HP wa zamani

22.8K posts

HP wa zamani banner
HP wa zamani

HP wa zamani

@odompopodo

Freedom fighter/Human Rights/Fight for Democracy

American Fork, UT 가입일 Mart 2017
5.5K 팔로잉3.6K 팔로워
고정된 트윗
HP wa zamani
HP wa zamani@odompopodo·
Udhalimu hata damu za watu zikamwagika Mungu anasema ole wenu,ole wenu,ole wenu Ole wenu mliowauwa ndugu zetu na kuwajeruhi kwa silaha za moto Ole wenu mliotoa amri ya watu kuuwawa kwa sababu ya vyeo namali Ole wenu wazeewanafiki mlioshauri haya yatokee ole wenu waliokaa kimya
Indonesia
1
2
5
177
HP wa zamani
HP wa zamani@odompopodo·
Acheni basi vichekesho Mimi sina bei katika haki Niwe na dhiki au utajiri lakini sio kuacha madai ya haki nikawe chawa Acheni kusumbua watu sio wote tuna bei
Indonesia
0
1
2
20
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Sehemu kubwa ya matatizo tuliyoyapata ni Kwa sababu ya media za kijinga kama hizi.
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz

Vyama vya CHADEMA na ACT Wazalendo ambavyo ni Vyama vikuu vya upinzani nchini vimekosolewa kufuatia matamko yao waliyotoa muda mfupi baada ya 'Tume Huru ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Nchini Oktoba 29.2025 (Siku ya Uchaguzi Mkuu) na siku zilizofuata' kukabidhi ripoti yake kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ripoti ambayo imepingwa vikali na vyama hivyo Mchambuzi wa masuala ya siasa na jamii Ally Makame ni miongoni wa wadau waliojitokeza kukosoa matamko ya CHADEMA na ACT Wazalendo akihoji vikao vya vyama hivyo vilivyokaa muda mfupi baada ya Tume kuwasilisha ripoti yake, na hivyo kwenda mbali zaidi kwa kudai kwamba kile kilichoelezwa kwenye matamko hayo si misimamo halisi ya vyama bali ni utashi wa watu wachache ambao amedai kuwa wamekuwa wakitumia majukwaa ya vyama vya siasa kwa maslahi yao binafsi jambo ambalo halikubaliki "Hawa waliotoa taarifa kwamba hawakubaliani na Tume naweza kusema kuwa si vyama vya siasa Tanzania bali ni vyama vya uadui Tanzania, kwa sababu Mtanzania yeyote anayeipenda Tanzania na ikiwa unakwenda kwenye utaratibu unaotakiwa, vyama hivi vingeenda kukaa vikao vyao vya kisheria na Kikatiba halafu wakatoa tamko likajulikana kwamba hili ni tamko rasmi la chama" -Makame Makame ameeleza hayo alipokuwa akizungumza na Royal TV leo, Ijumaa Aprili 24.2026 ambapo amesema kutolewa kwa matamko ya vyama hivyo muda mfupi baada ya ripoti ya Tume kutolewa kunaonesha kuwa huenda haviendeshwi kwenye misingi ya kisheria na Kikatiba.

Indonesia
7
8
79
7.4K
HP wa zamani
HP wa zamani@odompopodo·
@sukununu01 Kama ambavyo mkundu wako hauzibiki tena Ila kama mkundu wako unaziba basi pengo la mbowe limezibwa Chagua mkundu wako unaziba au hauzibi
0
0
0
7
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Aliee takiwa kuwa mwenyekiti wa Chadema mpaka mda huuuuu ni mbowe sio lissu pengo la mbowe alizibwi na mtu yoyote pale chadema
Indonesia
186
7
51
27.6K
HP wa zamani
HP wa zamani@odompopodo·
@HildaNewton21 Namheshimu kwa sababu amewahi kuwa mkuu wetu wa KKKT Lakini amekuwa mjinga na kusema ni mjinga nimemweshimu Kama anaweza.kujinasua kwenye ujinga atoke kabla hajaingia kwenye upumbavu
Indonesia
0
0
1
30
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
HUYU DR. SHOO AKAE KWA KUTULIA Mtu ambae ulibadilisha Katiba ya Dayosisi yako ili ugombee awamu ya 3 uashauri nini kuhusu wauaji? Mtangulizi wako Askofu Martin Shao aliongoza awamu mbili tu then akaachia na Dayosisi ikaweka masharti ya Katiba kuwa ya term limit kuwa ni awamu mbili. Lakin wewe kwa ulafi wako wa madaraka ukabadili Katiba, ukaondoa ukomo na kugombea awamu ya 3. Mbaya zaidi ukawaengua wapinzani wako wote, ukabaki peke yako, ukapigiwa kura za NDIO na HAPANA sasa mtu wa aina hii una tofauti gani na Nduli Idd Amin Mama?? 🚮
Indonesia
56
58
259
14.2K
HP wa zamani 리트윗함
GlorySiah Rimoy
GlorySiah Rimoy@GlorySiahRimoy·
Unatunga mitihani unaufanya wewe mwenyewe utapata ngapi?
Indonesia
1
12
35
688
HP wa zamani
HP wa zamani@odompopodo·
@Sativa255 Huyu siku tukimalizana na ccm huyu aburuzwe barabarani toka singida aje aachwe pale ikonda
0
0
0
25
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hawa wasenge ni wanyama.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
6
48
282
5.9K
HP wa zamani
HP wa zamani@odompopodo·
@BenDoBrown Just imagine he is senior advisor of president Which kind of advise he gave a president? To kill civilian and say no we are not the regime shame on you lazaro
English
0
0
1
52
Benjamin Strick
Benjamin Strick@BenDoBrown·
Ambassador Nyalandu, senior advisor to Tanzania's president: 'The Government was not responsible for the death of protestors. The Government went to protect everyone.' That's not true. We documented Government security forces killing civilians on the streets of Tanzania.
English
15
160
403
35.2K
HP wa zamani 리트윗함
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
Summary fupi ya tume ya Chande na Maridhiani kutoka kwa Balozi Polepole (Mungu amlinde popote alipo🙏) . "Baada ya uchaguzi msikubali maridhiano mtakuwa wajinga". Polepole
Indonesia
3
69
346
7.2K
HP wa zamani 리트윗함
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Walihongwa kuandamana.? Watanzania sio wajinga kiasi hicho”-; Father Kitima
Indonesia
7
196
828
10.5K
HP wa zamani
HP wa zamani@odompopodo·
@joeselasini Kwanini mnatuomba watanzania wakati mlishinda na mnasema ilikuwa uchaguzi wa Amani Unanipa mguu bandia baada ya kunivunja ule niliopewa na Mungu? Ester aje tumvunje mguu naye anufaike na huo mguu bandia
Indonesia
0
1
3
38
HP wa zamani
HP wa zamani@odompopodo·
@Roma_Mkatoliki Zilitembelewa familia 1300+ za waliofiwa na kupotelewa ndugu zao halafu wakati huo huo waliokufa ni 500+ Tumwamini nani chande au lazaro
0
0
0
38
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Bus linapata ajali wanakufa abiria 50, ila Gavoo ikija kutoa habari lazima wapunguze idadi ya vifo, watasema wamekufa abiria 7 na majeruhi 12 tu!! Na hiyo ni ajali ya Bus tu ambalo hata hawajahusika nalo. Sasa ndio ije kuwa haya mauaji ya halaiki ambayo wamehusika kwa asilimia 💯 Lazima tu wapunguze numbers kupunguza chaos!!
Indonesia
25
129
1.1K
31.5K
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Uhuru na weledi ikatoka na uongo wa karne sio? Busara ni kudhibiti mdomo pale ambapo nafsi inapotaka kusemea jambo gumu.
Filipino
92
21
143
30.5K
HP wa zamani
HP wa zamani@odompopodo·
@UlimwenguJm Yohana 8:32 Tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru. Asante madam
Indonesia
0
0
0
28