Sasa kama mtu aliniwinda mwenyewe na sisi wanaume hatujui kukataa😆😆
❄️™@N3sty09
Mchana ukiniona mtakatifu huwezi dhania mida kàma hii namsubiri mchumba wateja waishe afunge bar aje geto
Indonesia
❄️™
36.1K posts

@N3sty09
a man gotta do what a man gotta do.

Mchana ukiniona mtakatifu huwezi dhania mida kàma hii namsubiri mchumba wateja waishe afunge bar aje geto

Kuna mtu anasherekea kifo cha Mama mdogo wake ambae alimkosea miaka 21 iliyopita 🙌

Yani mwanamke independent kesi zao sio za 10k,20k, Kesi zake ni 500k nakuendelea 😃.

Kwa nini watu wenye roho mbaya ndio wanaofanikiwa? 🥹