Ni vitu gani muhimu unavizingatia unapochagua simu bora kwa ajili ya kupiga picha? ๐ธ Camera specs au reallife performance? Na ungeweza kumshauri nini mtu anayetaka simu kwa ajili ya picha na video kali kwa biashara au content creation?
RamaTech255๐น๐ฟ
14.6K posts

@Ramatech255
๐๐๏ธ Mobile Intelligence Expert | Kariakooโs Phone Solution ๐ฆ General Rule: EVERYBODY IS LYING. I provide the TRUTH. ๐ก๏ธ ๐ Kariakoo, Aggrey St, DSM ๐

Ni vitu gani muhimu unavizingatia unapochagua simu bora kwa ajili ya kupiga picha? ๐ธ Camera specs au reallife performance? Na ungeweza kumshauri nini mtu anayetaka simu kwa ajili ya picha na video kali kwa biashara au content creation?

Masusisho gani ya maana kwenye Camera yameongezwa ukitokea kwenye S25 plain ?

OnePlus 15T Moja ya simu Kali sana toka Kwa OnePlus anyways Chinese brands wanakuaga na devices za kibabe sana ni vile nchi yetu hatuwazingatii au ndo tunaamini aifoni ..Pekee siku ukipata Chinese flagship phone ya kibabe kama hii utabadili mtazamo juu ya choices za devices zako

Tatizo la Mawinga wa simu Kariakoo siku hizi, akianza kazi na akauza simu 4, teyari anakuwa mchambuzi wa simu. Unakuta kijana anakuambia Google Pixel ni bora kuliko iPhone. Vijana wameanza kupagawa sana. Tena anakuaminisha ukitumia Pixel haurudi kutumia iPhone.