Peter Madeleka

14.4K posts

Peter Madeleka

Peter Madeleka

@PMadeleka

Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers

Tabora, Tanzania Katılım Nisan 2021
6K Takip Edilen144.5K Takipçiler
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN amekuwa akiwakumbusha MAJAJI wa Mahakama ya Tanzania, “WASIPINDISHE HAKI KWA PESA KIDOGO” 👇. Nawaambieni; kwenye jambo la RUSHWA; CHUTAMENI, ACHANENI NA MIMI. Ninao USHAHIDI unaojaa SCANIA MBILI.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
28
34
246
13.9K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Hata Rais SAMIA SULUHU HASSAN amesema mara kadhaa; “MAHAKAMA BADILIKENI”. Sasa endeleeni KUSHUPAZA SHINGO kwa KUNISAKAMA. Nitawaletea SCANIA MBILI zenye USHAHIDI kuhusu UTOVU WENU WA MAADILI.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
4
15
97
3.5K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
JAMANI, UCHAWI UPO: Juzi tu, KATAMBI alisema; Tanzania SIYO SALAMA. Leo anasema; NCHI IPO SALAMA. 😂😂😂 Kama unataka KUMKOSOA, basi tafadhali fanya hivyo kwa STAHA.🙏
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
29
25
244
13.7K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN ni Kiongozi ambaye ANAKERWA SANA NA RUSHWA MAHAKAMANI👇. Kama kuna KISEBENGO yeyote anataka KUNIADHIBU kwa tabia yangu ya KUKEMEA MAJAJI na MAHAKIMU WASIO NA MAADILI, basi ajue mimi NASIMAMA na Rais SAMIA.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
7
15
147
9.5K
peter jaluo🇰🇪
peter jaluo🇰🇪@peterjaluo007·
@PMadeleka Kuna rafiki yangu alimaliza mzumbe sheria shida ipo hapa tanganyika school kila akifanya mtihani pale hola huu mwaka 4 sasa ajawa wakili🤣🤣
Indonesia
2
0
2
378
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
IJULIKANE KWA WATU WOTE: Taaluma ya SHERIA ni WITO na UWAKILI ni KIPAJI. Siyo LAZIMA kila mtu awe WAKILI. Wengine wanaweza KUSOMEA fani zingine kama MAMA LISHE na BABA LISHE kule VETA.
Peter Madeleka tweet media
Filipino
7
11
102
13.1K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Leo tarehe 16 Julai 2026 Rais SAMIA SULUHU HASSAN ameongoza kikao cha BARAZA LA MAWAZIRI katika IKULU ya Chamwino, DODOMA, huku Makamu wa Rais (Mst.) PHILIP MPANGO na Waziri Mkuu (Mst.) KASSIM MAJALIWA, WAKIHUDHURIA.👇
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
47
38
486
58.3K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
LEO NIMEULIZWA HIVI: 👇 “Madeleka, eti kati ya BANGI ya Arusha na BANGI ya Iringa, IPI NI KALI ZAIDI?”. NIMEJIBU HIVI: 👇 “Wanaovuta BANGI, ndiyo WANAOJUA”. Huwa SIPENDI Maswali ya KIPUMBAVU.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
16
41
451
24.6K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Hapo 👇Jaji Mku GEORGE MASAJU alikuwa ANALALAMIKA KWA UCHUNGU SANA.🥲🥲
Indonesia
44
66
603
39.2K
quo warranto
quo warranto@OmaryFadhiry·
@PMadeleka But @PMadeleka, it isn't BY their IGNORANCE, they exactly knows what's Activism & it's contribution in the process of JUSTICE. They're just hypocrites. They can never fool us endlessly
English
1
0
1
29
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
I have decided to give a FREE LESSON to those who, by their IGNORANCE 👇, do not know the REAL meaning of ACTIVISTS and the NOBLE ROLE of Lawyers in serving JUSTICE.
Peter Madeleka tweet media
English
8
21
93
3.8K
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
In fact, efforts to delegitimize activism and discredit activists are part of a broader pattern by those who lack the legitimacy to govern. They exploit the widespread lack of public awareness to manufacture political relevance and shield themselves from accountability. The saying, "ignorance is bliss," has rarely seemed more apt than in this context.
English
1
2
5
960
Mene Mene Digital
Mene Mene Digital@DigitalMene·
@PMadeleka Nasikia na CWT, TUCTA na vyama vingine pia wapo mbioni kuwa na Muungano wa Serikali na Binafsi.
Indonesia
1
1
6
1.1K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Jamani, eti KWELI kwamba; NBAA inataka KUGAWANYIKA makundi mawili, yaani WAHASIBU WA SERIKALI na WAHASIBU BINAFSI, kama ilivyo TLS na TPBA?😂😂
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
10
14
272
22.1K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Ila MSIGWA👇😂😂😂
Peter Madeleka tweet media
Filipino
42
30
506
43.1K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora , ACP. TWAHA LULENGELULE, kama atapewa USHIRIKIANO, anaweza kuifanya Tabora kuwa sehemu SALAMA kwa watu wote, wakati wote.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
5
9
117
9.2K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Sababu ya KUCHEKA kwangu leo, ni hiyo 👇. Kwa KIZUNGU naomba niseme; “AFANDE HAS MADE MY DAY”.😂😂
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
20
13
213
15.1K