Nelly steps
267 posts

Nelly steps 리트윗함
Nelly steps 리트윗함
Nelly steps 리트윗함

Wakati mwingine huwa namwona Anthony Mtaka kama mbegu nzuri iliyoanguka kwenye udongo mbaya.
Jamaa ni leadership material fulani hivi ambayo haiendani kabisa na system anayoiwakilisha.
Baada ya ile massacre ya Oct 29, nadhani ni Mtaka pekee aliyekiri magnitude ya ushenzi wa dola na kutoa chozi hadharani.
Sijui ilikuwaje akawa sehemu ya utawala wa kishetani kama huu!
Filipino

@ayubu_madenge Now natoka Instagram nimeingia x ila kitu nilichogundua huku x ni chuo kikuu
Eesti

@ayubu_madenge Mungu wetu ni mwaminifu hawahi wala hachelewi
Indonesia

@ayubu_madenge Inatukumbusha kuacha alama pale tunapo umaliza mwendo,atakumbukwa na vizazi vyote vya marekan
Filipino

@millardayo Mambo yawatu ya cmba haya wengine makundi full stop.
Indonesia

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa Amezitakia kheri klabu za Tanzania Simba, Yanga pamoja na Singida Black Stars ambazo hii leo zinashiriki katika mashindano ya kimataifa barani Afrika ngazi ya klabu bingwa na shirikisho.
Msigwa akiwasilisha Salamu za heri kwa niaba ya serikali amesema kuwa goli la mama liko pale pale na Rais Ameamua kuwa zawadi hiyo ya Goli la mama ianze kutolewa katika hatua za awali kabisa ambapo kila goli la ushindi ni shilingi milioni tano hivyo kila klabu itakayoshinda itapokea kadiri ya magoli itakayoshinda ambapo hatua ya robi fainali Goli la mama litakuwa milioni 10 na hatua ya nusu fainali goli la mama litakuwa milioni 20 na fainali itaandaliwa zawadi maalum huku ushindi wa matuta utahesabiwa kama goli moja.
“Ninatambuwa kuwa Yanga leo itacheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Wiliete nchini Angola, mechi zinazofuata ni Simba watakaocheza dhidi ya Gaborone ya Botswana, Azam watakuwa nchini sudan wakicheza dhidi ya El-Merriekh na Singida black stars watakuwa nchini rwanda wakicheza na Rayon Sports tunawatakia kila la kheri na goli la mama liko pale pele tena kwanzia hatua hizi za awali” amesema Gerson Msigwa.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@mshambuliaji Hayo yanazungumzika ,huyo nikondoo aliepotea malishoni
Filipino

JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata Jafari Jumanne Lutoboka (32) mkazi wa Mafiga Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za Kujifanya mtumishi wa Jeshi la Wananchi Tanzania na kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu.
Taarifa ya leo Septemba 17, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP. Alex Mkama imeeleza kuwa mtuhumiwa huyo kwa nyakati tofauti alipita maduka mbalimbali na kujifanya askari wa jeshi la Wananchi na kuchukua pochi sita na saa tatu mali alizodai zinafanana na rangi za Jeshi la Wananchi Tanzania na havistahili kuwepo madukani humo.
Taarifa hiyo imebainisha kuwa upelelezi wa awali ulibaini kuwa mtuhumiwa, Lutobeka alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania mwaka 2014 na kuanzia kikosi cha 831 Mgulani kisha kupangiwa Monduli chuo cha maofisa na kufukuzwa kazi 2018 akiwa katika kikosi cha Lugalo akiwa na cheo cha Luteni.
KitengeUpdates

Indonesia














