Otapp TZ

592 posts

Otapp TZ banner
Otapp TZ

Otapp TZ

@otapptz

The Easiest Way to Book Online Bus, Events, Movies, Cargo and Flights Tickets in Tanzania

Dar es Salaam 가입일 Haziran 2020
825 팔로잉740 팔로워
Otapp TZ
Otapp TZ@otapptz·
Teknolojia imefanya kila kitu kuwa rahisi. Kupitia Otapp, unaweza kukata tiketi za mabasi, kupata tiketi za cinema, kununua tiketi za event, na kutuma cargo kwenye simu yako. Pakua Otapp na uanze kufanya booking kwa urahisi kupitia link 👉 link.otapp.live
Indonesia
0
0
0
405
Otapp TZ
Otapp TZ@otapptz·
Usahihi wa taarifa kwenye tiketi ni jambo la muhimu. Hakikisha jina lako limeandikwa vizuri ili kuthibitisha umiliki wa tiketi yako wakati wa safari. Tumia Otapp kukata tiketi zako kwa urahisi na haraka. Pakua kupitia link 👉 link.otapp.live
Filipino
0
1
4
309
Otapp TZ 리트윗함
✨𝟚 𝟘 𝟚 𝟞✨
✨𝟚 𝟘 𝟚 𝟞✨@kenafricx21·
mwanzilishi wa Otapp itakua anapiga hela vibaya mno!
Indonesia
2
2
13
620
Otapp TZ 리트윗함
Dr. Boaz
Dr. Boaz@PhysicsJ7·
@Mkuwainnocent1 @ReganTesla_ Ulitakiwa upige simu ofisini muda huohuo , ungekatiwa hiyohiyo siti yako manually. Au ungepiga OTAPP ndo ingekuwa rahisi zaidi. Ila kukata Tena ulifanya makosa.
Filipino
0
1
2
188
Otapp TZ
Otapp TZ@otapptz·
Ukanda wa Magharibi ni moto🔥 Ushindani ni mkali! Kutana na katoto ka 2000 😁 mali halali ya @an_classic_official, likifanya safari Dodoma–Kigoma kila siku! Umewahi kulipanda? Tuambie experience 🤪 Tiketi👉 link.otapp.live ☎️0748 771 160
Otapp TZ tweet media
Filipino
0
1
2
169
Otapp TZ 리트윗함
ABD
ABD@SamataJr_12·
@SouthernBuses Kwa sisi wazee wa kiguu na njia tutakuwa na App ngapi za Mabus🤣 Acha nibaki zangu na Otapp app ina itosha aisee🤦‍♂️
Filipino
2
1
1
112
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
BUSBORA wamechukua tuzo kama Kampuni bora ya kukatisha tiketi za mabasi mtandaoni kwa mwaka 2025 katika Tuzo za LATRA zilizoandaliwa na kutolewa ndani ya wiki ya maadhimisho ya usafiri endelevu. Hongera sana kwao.
Filipino
4
3
38
3.1K
Otapp TZ 리트윗함
Zaburi Frolian — e/acc
Zaburi Frolian — e/acc@99Zaburi·
I really cooked these Otapp designs. Booking (dot) com type of shit
English
4
4
32
1.6K
Otapp TZ 리트윗함
Tanzania Bound Buses
Tanzania Bound Buses@TBoundBuses·
Sema kwaheri kwa tiketi za karatasi na foleni. Otapp inakupa njia ya kisasa, rahisi, na salama ya kukata tiketi za kwenda Mwanza na maeneo mengine yote ndani ya app moja. Pakua aplikesheni yetu sasa kupitia link: link.otapp.live Kwa msaada zaidi, wasiliana nasi kupitia 0748 771 160.
Tanzania Bound Buses tweet media
Indonesia
3
4
36
3.4K
Otapp TZ
Otapp TZ@otapptz·
Abc upper class Njombe Dar EHU series za masaa ya mbele 🔥🔥🔥 Kila siku saa 1 kamili usiku Tiketi za Abc upper class utazipata kupitia aplikesheni yetu, pakua sasa kwenye google playstore na appstore kupitia link ya link.otapp.live Kwa msaada zaidi 0748 771 160.
Indonesia
0
0
1
64