G-Class
5 posts


BREAKING NEWS: Mahakama ya kimataifa ya ICC, imekaa leo kujadili matukio ya mauaji yaliyofanyika Tanzania. Samia, Abdul na Genge lenu kaeni mkao wa kula.
Tuendelee kujaza FOMU hiyo ICC nimeweka link: docs.google.com/forms/d/e/1FAI… . tujaze kwa wingi na tuambatanishe USHAHIDI wa video na picha za mauaji aliyofanya DIKTETA JIKE.
Tufanye kwa wingi sana, hii ndio mahakama pekee inayoweza KUMFUNGA SAMIA duniani. Tusikubali damu za ndugu zetu kwenda bure, tuendelee kujaza FOMU naomba naomba JAZA FOMU YA ICC.
USILALE KAMA HUJASUBMIT FOMU YA ICC, KINYUME NA HAPO WEWE NI MSALITI. USHAHIDI TUSHAPOST MWINGI SANA, DOWNLOAD KISHA SUBMIT.
REPOAT 200.
#TUTAKUWEPO🫵😎

Indonesia





