GUMBO_1 +255⚽
3.2K posts

GUMBO_1 +255⚽
@255Wilfred
I believed in God
Ankara, Türkiye Katılım Haziran 2019
751 Takip Edilen192 Takipçiler

@SuluhuSamia Sidhani kama kuna mwaka ndani ya miezi 5 wabunge 3 wamekufa. Hii nadhani 29 inafanya kazi
Indonesia

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, kilichotokea leo jijini Dodoma.
Tumepoteza kiongozi shupavu, mahiri, mwenye uzoefu mkubwa, mzalendo na mtumishi wa umma aliyelitumikia Taifa letu kwa uadilifu, weledi na kujitolea. Mchango wake mkubwa katika ujenzi na maendeleo ya Taifa letu utaendelea kuenziwa na kukumbukwa siku zote.
Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, familia, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na Watanzania wote kwa msiba huu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Amina.

Indonesia

@Jambotv_ Mbunge wa arusha Nani alimchagua apeleke yake hukoo
Indonesia

VIDEO:
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Christian Makonda amesema kuelekea mwaka 2030 wapo wanasiasa wengi wanaotaka kutumia shida za wananchi kupata uongozi Mkuu wa Nchi, akiahidi kushughulikia wale wote wanaopanga njama za kuharibu na kudhoofisha jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan ili kufanikisha ndoto zao za Urais.
Makonda amebainisha hayo leo Jumatano Machi 25, 2026 mkoani Arusha mbele ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati wa mkutano wa mwaka wa wadau wa elimu kwa umma nchini, akiwaonya pia wateule wa Rais ambao wamekuwa wakitumia nafasi zao kupanga safu za kuwania Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, akiahidi kutomsaliti Rais Samia Suluhu.
"Mimi tukiwa kwenye vita situmi mtu, nakuja mwenyewe kukushughulikia na nina bahati pia ya kusema na Mungu, watu wote hawa wanaojipanga na Urais hawawezi hata kushika Urais mwaka 2030, mtaniona hapa na hili wekeni kwenye kumbukumbu, hawatapata kwani Watanzania si wasahaulifu na pia tutaweka rekodi ulifanya nini awali na ukweli ni kuwa huwezi kuwa malaika dakika za mwisho kabla ya uchaguzi. Shetani ni shetani tu hata kama akizeeka”, amekaririwa Makonda.
Akibainisha kukerwa na kuona baadhi ya wanasiasa wakiwa kwenye mipango kuelekea 2030 pamoja na kutaja uzoefu wake katika siasa, Makonda ameeleza pia kushangazwa na maigizo ya baadhi ya wanasiasa ambao wamekuwa wakiigiza kusikiliza kero za wananchi, kuikosoa serikali pamoja na kutaka kujiweka kando na serikali, akimpongeza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu kwa kusimama imara na Rais Samia Suluhu Hassan, kumtaka kutokatishwa tamaa na kuahidi kusimama na Rais Samia dhidi ya wote wanaompinga.
Indonesia

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kisa tamaa za kupata Urais mwaka 2030 hawatofanikiwa, ambapo amesema Watu hao wote wanaojipanga na Urais mwaka 2030 hawatoupata.
Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Jijini Arusha leo Machi 25, 2026, Makonda amesema ““Kuna Watu wengine nikikaa nasikiliza hotuba yake nasema huyu kabadilika lini?, kuna Watu wanapenda kuyatumia matatizo ya Wananchi kama vile Watetezi halafu uwezo wa kutetea hawana kwasababu hawana hiyo rekodi ya kutetea Wananchi”
“Sasa tunaelekea huko 2030 wataibuka Watu wengi sana, nataka niwaambie Mtu yoyote atakayemsaliti Dkt. Samia ambaye alituona, Mimi binafsi nilipata bahati Rais Samia aliniona nikiwa Mtaani miaka mitatu na miezi sita hata simu haiiti, unakaa na Mkeo unacheza na Watoto unajifunza na muda wa kuwapeleka Shule, Mtu huyu amekuona akakupa nafasi, sasa kupitia hiyo nafasi umepata hela kidogo, umeanza kuwa na jina kidogo, unatengeneza network halafu unapambana kupambana na yule aliyekupa nafasi na heshima hiyo”
“Mimi Paul Makonda sitomsaliti Dkt. Samia Suluhu Hassan na kama uongozi wangu unatakiwa kuishia 2030 utaishia hapo kwani kuna shida gani?, kwani unatakiwa utawale maisha yako yote?, na ndio maana ukiona hao Viongozi wanataka kujitenganisha hii Serikali yeye akae pembeni awe sehemu ya Wakosoaji wa Serikali”
“Mimi tukiwa kwenye vita situmi Mtu, sio wale mkikutana mnachekeana aah Kamanda tuko pamoja halafu unasuka mipango huku nyuma aah Mimi nakuja mwenyewe kukushughulikia wote wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake huu kwa ndoto zako hazitotumia”
“Mh. Waziri Mkuu Mimi nina bahati ya kusema kidogo ya Mungu, Watu wote wanaojipanga hawa hawawezi kushika Urais nakuhakikishia, wekeni kwenye kumbukumbu hawapati, Watanzania hawawezi kuwa wasahaulifu tutaenda rekodi kwa rekodi hauwezi kuwa Malaika dakika za mwisho, shetani ni shetani tu hata kama akizeeka”
#MilardAyoUPDATES

Indonesia

@Aduiwayanga Kwamba Hilo hata kama wewe sio Askari huwezi kufanya🚮
Indonesia

@KumbushoDawson Kuna DJ uchwara anapotezwa kwa kucheza mziki ili makofi yasisikike
Polski

@SimbaSCTanzania Nyie hamtaki kulalamika, au nyie hamna majeruhi
Indonesia

@NicksonKibabage Walionyesha chuki mionyoni mwao kumbe wanakutupa sehemu sahihi
Indonesia


































