TruexJr🇦🇪
90.4K posts





Kasome mkataba vizuri! Hujui vitu vingi sana kwa sasa!.. Aliyeiba zile 3trn TZS za SGR mwambie akuambie kama CCECC siyo sister company na CRCEG 😁😁 Kwa manufaa yako na wengine kasome toka CRCEG imeanzishwa mwaka 1953 imebadili majina mara ngapi na ina sisters companies ngapi?! Ni vyema mkawa na nguvu za kutosha maana hili suala tutaenda nalo kwa muda mrefu sana mpaka watanzania wajue nani mwizi wa hizi hela!.. Tuwe wavumilivu tu kwa hatua ya sasa!..




KM wa Wizara anasema CAF wanataka level 4 kwa ajili ya michuano yao lakini anadai pia Mnunuzi alikuwa mmoja kwasababu ya kukimbizana na muda. Yapi maoni yako?



THIS IS SCAM !... 👉Tunataka kujua nani yuko nyuma ya kampuni hii ya kichina inayohusika na wizi wa fedha za watanzania!.. 👉Kampuni hii ndiyo iliiba 3trn TZS za SGR na hawakujenga hata mita moja ya reli kule Tabora - Kigoma. 👉Kuna mtu/watu wanaitafuna hii nchi systematic sana na wamekuwa wanafanya haya bila uoga. Aliyekuwa waziri wa fedha na mlipa hizi hela anajulikana na tunataka majibu sahihi bila hivyo kutakuwa hakukaliki humu mpaka 2030 mtafika mko hoi sana MAJIZI NYIE.. Oneeni huruma watanzania hata kidogo!. Khaa #KigogoMediaUpdates


If God gave men permission to mold their own wives


























