Mbarali Finest
2.6K posts

Mbarali Finest
@ABBISAITHJR
Certified Physiotherapist || Serengeti Boys (U17) Physiotherapist. Ni Bora Wakuchukie Kuliko Kukudharau Kupitia Mwamvuli Wa Upendo.


Watu wa Voda kweli hamtumii VPN?

My language is only spoken by 7 villages in the entire world. I assure you, my children don’t need it for anything. The only Nigerian language i owe my kids is Pidgin☺️ (which is actually more common in my state than my language)

@BracuszCadabra Hivi baada ya Caf Diploma D gharama za madaraja ya juu zimekaaje..

🔵Sehemu nyingine inayohitaji Total Overhaul kwenye mpira wetu ni cóaching department Makocha wameendelea kuwa walewale wakaibadililishana vilabu Kila msimu Hakuna sura mpya zinazoweza kuleta mabadiliko matokeo yake tumeendelea kuwa mentality ya aina Moja kwa vilabu vya kati

Sijawahi kuwa shabiki wa Gaffer ni kocha wa kawaida(Mzee wa kujihami) mwenye BIG PR Bahati kwake alichomokea kwenye kizazi Cha dhahabu hasa Vita Club Ile ya Makusu,Ngoma,Kazadi,Luzolo,Bangala,Munganga na wengineo Baada ya uzao ule amebaki na jina kubwa ila uwezo wa kawaida

Ile Amplifaya ya MillardAyo ya miaka ya 2010’s ya story 10 ilikuwa ni bonge la kitu.



Unamsadia mtu akiwa na shida anakuja kukukumbuka tena akiwa na shida nyingine 🥱














