filbert leonora

2.2K posts

filbert leonora banner
filbert leonora

filbert leonora

@filbertleonora

Son of the most high God★only one life.soon will pass,But what's done for Christ will last.Goal to win million of souls for God 💫slave of love,Hunger for JESU

HEAVEN IS FOR REAL 가입일 Ekim 2015
2K 팔로잉181 팔로워
WANTAM
WANTAM@MoruoKing·
First world cup Hat trick for Messi
English
5
2
8
301
filbert leonora 리트윗함
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Ukijua thamani ya muda, utaacha kupoteza nguvu zako kuwafurahisha watu ambao hawathamini uwepo wako
Filipino
24
68
157
2.6K
filbert leonora
filbert leonora@filbertleonora·
@mangekimambi Im happy with this Muslims statement after dying yo go to heaven and spend with 72 virgins 😂🙏
English
0
0
1
476
filbert leonora 리트윗함
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Mungu akiwa na mipango yake juu yako, hata dunia nzima iungane kukupinga bado utatoboa, ila kama hana mpango, hata nzi anaweza kukuharibia mchongo.
Indonesia
14
67
264
4K
filbert leonora 리트윗함
MACARE
MACARE@macare_46·
Usipumzike kwenye umri wa kutafuta ili usije kutafuta kwenye umri wa kupumzika Good morning X family 🌄🌅
Indonesia
34
37
72
1.3K
filbert leonora 리트윗함
K a b i b i 🥀
K a b i b i 🥀@Rehemawilliams1·
Nipumzishe fuvu sasa. Kesho nayo ni siku. Tukijaaliwa kuamka Salama 🙏🏻☺️ "Muwe na usiku mwema."
Indonesia
14
18
46
1.3K
filbert leonora 리트윗함
irene Luxe Accessories💍
irene Luxe Accessories💍@Irene4803·
Si Kila Anaye Kutabasamia Anakupenda, Na Si Kila Anaye Kukosoa Anakuchukia.
Indonesia
13
39
85
3.4K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hili nalo ni kosa ambalo natuhumiwa kulifanya kwa mujibu wa Msajili. Sasa narudia tena kusisitiza, ofisi za Serikali si duka la wazazi wenu wala mali ya familia zenu. Mkipewa mamlaka ya umma, mnapaswa kuvumilia kukosolewa, kuulizwa maswali na kuwajibika kwa maamuzi yenu. Kama hamtaki kusemwa, kuhojiwa au kuwajibika, acheni hizo ofisi mrudi mkakae na wake zenu, waume zenu na familia zenu. Mamlaka si kinga dhidi ya uwajibikaji. Na hili linamhusu kila mmoja wenu, hususani pia na wewe Msajili
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
117
348
1.4K
47.8K
Mzee wa Chuki 🤬
Mzee wa Chuki 🤬@PapiiKhan98·
hakuna siku nimetembea umbali mrefu kwa miguu kama October 29 aise nilitembea mpaka nikahisi nimekua muisrael ..😂😂😂😂🙌🏼🚮 RIP Wanangu Tuliotoka Ila hamkufanikiwa Kurudi.🙏🏼🙏🏼
Indonesia
42
119
1.2K
31.7K
filbert leonora 리트윗함
MIRIAM💜
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·
Kadri tunavyokua, ndivyo tunavyoelewa kuwa si kila tunachopanga kitafanikiwa. Kuna nyakati unapaswa kukubali disappointment, ujifunze, halafu usonge mbele.
MIRIAM💜 tweet media
Indonesia
12
58
364
8.1K
filbert leonora 리트윗함
SAFO NYAME HERBAL THERAPEUTICS
SAFO NYAME HERBAL THERAPEUTICS@safonyameherbal·
Bro to bro After massaging or rubbing your balls, it’s either you have normal testicles or there may be abnormalities. Types of testicular tumors
SAFO NYAME HERBAL THERAPEUTICS tweet media
English
7
50
247
50.1K
filbert leonora 리트윗함
Lisa Lim
Lisa Lim@allbygrace_·
Marry someone who loves Jesus, loves to worship Him, loves the Bible, and strives every day to obey the Holy Word of God.
English
53
315
2.3K
28.2K
filbert leonora 리트윗함
OscarOscar
OscarOscar@mzeewakaliua·
Ukiambiwa KAA VIZURI Muda wa Mchana, maana yake ni tofauti Kabisa na ukiambiwa Usiku!
Indonesia
13
18
300
16.8K
filbert leonora 리트윗함
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
"Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike, kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.” Yoshua 1:9
हिन्दी
6
52
204
2.3K
filbert leonora 리트윗함
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Tabia zinazoharibu heshima yako 1. Kukaa kimya wakati jambo linakukera. 2. Kukubali wakati moyo wako unasema hapana. 3. Kujaribu kuwafanya kila mtu akupende. 4. Kuruhusu watu kuvuka mipaka yako 5. Kutoridhika na kulalamika kupitia kiasi 6. Kukaa sehemu ambayo huthaminiwi
Indonesia
5
71
244
10.1K
filbert leonora 리트윗함
MindPatternHQ⚜️
MindPatternHQ⚜️@MindPatternHQ·
20 Movie Scenes from '18+' Films That'll Leave You Spellbound 🔞 Save this for later—you'll need it...
MindPatternHQ⚜️ tweet media
English
31
61
544
246.9K
filbert leonora 리트윗함
Success Minded
Success Minded@_SuccessMinded_·
Don't react..
Success Minded tweet media
English
16
252
1.3K
19.9K