Kirahi
36.7K posts

Kirahi
@kirahiJS
Anonymous Patriot | Private Citizen | The Guardian Angel | Prophetic Social Engineer |
Tanzania 가입일 Nisan 2011
6.8K 팔로잉6.9K 팔로워
고정된 트윗

Kirahi 리트윗함
Kirahi 리트윗함
Kirahi 리트윗함

#TajiriLaKihaya
Kwa miaka mingi, marais wa Marekani wameficha ubeberu wao na ubeberu mamboleo kwa lugha ya usalama, demokrasia, na kuingilia kati kwa sababu za kibinadamu.
Sisi tuliosema ‘ni kuhusu mafuta!’ tulipuuzwa au kudharauliwa kama wana nadharia za njama za mrengo wa kushoto.
Sasa tuna rais wa Marekani ambaye anasema yote hayo hadharani na kwa kiburi. Sina hakika kama kuna kurudi nyuma tena, kwa kweli...
Moe@moneyacademyKE
Donald Trump now says the US could seize Iran’s oil resources, including key export hubs
Indonesia
Kirahi 리트윗함
Kirahi 리트윗함
Kirahi 리트윗함
Kirahi 리트윗함

Trump realising he was talking to a pakistani scammer this whole time not an Iranian negotiator.
BRICS News@BRICSinfo
JUST IN: 🇮🇷🇺🇸 Iran says it did not hold any direct negotiations with US.
English
Kirahi 리트윗함
Kirahi 리트윗함

🚨🇷🇺🇮🇷 BREAKING: Former Russian President Dmitry Medvedev @MedvedevRussiaE says there is “no doubt” Iran will inevitably acquire nuclear weapons after Khamenei’s assassination
English
Kirahi 리트윗함

Dikteta Herode aliposikia mtoto Yesu amezaliwa akatoa agizo la kuua watoto wote chini ya miaka miwili ili Yesu naye auawe.
Mungu aliyekuwa anafahamu mpango wa Herode akaamua kumtorosha mtoto Yesu huku akimruhusu Herode auwe watoto wote wasiokuwa na hatia wakati alikuwa na uwezo wa kumzuia.
Nawaelezeaje wanangu wadogo ili waelewe kuwa huyu ni Mungu mwenye upendo?

Indonesia
Kirahi 리트윗함
Kirahi 리트윗함
Kirahi 리트윗함
Kirahi 리트윗함
Kirahi 리트윗함

Yaani NI kama sasa hivi uwarudie watu walioishi mwaka 1500 kuhusu simu, uwaambie unaweza piga simu ukiwa Tz unaongea na mtu wa China
Hawataamini kabisaaa 😅😅
888@444holywitch
Nawe unaamini kuna mtu alikuwa na wake 700-1000 sio? Unaamini kuwa bahari ya shamu ikagawanyika kati watu wakapita afu ikajirudi😂. Kwamba mtu akamezwa na samaki akakaa zake siku tatu huko kisha akatapikwa akiwa hai😁. Kwamba mbinguni ni huko angani sio😂
Indonesia

@erickbyabato7 @EduTalkTz @HazimoMbongo Kinachikusumbua ni shule anaposema muda wa kuishi umeongezeka hazungumzi mtu mmojammoja anazungumzia wastani
Suomi

Kwa maelfu ya miaka tuliyoishi hapa duniani wanadamu tulishindwa kufanya chochote cha maana zaidi ya kubishana na kuuana kumpigania Mungu.
Fikra za udadisi zikazimwa, watu wakalazimishwa kuamini story za Mungu pasipo kuhoji. Theolojia ikawa mawazo pekee yasiyopingwa kwa hofu ya Mungu.
Tukaendelea kuuawa kwa magonjwa, majanga, na kuishi maisha duni ya tabu na mateso kwa sababu tu ya fikra mgando.
Tuliishi maisha ya tabu na mateso makubwa kwa miaka kibao yote kwa sababu ya kukaririshwa story za Mungu na kulazimishwa kuziamini.
Leo miaka michahe tu baada ya scientific revolution, binadamu anafanya mambo makubwa kuliko kawaida.
Tunatibu magonjwa, tumeongeza umri wa kuishi, tumepunguza umaskini, tumepunguza vita na ushenzi wa kuuana, tunawasiliana kwa simu, tunabrowse mitandao, tunasafiri kwa ndege, treni, na magari ya kisasa, tunatabiri hali ya hewa, tunatuma vyombo kwenye anga za mbali, na mengine kibao.
Story za Mungu na ubabe wa Kanisa vimetuchelewesha sana, leo tungekuwa mbali mara dufu.
Indonesia










