Sabitlenmiş Tweet
JAHSEH
6.6K posts

JAHSEH
@ALuvandason
Advocate|| Corporate and commercial law|| investment advisory|| Real estate|| Tax Law|| Regulatory compliance || Environmental law||
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mayıs 2020
669 Takip Edilen1.6K Takipçiler
JAHSEH retweetledi
JAHSEH retweetledi
JAHSEH retweetledi
JAHSEH retweetledi
JAHSEH retweetledi

The same year 2018 💔, Rest easy dada yangu.
fantasy 🤍🧚@Fefe_doll
Ni mwaka gani ambao uliweka kumbukumbu mbaya /Nzuri kwenye maisha yako na huwezi kuusahau ? Me :2018 💔🙌🏼
English
JAHSEH retweetledi

Mungu bariki wahuni wangu wengi nikiwapigia (tukipigiana) simu na kuset kikao Huwa no excuses. Haijalishi iwe kulewa, kazi ama kupiga tu soga.
Hakuna anaejiona yupo busy ama juu, kama hana muda atasema na akiwa nao hana Kona Kona.
Andrew Julian Mahiga@Drudysseus
Told someone (who I don't know) that I value my time and won't have a meeting for no reason - unless it is part of my job or it will add some personal value to me. That person got displeased by my response and unfriended me. I was actually happy because he saved both of us time.
Indonesia

@tommytraveler21 kuna watu wanaboa mzee assume mtu alitaka akuue 😂😂 au akufukuzishe kazi 😂
Indonesia

@innocentmafuru5 @IAMartin_ Ufungue kesi ya kikatiba ambapo majaji watatu wa kuamua hiyo kesi wanateuliwa na chief justice aliyetunga hizo sheria, simply ni kupoteza muda.
Indonesia

@IAMartin_ Lakini sheria ndivyo inavyosema. Lissu pamoja na wanasheria wake wanajua hilo vizuri. Njia pekee ambayo walitakiwa kufanya mapema sana baada ya hizo Kanuni Kutungwa wangefungua Kesi ya Kikatiba Kupinga Kanuni hizo kwani zipo kinyume na Kariba.
Indonesia

Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam – Kisutu, Franco Kiswaga, amekubaliana na hoja za upande wa Jamhuri zilizowasilishwa na Mawakili wa Serikali na ametoa amri ya kusitishwa matangazo ya moja kwa moja (live streaming) ya mwenendo wa shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu wakati wote wa ‘committal proceedings’. Hakimu Franco Kiswaga amesema amri hiyo ni kuwalinda mashahidi wa kiraia ambao watatoa ushahidi wao kwa kificho ambao watakuwa upande w Jamhuri. Pia amepiga marufuku na kuzuia matangazo na machapisho yote ya mwenendo wa shauri hilo katika hatua hiyo na amanaye atahitaji kurusha, aombe idhini ya Mahakama.
Indonesia

@ALuvandason @kaparanaka Ninyi mnamtaka nani kaka?
Indonesia












