
@__HeardEmSay You're the only sober arsenal fan around here. Going from trophyless last season to aiming at winning three trophies this season is a bit unrealistic
English
Chapiah
17.6K posts





kwani leo hamtizami highlights?


Mterehemezi mwenye neema kuu kuu na zile ndogo ndogo. Duniani ni mahali pako pa miguu. Sisi kama manchester city hatuezi bila wewe Baba. Tunakuomba leo utupe ushindi katika mechi hii dhidi ya Arsenal. Tutakaposhinda, sifa na utukufu zitakurudia ewe Maulana. Amina.


Langu mimi ni kuwatakieni safari njema toka hapa makao makuu nchini ya kutizama highlights. Lakini iwapo gari litapata panchari kwenye hiyo safari, basi na mjue NITAKUWEPO!
