RamaTech255🇹🇿
14.7K posts

RamaTech255🇹🇿
@Ramatech255
🐜👁️ Mobile Intelligence Expert | Kariakoo’s Phone Solution 🦞 General Rule: EVERYBODY IS LYING. I provide the TRUTH. 🛡️ 📍 Kariakoo, Aggrey St, DSM 🚀

Maana ya herufi baadhi zinazopatikana kwenye model number za Samsung phones kulingana na region 👇 🇺🇸 U / U1 → Models za USA Mifano: • SM-S921U • SM-S921U1 • SM-S928U • SM-S918U1 🌍 F / B → Models za kimataifa Mifano: • SM-S921F • SM-S921B • SM-S928B • SM-S918F 🇰🇷 N → Models za Korea Mifano: • SM-S921N • SM-S928N • SM-S918N 🇭🇰🇨🇳 0 → Models za Hong Kong / China Mifano: • SM-S9210 • SM-S9280 • SM-S9180 🇨🇦 W → Models za Canada Mifano: • SM-S921W • SM-S928W

Kuna mwanangu huwa anauliza kwanini napenda Samsung USA models kuliko regions nyingine kama Korea 😄 Jibu langu huwa simple tu👇 Samsung USA models mara nyingi zinakuja na Snapdragon chipsets ambazo zina good performance, power efficiency nzuri na thermal performance nzuri. Haya ni baadhi ya mambo ambayo yanakamilisha chaguo langu la USA Samsung models.



Ukiwa katika safari kitu gani hauwezi kosa katika begi lako?

Ndo huwa mnaagwa hivi wakuu?


Mkiwa serious sana kwenye mapenzi lazima muachane









