A FM RADIOTZ

4.4K posts

A FM RADIOTZ banner
A FM RADIOTZ

A FM RADIOTZ

@AFMRadioTZ

https://t.co/0ZjTNIEWRw : The Number One Urban Radio Station In Central Zone Based in DODOMA Capital City. Instagram : @Afmradiotz

Dodoma, Tanzania Katılım Ocak 2022
357 Takip Edilen14.8K Takipçiler
A FM RADIOTZ
A FM RADIOTZ@AFMRadioTZ·
ambaye ni mmoja wa wale walitaka waumini na mapadri wakamatwe.” Leo anapaswa kujipanga kama Papa, atumie Akili ya Kawaida, aache kuwapendelea Wana Kushoto wenye Msimamo Mkali, na ajikite kuwa Papa Mkubwa, si Mwanasiasa. Hii inamuumiza sana yeye, na muhimu
Filipino
1
0
0
13
A FM RADIOTZ
A FM RADIOTZ@AFMRadioTZ·
“Leo anapaswa kushukuru kwa sababu, kama kila mtu anavyojua, yeye alikuwa mshangao mkubwa. Hakuwepo kwenye orodha yoyote ya kuwa Papa, na aliwekwa hapo tu na Kanisa kwa sababu yeye ni Mmarekani, na walifikiri hiyo ndiyo njia bora ya kukabiliana na Rais Donald J. Trump.”
A FM RADIOTZ tweet media
Indonesia
1
0
1
94
A FM RADIOTZ
A FM RADIOTZ@AFMRadioTZ·
"Mimi Fedha Halali Siitaji Kwa Sasa Hivi, Nimesha Itafuta Sana… Mimi Nafanya Chochote ili Nipate Fedha ilimradi Siuvui Utu Wangu.” - Msanii @bando_tz Kwa Urefu wa Video Hii Tafadhali Tembelea Youtube Chaneli Yetu ya A-DIGITAL TZ.
Indonesia
1
1
1
97
A FM RADIOTZ
A FM RADIOTZ@AFMRadioTZ·
muziki, filamu, sanaa za maonesho, ufundi na uandishi wa vitabu, sambamba na utoaji wa mikopo nafuu kwa watengeneza maudhui ya mtandaoni. Hafla hiyo itafanyika tarehe 18 Aprili, 2026 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere - JNICC kilichopo
Indonesia
1
0
0
13
A FM RADIOTZ
A FM RADIOTZ@AFMRadioTZ·
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia taasisi zake za Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) na Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania (TACAF) imeandaa tukio la pamoja la kufanya mgawo wa kwanza wa mirabaha ya tozo ya hakimiliki (Copyright levy) kwa wasanii wa
A FM RADIOTZ tweet mediaA FM RADIOTZ tweet media
Indonesia
1
0
0
31
A FM RADIOTZ
A FM RADIOTZ@AFMRadioTZ·
zilizopokelewa, kuruhusu wataalamu wa uchunguzi wa kisayansi kuchambua vielelezo vipya, pamoja na kukamilisha maandalizi na tafsiri ya ripoti ya mwisho. Tume ilianza kazi Novemba 20, 2025 kwa muda wa siku 90, lakini ilishindwa kukamilisha majukumu kutokana na ongezeko la
Indonesia
1
0
0
10
A FM RADIOTZ
A FM RADIOTZ@AFMRadioTZ·
Siku 21 Zimeongezwa kwa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, ikitaka ikamilishe kazi yake ifikapo Aprili 24, 2026. Sababu za nyongeza hiyo ni pamoja na kukamilisha uchambuzi wa ushahidi na taarifa
A FM RADIOTZ tweet media
Indonesia
1
0
0
20
A FM RADIOTZ
A FM RADIOTZ@AFMRadioTZ·
Mashuhuda pia walieleza Offset alionekana akiwa na hali nzuri na akishirikiana na mashabiki kabla ya tukio hilo la ghafla lililoshtua wengi. Tukio hilo linaendelea kuchunguzwa na maelezo zaidi kuhusu kilichotokea na hali yake ya kiafya yakitarajiwa kutolewa kadri
Indonesia
1
0
0
70
A FM RADIOTZ
A FM RADIOTZ@AFMRadioTZ·
Msanii wa muziki wa rap, Offset ameripotiwa kupigwa risasi karibu na Casino maarufu katika jimbo la Florida. Kwa mujibu wa taarifa za awali tukio hilo limetokea ghafla na limezua taharuki kubwa huku chanzo cha tukio hilo na hali yake ya kiafya bado havijawekwa wazi rasmi.
A FM RADIOTZ tweet media
Indonesia
1
0
0
99