
Kweli natamani watu waanze kuwajibishwa Kwa makosa Yao.. Unasafirisha kemikali, dereva na gari vyote havina ulinzi dhidi ya kemikali.. Dereva mpaka anatapika damu? Really..? I know wafanyabiashara mnatanguliza faida kuliko maisha ya watu wengine.. lakini this is too much 🤧










