.9K
SALUM
SALUM@GiftMan4·
@Mwinshehe07 Kama anakupenda kwel mbona jambo dogo tu,mimba ndo suluhu hakuna jinsia ingien wazaz wenywe watasaluti kuluusu ndo a ifungwe!!
Indonesia
1
0
1
54
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Mimi na mpenzi wangu tumeshindwa kuoana kwasababu wazazi wake wanataka mahari ya 5M na Mimi Nina 2M, Unatushauri Nini?
Mwinshehe 🕊️ tweet media
Indonesia
93
55
200
5.8K
SALUM
SALUM@GiftMan4·
@Mikumifinest Relini Kuna devil mtoa roho,mm gari langu halina tatizo lolote ila sk iyo kufika hapo likazim na tren linakuja speed!!
Indonesia
0
1
9
1.5K
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Wiki hii Kuna bodaboda anaitwa Roja amepata ajali relini . Namna alivyojitahidi kukwepa kifo ila ikashindikana imewaachia watu kitendawili . Jamaa alikuwa anavuka Reli kwa haraka na pikipiki yake wakati huo Treni haikuwa mbali . Sasa pikipiki ikanasa ile ajinasue ikashindikana..
Indonesia
28
24
373
39K
SALUM
SALUM@GiftMan4·
@SuluhuSamia Pale si mwendo Kasi walitaka kuweka stend zao wale wakakomaa kutoondoka,sasa Nini tena kitawazuia kuondoka,mama tuwakumbuke kuwapa kifuta machoz miladi ya kimkakati iweze kujengwa!!
Filipino
0
0
0
767
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya moto ulioteketeza Soko la Mawasiliano (Simu 2000) lililopo katika Kata ya Sinza, Wilaya ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, jana Aprili 4, 2026. Ninatoa pole kwa wafanyabiashara waliopoteza mali zao na wananchi wote walioathirika na ajali hiyo kwa namna mbalimbali. Nimeziagiza mamlaka za uchunguzi kufanya kazi ya kubaini chanzo cha moto huo, kufanya tathmini ya madhara na hasara iliyotokea na kuchukua hatua stahiki haraka.
Indonesia
57
58
224
36K
SALUM
SALUM@GiftMan4·
@Roma_Mkatoliki Kumbe hii njia inawezekana,Kuna mtu namdai afu bosi nafanya NAE hii mbinu nimeikbal!!
Indonesia
0
0
0
112
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Namdai Alex pesa yangu, ananizungusha hataki kunilipa. Anasema pesa hana, ila yeye anamdai pia Becka, so anangojea siku Becka akimlipa ndio nayeye anilipe na mimi!! Jana kuna kazi tumefanya mimi na Becka, tukalipwa!! Wakati tunalipwa ile pesa ya Becka nikaichukua tena na mimi!! Nikamwambia mimi ninamdai Alex, na Alex anakudai wewe… so nimekata juu kwa juu!! Nikamwambia Alex usimdai tena Becka na mimi sikudai tena, na Becka hudaiwi tena na Alex…..tumemalizana NIKO SAHIHI? AU NIMEKOSEA WAPI?
Filipino
75
46
771
44.1K