Sabitlenmiş Tweet
P•
47.9K posts


@MangiwaKwanza1 😂😂 ni utulivu tu kaka, maisha hayataki kelele sana, kuna machalii wapo wanaproject kubwa mpka ikikufikia karibu ndio unajua ni huyu. shida tusio na hela mara nyingi tunataka tuonekane sana
Indonesia

@28_prb Jamaa kawazidi wasanii wengi Africa sijui kwa sababu ya Elimu yake.
Indonesia

Huyu jamaa alioa mtoto wa bilionea mmoja uko Nigeria, wahuni tukajiuliza kinoma imewezekana vipi au jamaa kakubaliwa kuingia kwenye familia ya wakubwa kisa ni msanii, kumbe muhuni na yeye ni business man mkubwa kinoma.
Dada zetu haya mambo huwa yanaenda na cycle ukimtaka mwanaume mwenye hela na wewe kuwa na hela, ukitaka umpate mwenye gari kali na wewe kuwa na gari 😆 kama wewe ni mwenzetu wa daladala na mwendokasi lazima ukutane na wakina sisi utake usitake 😎

Indonesia

@DadaEstie wengi mno, unachukizana na mtu wanatokea wengine hata uwajui wanakua maadui nao 😂😂
Indonesia

@YoungAfricansSC admin una shobo na cr7, hapo ungeifata page ya timu kama yeye alivyoifata 😂
Indonesia

Haijatembea hela tu, kingetembea kibunda usingesema haya 😃😃😂
Sean 🦩@iboysean
Watu wako serious na Muziki Mmakonde analeta masikhara 😂😂
Indonesia











