DaudiT

23K posts

DaudiT banner
DaudiT

DaudiT

@moshi34

Justice + Equality = Peace.......... . Just walk beside me and be my friend. Don't walk behind me; I may not lead. Don't walk in front of me; I may not follow.

Minneapolis, MN Katılım Haziran 2011
357 Takip Edilen610 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
DaudiT
DaudiT@moshi34·
But realize that not all success is due to hard work, and not all poverty is due to laziness. Keep this in mind when judging people, including yourself. because the more likely the outcome was influenced by extreme ends of luck or risk.
English
1
1
6
0
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwa maelfu ya miaka tuliyoishi hapa duniani wanadamu tulishindwa kufanya chochote cha maana zaidi ya kubishana na kuuana kumpigania Mungu. Fikra za udadisi zikazimwa, watu wakalazimishwa kuamini story za Mungu pasipo kuhoji. Theolojia ikawa mawazo pekee yasiyopingwa kwa hofu ya Mungu. Tukaendelea kuuawa kwa magonjwa, majanga, na kuishi maisha duni ya tabu na mateso kwa sababu tu ya fikra mgando. Tuliishi maisha ya tabu na mateso makubwa kwa miaka kibao yote kwa sababu ya kukaririshwa story za Mungu na kulazimishwa kuziamini. Leo miaka michahe tu baada ya scientific revolution, binadamu anafanya mambo makubwa kuliko kawaida. Tunatibu magonjwa, tumeongeza umri wa kuishi, tumepunguza umaskini, tumepunguza vita na ushenzi wa kuuana, tunawasiliana kwa simu, tunabrowse mitandao, tunasafiri kwa ndege, treni, na magari ya kisasa, tunatabiri hali ya hewa, tunatuma vyombo kwenye anga za mbali, na mengine kibao. Story za Mungu na ubabe wa Kanisa vimetuchelewesha sana, leo tungekuwa mbali mara dufu.
Indonesia
11
2
16
975
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@EduTalkTz Galileo Galilee aliuwawana viongozi wa kanisa kwa kusema dunia sio flat na jua halizunguki dunia
Indonesia
0
0
1
20
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@salim_alkhasas Umasikini wa Tanzania shida kubwa iko kwa viongozi wa serikali wala sio wananchi Viongozi wote ni wezi
Indonesia
0
0
0
9
DaudiT
DaudiT@moshi34·
Na sisi wananchi pia tunajiuliza kwa nini Akitokea mtu akakemea utekaji viongozi wanachukia Kama wao wanavyochukia utekaji kukemewa na sisi tunafuraha watekaji wakifa Watuache tufurahie wakifa..
Indonesia
0
0
0
11
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@AdvMatata Na sisi wananchi pia tunajiuliza kwa nini Akitokea mtu akakemea utekaji viongozi wanachukia Kama wao wanavyochukia utekaji kukemewa na sisi tunafuraha watekaji wakifa
Indonesia
0
0
3
35
Adv. Dickson Matata
Adv. Dickson Matata@AdvMatata·
Nimeona viongozi mbali mbali wakilalamika kuona wananchi kufurahia pale kiongozi anapofariki,kwangu mimi naona wanalalamikia "matokeo". Nawashauri watafute chanzo na katika kufanya hivyo, wajiulize swali hili; kwanini zamani wananchi hawakuwa wanafurahia kiongozi akifariki?
Adv. Dickson Matata tweet media
Indonesia
11
65
365
8.5K
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@mangekimambi Kuweka taa, maji vyoo na Viti vya zege mpaka mwekezaji
Indonesia
0
0
1
245
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@ReganTesla_ Na wewe ungesimama pembeni angalau tujue ukubwa wake
Indonesia
0
0
0
5
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Tusifikie hatua ya mficha maradhi..., wewe toa msaada kwangu kwa kununua Bidhaa. Ninazo bidhaa nyingi na kama utanunua kipindi hiki bei ni sale lakini pia umetoa sadaka.. 🙏🏽 Hii fridge 340,000/= Kingine chochote pia bei ni SALE!! CALL/WHATSAPP 0716006808
M.D (🅨) tweet media
Indonesia
1
34
46
1.2K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Hivi mwanadamu anapata dhambi kwa kumuua mwanadamu mwenzake tu au hata kuuwa viumbe wengine kama panya?🤔🤔 Ile amri ya USIUE inahusu wanadamu tu au kila kiumbe??
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
34
4
48
5.4K
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@Thommunkondya @godbless_lema Ni ngumu kuweka Viti, kuweka taa kupeleka maji, kuweka mfanya usafi, kuweka choo (cha kulipia) Bro be serious.. Hata kama ccm wamekutoa ubongo tumia hata kamasi
Indonesia
0
0
0
96
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Ni vigumu kuweka ubora, hadhi na viwango vya juu katika uendeshaji wakati wahusika wakuu bado ni wananchi wa kipato cha chini, kaka. Kuna mambo mawili yanaweza kutokea: ama gharama za uendeshaji au umiliki zitakuwa kubwa kiasi kwamba wengi watashindwa kumudu, au wananchi wengi watashindwa kumudu huduma na bidhaa. Hii ni kwa sababu maboresho mara nyingi huongeza gharama za huduma na bidhaa. Hivyo basi, ile dhana ya eneo la umma kwa ajili ya watu wetu wa kipato cha chini inaweza kupotea. Ni vigumu kuwa na hadhi ya juu huku wananchi maskini wakibaki na uwezo wa kumudu huduma hizo. Mfano mzuri ni daraja na feri watu wengi wa kipato cha chini huchagua feri kwa sababu ya gharama nafuu. Kwa hiyo, uwekezaji wowote utakaofanywa, mradi tu unalenga kurejesha gharama na kupata faida, ni wazi kuwa wananchi wa kipato cha chini wataathirika. Sio vibaya kuacha coco kuwa identity ya mji kama street culture
हिन्दी
7
1
15
3.7K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Jambo la msingi ni kwamba COCO Beach ibaki kuwa ufukwe wa umma, unaopatikana kwa kila mwananchi. Hata hivyo, ni lazima tuingize ubora, hadhi (class), na viwango vya juu katika uendeshaji wake. Ubora na standards haviwezi kuwekwa pembeni kwa sababu ya wingi wa watu, badala yake, viwe juu ya populism. Watu wanapaswa kujengwa ktk hadhi na standard. Ni mkakati mzuri wa kuinua FIKRA na UBUNIFU. Kwa hiyo, COCO Beach inapaswa kuwa ufukwe wa umma wenye hadhi, nidhamu, na viwango vya kimataifa mahali ambapo kila mtu anapata huduma bora, si tu kwa wingi wa watu, bali kwa ubora wa hali ya juu.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
43
61
685
40.9K
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@cw_pedro Sasa kama Gari ni la chama card ya Gari imebadilishwaje
Indonesia
0
0
0
116
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@MabalaMakengeza @rayasel94 Mwanzo 19:26 SRUV [26] Lakini mkewe Lutu, akiwa nyuma ya mumewe, aliangalia nyuma akawa nguzo ya chumvi. Lakini biblia haijasema watoto walikuwa nyuma ama mbele lakini obviously baba mbele mama na watoto nyuma
Indonesia
0
0
2
118
Ray Asel
Ray Asel@rayasel94·
Kama mke wa Lutu aligeuka nyuma akawa jiwe la chumvi, Je ni nani alimuona ilahali walikua hawageuki? 🤔
Indonesia
69
26
380
44.8K
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@Ipyana1 @rayasel94 Mwanzo 19:26 SRUV [26] Lakini mkewe Lutu, akiwa nyuma ya mumewe, aliangalia nyuma akawa nguzo ya chumvi. Katazo la kuangalia nyuma alikuwa la milele, hata kesho yake walipoenda pale walikuta sanamu la chumvi wakajua tu sababu aliangalia nyuma
Indonesia
0
0
0
11
Ipyana Francis
Ipyana Francis@Ipyana1·
@rayasel94 Yawezekana hakuwa wa mwisho kwny msafara(Kuna watu walikuwa nyuma yake wakamwona akigeuka mbele Yao)
Indonesia
1
0
0
114
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@kazilo3 @francismtey Unashindwa kuelewa hakuna mahali watu wanaabudu mti au mlima kama Mungu Mti au mlimani ni sehemu ya kuabudu kama msikiti au kanisa.. Na mizimu ni massanger wa kupeleka ujumbe kwa Mungu kama mtume Muhammad
Indonesia
0
0
0
10
kazilo
kazilo@kazilo3·
@moshi34 @francismtey Mungu hakuumba kiumbe au kitu ili kije kua mungu, watu ndio wanavibadilisha vitu ambavyo Mungu kaviumba na kuviita miungu, mfano Mungu kaumba mti watu wanauchonga na kutengeneza sanamu na kuiita Mungu, na kuna mifano mingine mingi tu.
Eesti
1
0
0
51
I AM
I AM@francismtey·
Ulishawahi Kujiuliza Kwanini MUNGU Alituambia; "Usiabudu Miungu Wengine" Na Wakati Anajua Fika Kabisa Yupo mwenyewe na Hakuna Mwingine Juu, Chini au Zaidi yake. Hayo Mawazo ya Kujua Kuna Miungu Wengine Aliyatoa wapi...
Indonesia
70
20
227
26.3K
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@francismtey @kazilo3 Tunajua kuwa kuna Mungu wengi na neno Mungu ni kama cheo Swali la kujiuliza hao miungu wengine waliumbwa na nani...? Na kwa nini Mungu aliumba miungu
Indonesia
1
0
0
51
I AM
I AM@francismtey·
@kazilo3 sijaelewa ulichoandika
Indonesia
1
0
0
550
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@EduTalkTz Kama ndio hivyo kwa nini muuwaji anapelekwa mahakamani na anahukumiwa kunyongwa
Filipino
0
0
0
36
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwa hiyo Mungu ndio aliamua vifo vya maelfu ya watanzania waliopigwa risasi za kichwa na Samia Oct 29?🤔🤔🤔 Kwa nini Mungu aliamua hawa maelfu wafe na sio Samia wala Kikwete wala Ridhiwani wala Wasira?? Unaona mnavyomtumia Mungu kitapelitapeli??
Filipino
7
21
102
4.8K
#ActiveCitizen
#ActiveCitizen@noor_abdul·
@assengajrr @JrKapesa Kusema Biblia haijazungumzia Afrika sio sahihi kabisa. Biblia inataja maeneo ya Afrika kama Misri (Egypt) na Kushi (Ethiopia/Nubia) mara nyingi. Mfano: 1. Yesu alikimbilia Misri akiwa mtoto (Mathayo 2:13–15) 2. Mtu wa Kushi (Ethiopia) alitajwa kwenye Matendo ya Mitume 8.
Indonesia
7
1
5
517
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Afrika tunaishi kwa simulizi za historia ambazo sio zetu. Bibilia hakuna mahali imezungumzia Afrika, ila wewe ukisimuliwa hadi unatetemeka na kuona Mungu ni mkuu. Unajiuliza Mungu alikua wapi kipindi cha Utumwa huku Afrika mbona hawakuandika izo story kwenye bible.
Indonesia
38
5
80
6.4K
DaudiT
DaudiT@moshi34·
@ikulumawasliano Yaani nyie ni matahahira, mmeifungia Twitter alafu mnasema tufuatilie
Indonesia
0
0
0
9
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz #TanzaniaYetuSote #NchiYetuKwanza
ikulu_Tanzania tweet media
Indonesia
32
26
58
4K