Josephine Marealle-Ulimwengu

1.7K posts

Josephine Marealle-Ulimwengu

Josephine Marealle-Ulimwengu

@UlimwenguJm

Chief, Systems-Wide Coherence, ECA, Passionate about Gender Equality #making this world a better place for all. Tweets are mine!

Addis Ababa, Ethiopia Katılım Kasım 2018
714 Takip Edilen5.4K Takipçiler
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
Democracy Union of Africa
Today marks one year since the arrest and continued detention of Hon. Tundu Lissu. As a Union committed to democracy, rule of law, and political freedoms, we stand firmly in solidarity with him, his family, and the CHADEMA Party.
Democracy Union of Africa tweet media
English
7
195
445
5.8K
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
Amina J Mohammed
Amina J Mohammed@AminaJMohammed·
On this day, we pause to remember the genocide against the Tutsi people in Rwanda, 32 years ago. May the memory of all the victims be a solemn reminder that the duty to prevent atrocities is one we must never set aside.
Amina J Mohammed tweet media
English
33
305
800
14.8K
Josephine Marealle-Ulimwengu
Kwibuka32!!! We remember, we grieve with you, and we pay tribute. We stand in solidarity with the people of Rwanda, honoring the lives lost and the courage of those who survived. May this remembrance renew our shared commitment to humanity, compassion, and the responsibility to ensure that such tragedy is never repeated anywhere in the world.@UNRwanda
Josephine Marealle-Ulimwengu tweet media
English
1
5
21
527
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepinga vikali uamuzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wa kukifungia kituo cha mtandaoni cha Jambo TV kwa muda wa siku 90, likitaja hatua hiyo kuwa ni adhabu kwa taasisi badala ya mhusika. Katika taarifa iliyotolewa na jukwaa hilo, TEF imeeleza kusitushwa na hatua hiyo inayodaiwa kutokana na makosa ya maudhui, ikisisitiza kuwa makosa ya kitaaluma yanapaswa kushughulikiwa dhidi ya mwanahabari husika na si chombo kizima cha habari. Ili kutoa uzito wa hoja hiyo, TEF imekumbusha tukio la kihistoria la Novemba 1, 2007, ambapo daktari katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) alifanya kosa kubwa la kitaaluma kwa kupasua goti badala ya kichwa na kichwa badala ya goti. "Pamoja na kosa hilo kubwa, hatukusikia Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikifungiwa, bali wahusika binafsi waliwajibishwa. Kwa msingi huo, TEF inaamini kuwa makosa ya kitaaluma yanapaswa kushughulikiwa kitaaluma badala ya fungiafungia ya vyombo vya habari," ilieleza sehemu ya taarifa hiyo. Aidha, TEF imelalamikia utaratibu wa vyombo vya udhibiti kuchukua majukumu ya Mahakama, jambo ambalo ni kinyume cha Ibara ya 107 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jukwaa hilo limebainisha kuwa hatua hiyo haiharibu tu uhuru wa habari, bali inachafua heshima ya nchi kimataifa na kudhoofisha haki ya umma kupata taarifa. Kutokana na kadhia hiyo, TEF imetangaza nia ya kuanzisha mazungumzo ya kitaaluma yatakayohusisha Wizara ya Habari, TCRA, Jambo TV, na mwandishi husika ili kutafuta suluhu ya kudumu. "Kufungia chombo cha habari ni adhabu inayowaathiri wananchi kwa kuwakosesha habari. Lengo letu ni kulinda maslahi ya Taifa, taaluma, na hadhira inayoshuhudia minyukano hii," ilihitimisha taarifa hiyo.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
19
19
168
21.2K
Josephine Marealle-Ulimwengu
Wakati tunasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo, tukumbuke kwamba alikufa msalabani kwa ajili ya wokovu wetu, ili kutukomboa kutoka dhambi na kutupatia uzima wa milele. Kwa upendo huo na sadaka yake, tunaitwa pia kutenda na kusimamia haki. Nawatakia Pasaka njema yenye amani na upendo.
Indonesia
2
13
68
2.1K
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
Mwaura Robert
Mwaura Robert@MwauraRobert2·
@UlimwenguJm @vicensiashule @raiyajenerali Happy birthday 🎂 general ulimwengu,may you live long,may you blow a thousand candles. God bless you as you celebrate your birthday 🎂, shalom
English
0
1
2
298
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
KasomaJr
KasomaJr@ekasoma·
As we celebrate his birthday today, we also recognize and honor his outstanding contribution to the struggle for good governance, the rule of law, and human rights in Tanzania. He has remained steadfast, consistent, and fearless in speaking truth to power, standing as a voice for the voiceless despite the danger and the harsh realities many Tanzanians continue to endure. Ni mzalendo wa kweli, shujaa wa haki, na mtu mwema sana. Counsel @TitoMagoti I have responded to your call through you post on x. Tuendelee kusherehekea maisha ya mzee kwa kumtia moyo na kuendelea kumuombea afya nyema. Salaam kwa Watanganyika wote wanao elewa na kuamini katika fikra za mzee wetu @raiyajenerali
KasomaJr tweet media
English
1
2
9
913
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
Ananilea Nkya (PhD)
Ananilea Nkya (PhD)@AnanileaN·
Kaka Jenerali Ulimwengu Happy Birthday. Wewe ni raia mwema jasiri, Mungu akujalie miaka mingine mingi ya kuishi ukiwa na afya njema ya mwili na akili, ili uendelee kutoa mchango wako mzuri kwa maendeleo ya taifa letu na wananchi wake.
Ananilea Nkya (PhD) tweet media
Indonesia
2
50
313
2.3K
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
☆ M~A~M~I~T~A ☆
☆ M~A~M~I~T~A ☆@WevoicesofTeta·
Happy Birthday Papa ❤️🙏🏽 @raiyajenerali 🎉🎉🎉🎉
Josephine Marealle-Ulimwengu@UlimwenguJm

Join me in celebrating my beloved husband as he marks a beautiful new milestone ….. ❤️happy birthday to JU @raiyajenerali !💕 Allah akujalie maisha marefu, afya njema, furaha isiyo na kikomo, na mafanikio endelevu katika uandishi wako, uchapishaji, na tovuti yako mpya, The Jenerali Ulimwengu Post (thejeneraliulimwengupost.com), jukwaa linaloelimisha, kufahamisha na kuhamasisha kupitia mitazamo huru kuhusu jamii, siasa, utamaduni na mawazo yanayobadilisha fikra na jamii. Chapisho lako uliloandika kwa ushirikiano na Dkt. Azaveli Lwaitama, Pan-Africanism: The Re-membering of a Nation, liwe nuru kwa wanafunzi, wanafikra na viongozi wanaotafuta kuelewa na kuendeleza haki, heshima, umoja na maendeleo ya Afrika na diaspora ya Afrika. Naiombea kazi yako iendelee kuchochea moto wa uwanamajumui katika mioyo ya vijana (viongozi wa sasa) na kizazi kijacho, ikiibua mapinduzi chanya ya fikra za ujasiri katika kuleta haki, amani na maendeleo endelevu kwa bara letu la Afrika.

English
0
1
4
165
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
Bin Kazumari
Bin Kazumari@jemedarisaid·
A very HAPPY BIRTHDAY kwako Mzee wangu Jenerali Twaha Ulimwengu, Allah akupe umri mrefu, Afya njema ili uendelee kutupa maarifa zaidi. Mwanazuoni na Mwanahabari NGULİ, binafsi nimepata maarifa mengi kutoka kwenye RAI ya Jenerali na Jenerali on Monday. Live long sir 🙏
Bin Kazumari tweet media
Indonesia
2
24
100
3.4K
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
Joseph Mrungu
Joseph Mrungu@mrunguj9·
Happy birthday Jenerali Ulimwengu @raiyajenerali 🎉 Mwenyezi Mungu akuongezee miaka mingine mingi akujalie afya njema, furaha na mafanikio 🙏🏽
Joseph Mrungu tweet media
Indonesia
0
27
202
3.6K
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Huyu ni Mwalimu wangu Tundu Lissu. Na mzee wangu, Cde @raiyajenerali. Cde Ulimwengu alimtembelea Mwl wangu hospitali Nairobi akiwa na mke wake, auntie J. Walimuunga mkono. Leo—kila siku, Jenerali yuko Kisutu. I mean, The Ulimwengus are Lissus. We are TAL. #IamTunduLissu.
Tito Magoti tweet media
Filipino
20
338
1.4K
22.2K
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Familia ya Tundu Lissu imepitia mengi na itazidi kupitia mengi Imagine Pasaka hi hawajui Baba yao ana hali gani hawajamwona kwa mwaka na ushee na wanaelewa kuwa @SuluhuSamia amepanga kumnyonga kwa tuhuma za uongo Tundu Lissu amejitolea sana kwa ajili ya Taifa angeweza kukaa kokote nchini na familia yake akaishi maisha mazuri ila amekataa! Na hadi sasa yuko gerezani maana amekataa kuCOMPROMISE Je tunashindwa hata kuandika #FreeTunduLissu kila siku hata mara moja? Let’s do this wapenda haki! IMETOSHA! Mwachieni Lissu #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
40
252
1.1K
26.1K
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Happy birthday Mzee Jenerali Ulimwengu. You are a blessing to humanity and Tanzania in particular. You have said the truth to all who think politics is a road to self-enrichment and aggrandizement. You have called them out in public through your writings and interviews. These charlatans and power grabbers are a total disgrace to Tanzania and they have no iota of humanity in them regardless of their religious regalia and invocation of God's name.
Josephine Marealle-Ulimwengu@UlimwenguJm

Join me in celebrating my beloved husband as he marks a beautiful new milestone ….. ❤️happy birthday to JU @raiyajenerali !💕 Allah akujalie maisha marefu, afya njema, furaha isiyo na kikomo, na mafanikio endelevu katika uandishi wako, uchapishaji, na tovuti yako mpya, The Jenerali Ulimwengu Post (thejeneraliulimwengupost.com), jukwaa linaloelimisha, kufahamisha na kuhamasisha kupitia mitazamo huru kuhusu jamii, siasa, utamaduni na mawazo yanayobadilisha fikra na jamii. Chapisho lako uliloandika kwa ushirikiano na Dkt. Azaveli Lwaitama, Pan-Africanism: The Re-membering of a Nation, liwe nuru kwa wanafunzi, wanafikra na viongozi wanaotafuta kuelewa na kuendeleza haki, heshima, umoja na maendeleo ya Afrika na diaspora ya Afrika. Naiombea kazi yako iendelee kuchochea moto wa uwanamajumui katika mioyo ya vijana (viongozi wa sasa) na kizazi kijacho, ikiibua mapinduzi chanya ya fikra za ujasiri katika kuleta haki, amani na maendeleo endelevu kwa bara letu la Afrika.

English
0
30
180
3.9K
Josephine Marealle-Ulimwengu retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Happy birthday Jenerali Ulimwengu @raiyajenerali 🎉 Mwenyezi Mungu akuongezee miaka mingine mingi akujalie afya njema, furaha na mafanikio 🙏🏽
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
22
164
1.1K
9.9K
Josephine Marealle-Ulimwengu
Join me in celebrating my beloved husband as he marks a beautiful new milestone ….. ❤️happy birthday to JU @raiyajenerali !💕 Allah akujalie maisha marefu, afya njema, furaha isiyo na kikomo, na mafanikio endelevu katika uandishi wako, uchapishaji, na tovuti yako mpya, The Jenerali Ulimwengu Post (thejeneraliulimwengupost.com), jukwaa linaloelimisha, kufahamisha na kuhamasisha kupitia mitazamo huru kuhusu jamii, siasa, utamaduni na mawazo yanayobadilisha fikra na jamii. Chapisho lako uliloandika kwa ushirikiano na Dkt. Azaveli Lwaitama, Pan-Africanism: The Re-membering of a Nation, liwe nuru kwa wanafunzi, wanafikra na viongozi wanaotafuta kuelewa na kuendeleza haki, heshima, umoja na maendeleo ya Afrika na diaspora ya Afrika. Naiombea kazi yako iendelee kuchochea moto wa uwanamajumui katika mioyo ya vijana (viongozi wa sasa) na kizazi kijacho, ikiibua mapinduzi chanya ya fikra za ujasiri katika kuleta haki, amani na maendeleo endelevu kwa bara letu la Afrika.
Josephine Marealle-Ulimwengu tweet mediaJosephine Marealle-Ulimwengu tweet mediaJosephine Marealle-Ulimwengu tweet media
Indonesia
67
118
637
28.3K