Betting asee 🙌🏻🙌🏻
Unakuta umebet 50K ili upate kama 1M Halafu inachana timu moja. Sasa ajabu ni kwamba unaumia umekosa 1M ambayo toka mwanzo haikua yako lkn sio unaumia umepoteza 50K 😂😂
Imekaaje hii?🤷🏻♂️
Nina binamu yangu tulimaliza nae darasa la 7 Lkn hakufaulu, mjomba akampeleka kusomea ufundi welding. Siku nimetoka chuo nikaenda kijijini nikakuta dogo amejenga nyumba ya vyumba vitatu, Pia ameoa ana mtoto kaanza shule.
Nilikaa chini nikatafakari sana maisha yangu sikupata jibu.
Vitu vinavyoweza fanya ureno wasifunge goli👇🏿👇🏿
1. Uwanja ulipuke ugeuke chini juu
2. Miguu ya wachezaji wa ureno ivunjike
3. Golini kwa Mexico ujenge ukuta wa chuma upana na urefu wa goli
4. Refa awe Mtanzania
5. Mechi iwe chini ya Tifua Tifua
6. Streka wa ureno akicheza Yipke.
Mama ni MZAZI. Hata kama ANAVUNJA ibara ya 59B(4) ya KATIBA ya Tanzania kwa “KUMUELEKEZA” DPP AFUTE KESI ZA UHAINI, lakini ana LENGO ZURI la KULIUNGANISHA TAIFA katika kipindi hiki cha MAOMBOLEZO. Mama AMEAPA KUILINDA KATIBA.