ASNLAdvisory

1.3K posts

ASNLAdvisory banner
ASNLAdvisory

ASNLAdvisory

@ASNLAdvisory

Member of Tanzania Chamber of Mines. Approved Mining Local Content Consultant II Procurement & Supply Chain || Risk Management || E-mail: [email protected]

Tanzania Katılım Nisan 2020
65 Takip Edilen796 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
ASNLAdvisory
ASNLAdvisory@ASNLAdvisory·
Inside the new mining projects in Tanzania, 'The Pipeline', see our latest snapshot. Kindly reach out for more insights on these projects.
ASNLAdvisory tweet media
English
1
7
10
1K
ASNLAdvisory retweetledi
Wizara ya Madini
Wizara ya Madini@MadiniTanzania·
For the first time in Tanzania, East & Central Africa, unlocking a new era of value in Mbeya. 🇹🇿✨ A landmark milestone in the strategic minerals journey, positioning Tanzania at the forefront of global niobium production and industrial transformation. #NiobiumTZ #StrategicMinerals #ChuiFerroniobium #ChuiNiobium
Wizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet media
English
0
4
12
361
ASNLAdvisory retweetledi
H Simba
H Simba@simbahd·
Integrated Mining Technical Training (IMTT) - VETA MOSHI The Veta Centre, Moshi. Inaugurated by the then President of Tanzania, Julius Nyerere on 3rd July 1984, remains to be one of the best facility. Kudos to all involved. #LocalContent
H Simba tweet mediaH Simba tweet mediaH Simba tweet mediaH Simba tweet media
English
0
5
7
206
ASNLAdvisory retweetledi
H Simba
H Simba@simbahd·
Executive Program on ESG Governance and Leadership - I will be Facilitating on the Role of Procurement and Supply Chain in ESG Governance. Join us and be part of the Learning Process #LocalContent
H Simba tweet media
English
0
2
2
78
ASNLAdvisory retweetledi
H Simba
H Simba@simbahd·
Ujuzi na Ajira Sekta ya Madini. Godmwanga Gems, Kwamsisi, Handeni, Tanga. #LocalContent
H Simba tweet mediaH Simba tweet mediaH Simba tweet mediaH Simba tweet media
Indonesia
0
2
1
92
ASNLAdvisory retweetledi
Wizara ya Madini
Wizara ya Madini@MadiniTanzania·
DKT. KIRUSWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA KATI YA STAMICO NA PLANTCOR DKT. Biteko awataka wananchi wa Bukombe kuchangamkia fursa Dkt. Mwasse Mkataba kati ya STAMICO na PLANTCOR umelenga kuimarisha ushirikiano wa kimkakati Shigella amesema Geita imebarikiwa aina mbalimbali za madini Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa, ameshuhudia Hafla ya Utiaji Saini wa mkataba wa ushirikiano kati ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Kampuni ya Plantcor Mining and Plant Hire (Pty) Ltd kutoka Afrika Kusini kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa utafiti na uchimbaji wa madini ya dhahabu katika eneo la Kigosi, Wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita. Akizungumza katika hafla hiyo, Dkt. Kiruswa amesema uwekezaji huo unatarajiwa kufungua milango ya ajira kwa wananchi wa Bukombe na mkoa wa Geita kwa ujumla, kuchochea ukuaji wa uchumi wa ndani na kuongeza mapato ya Taifa. Amesisitiza umuhimu wa kampuni husika kutekeleza wajibu wake kwa jamii (CSR) pamoja na kuhakikisha ushirikishwaji wa wananchi katika mnyororo wa thamani wa sekta ya madini kupitia sera ya Local Content. Ameeleza kuwa baada ya kukamilika kwa utafiti wa kijiolojia, Plantcor itawasilisha taarifa za kina za maeneo yanayozunguka mradi wa Kigosi ili kuwawezesha wachimbaji wengine wenye leseni katika eneo hilo kunufaika na taarifa hizo kwa maendeleo ya shughuli zao. Aidha, Dkt. Kiruswa ameitaka Menejimenti ya STAMICO kushirikiana kwa karibu na Plantcor ili kuhakikisha mradi unasimamiwa kwa weledi, uwazi na kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa. Vilevile, amewataka wawekezaji hao kutimiza ahadi zote za uwekezaji, uhamishaji wa teknolojia na kuzingatia Sheria za nchi ili mradi huo uwe mfano bora wa ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi ya STAMICO, Balozi Simon Sirro, amesema utiaji saini wa mkataba huo ni ishara ya kuimarika kwa mazingira ya uwekezaji nchini, akibainisha kuwa ubia huo unatekelezwa kwa mujibu wa Sheria huku maslahi ya wananchi yakilindwa kwa uwazi. Naye, Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO, Dkt. Venance Mwasse, amesema mkataba huo unalenga kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika utafiti na uchimbaji wa dhahabu Kigosi. Ameongeza kuwa STAMICO inaendelea kuwa lango la kuvutia mitaji na teknolojia za kisasa kwa manufaa ya Taifa. Amesema ushirikiano huo utawezesha kufanyika kwa tafiti za anga (airborne survey) zitakazohusisha matumizi ya ndege maalum kwa ajili ya uchunguzi wa kijiolojia, si tu katika eneo la STAMICO bali pia maeneo mengine ya Kigosi, hatua itakayowanufaisha wachimbaji wengi zaidi kupata taarifazakijiolojiakatika maeneo yao. Mkurugenzi Mtendaji wa Plantcor, Joseph Wilmans, amesema kampuni hiyo ina uzoefu wa zaidi ya miongo miwili katika shughuli za madini kuanzia utafiti, uchimbaji, uchenjuaji hadi usambazaji wa bidhaa sokoni. Amebainisha kuwa kampuni imeleta utaalamu wa kiteknolojia na kifedha utakaosaidia kuongeza uzalishaji na ajira kwa Watanzania, huku akiishukuru Serikali kwa kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na kuimarisha uhusiano kati ya Tanzania na Afrika Kusini. Sambamba na hao, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella, amesema mkoa huo umebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi za madini, na akamshukuru Rais kwa uamuzi wa kuufungua mradi wa Kigosi, hatua aliyosema imeendelea kuimarisha uchumi wa mkoa huo.
Wizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet media
Kenya 🇰🇪 Indonesia
1
2
8
386
ASNLAdvisory retweetledi
Wizara ya Madini
Wizara ya Madini@MadiniTanzania·
Serikali Yaainisha Orodha ya Bidhaa na Huduma za Migodini Ambazo Hazipaswi kufanywa na Wageni ▪️Ni utekelezaji wa maelekezo ya Mh Rais Samia juu ya ushiriki wa watanzania kwenye sekta ya madini ▪️Ni kupitia Marekebisho ya Kanuni ya Ushirikishwaji Watanzania Sekta ya Madini ▪️Manunuzi na Bidhaa Migodini Yafikia Shilingi Trilioni 5 mwaka 2024 ▪️Waziri Mavunde ataka Sekta Binafsi kuchangamkia fursa 📍 Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini imetangaza rasmi orodha ya Huduma na Bidhaa 20 zinazopaswa kutolewa Migodini kupitia kampuni zinazomilikiwa na watanzania kwa asilimia 100 ikilenga kuongeza wigo wa ushiriki wa Watanzania katika Sekta ya Madini ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan kuhakikisha watanzania wanashiriki kikamilifu kwenye mnyororo mzimawa sekta ya madini. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde Januari 5, 2025 jijini Dodoma wakati akizungumza na Waandishi wa Habari na kueleza kuwa, hatua hiyo imefanyika baada ya kufanywa marekebisho ya Kanuni za Ushirikishwaji wa Watanzania kwenye Sekta ya Madini za Mwaka 2018. ‘’Kwa awamu ya kwanza tarehe 14 Novemba, 2025 Tume ya Madini ilitangaza orodha ya bidhaa na huduma zinazotakiwa kutolewa na kampuni zinazomilikiwa na kampuni za kitanzania kwa asilimia 100, ambapo kwa mara ya kwanza Tume ya Madini itatatangaza kupitia Kanuni 13A,’’ amesema Waziri Mavunde. Akizungumzia manunuzi ya huduma na bidhaa kwa kampuni za kitanzania amesema yameongezeka kutoka kiasi cha Shilingi trilioni 1.85 kati ya manunuzi ya huduma na bidhaa za jumla ya kiasi cha Shilingi trilioni 3.01 sawa na asilimia 62 kwa mwaka 2018 hadi kufikia Shilingi trilioni 4.41 ambayo ni sawa na asilimia 88 ya kiasi cha Shilingi trilioni 5.00 ya manunuzi yote yaliyofanyika mwaka 2024. Kwa upande wa ajira kwenye miradi ya madini, amesema kumeshuhudiwa ongezeko la ajira kwa watanzania kutoka ajira 6,668 kati ya ajira 7,003 sawa na asilimia 95 kwa mwaka 2018 hadi kufikia ajira 18,853 kati ya ajira 19,356 sawa na asilimia 97 kufikia Desemba 2024. ‘’katika nafasi zinazohitaji kupata uzoefu kutokana na kukua kwa teknolojia duniani, kumekuwa na utaratibu wa kisheria wa urithishwaji wa Watanzania kwa nafasi zinazoshikiliwa na Wataalamu wa Kigeni,’’ na kutolea mfano wa mgodi wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na Kampuni ya Twiga Minerals Corporation (Barrick Gold) ambapo nafasi zote za juu za uongozi zinashikiliwa na Watanzania kwa asilimia 100. Samamba na hayo, amesema Serikali inaendelea kufungua wigo kwa ushiriki wa watanzania katika sekta ya madini na kuongeza manufaa ya rasilimali madini kwa kutenga eneo maalum la uwekezaji la ulipokuwa Mgodi wa uchimbaji mkubwa wa madini ya dhahabu la Buzwagi lenye ukubwa wa ekari 1331, kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vya kuzalisha bidhaa za migodini na kusema tayari viwanda sita vimekwisha jengwa huku wamiliki wa viwanda 15 wakionesha nia ya kujenga viwanda katika eneo hilo. Waziri Mavunde ameitaka sekta binafsi nchini Tanzania kuchangamkia fursa ya usambazaji wa bidhaa na utoaji wa huduma migodini ili kuhakikisha fedha kiasi kikubwa inabaki nchini Tanzania na kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi. Amewasisitiza wawekezaji wote kuzingatia Sheria za madini na utekelezaji wa Kanuni za Ushirikishwaji Watanzania kwenye sekta ya madini sambambamba na kuwataka watanzania kuchangamkia fursa zilizopo katika miradi ya madini ili kukabiliana na changamoto za ajira kwa manufaa ya mtu mmoja mmoja na manufaa ya taifa. Vision 2030:Madini ni Maisha na Utajiri
Wizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
5
11
774
ASNLAdvisory retweetledi
Black Rock Mining
Black Rock Mining@BlackRockMining·
Via @KoreaTimescokr POSCO Future M will supply secondary battery materials to a major automobile company for up to 10yrs from 2027, the deal worth 671 billion won ($470 million). POSCO is a strategic alliance partner of #BKT, working towards developing the Mahenge #Graphite Project. loom.ly/IDgAae0
English
0
2
5
285
ASNLAdvisory retweetledi
Black Rock Mining
Black Rock Mining@BlackRockMining·
Via @MiningNewsNet $BKT.AX has commenced early works for its 84%-owned Mahenge #graphite project in Tanzania, with the program to support a rapid ramp-up of construction activity once #BKT is fully funded and then makes a final investment decision. loom.ly/mE4nD7A
English
0
2
7
187
ASNLAdvisory retweetledi
Black Rock Mining
Black Rock Mining@BlackRockMining·
#ASXNews $BKT.AX advises that following a formal groundbreaking ceremony held at the Mahenge #Graphite Project on 9 October 2025, the Early Works program for the Project has officially started. The Hon. Anthony Mavunde officiated the event. Read: loom.ly/1fC4pmI
Black Rock Mining tweet media
English
1
6
9
286
ASNLAdvisory retweetledi
Wizara ya Madini
Wizara ya Madini@MadiniTanzania·
KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU CHUNYA MBIONI, SERIKALI YATIMIZA AHADI* Ni kupitia Kampuni ya Kitanzania ya Giant Equipment and Mashine’s Limited Kina uwezo wa Kusafisha kilo 20 za Dhahabu kwa Siku Chunya Chunya, Mkoa wa Pili wa Kimadini kwa uzalishaji wa dhahabu nchini baada ya Geita, imepiga hatua kubwa baada ya kukamilika kwa ujenzi wa Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Giant Equipment and Machine’s Limited. Kiwanda hiki kina uwezo wa kusafisha kilo 20 za dhahabu kwa siku kwa usafi (purity) wa asilimia 99.9 na kiko mbioni kuanza uzalishaji rasmi, baada ya kukamilika kwa baadhi ya taratibu za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) . Akizungumza katika mahojiano maalum na timu ya Madini Diary kutoka Wizara ya Madini Oktoba 8, 2025, Meneja Uendeshaji wa Kampuni hiyo Hassan Pazi amesema tayari majaribio ya kusafisha dhahabu kiwandani hapo yamefanyika kwa awamu tatu tofauti na zote zimetoa matokeo ya kiwango cha kusafisha hadi asilimia 99.9, jambo linaloashiria kuwa dhahabu inayosafishwa na kiwanda hicho inakidhi vigezo vya kununuliwa na BoT kutumika kama amana ya Serikali na kusafirishwa nje. ‘’Awamu zote zilionesha purity ya asilimia 99.9 hii ni kiashiria tosha kwamba mashine zetu ziko vizuri na tumefikia lengo letu hivyo, wachimbaji wawe tayari muda si mrefu tutaanza rasmi kusafisha dhahabu hapa Chunya. Kwa sasa zipo taratibu tunazikamilisha na BoT,’’ amesema Pazi. Ameongeza kwamba, hatua ya Chunya kuanza kusafisha dhahabu itasaidia kupunguza adha ya wachimbaji na wafanyabiashara kusafiri umbali mrefu hadi katika mikoa ya Dodoma, Geita na Mwanza kwa ajili ya kupata huduma hiyo. Kutokana na hatua iliyofikiwa na kampuni hiyo, imeipongeza Serikali kwa kutoa eneo ambalo limewezesha kujengwa kwa kiwanda hicho ikiwemo kutembelewa mara kwa mara na wataalam kwa ajili ya ushauri na maelekezo yaliyowezsha kukamilisha taratibu zote. Akizungumzia kuhusu ajira, Pazi amesema kiwanda hicho kitaendeshwa kwa asilimia 100 na watanzania na kwamba watalamu wa kitanzania walihusika katika hatua zote tangu ujenzi kikihusisha wahandisi, watoa huduma na wajenzi hadi kufikia hatua ya kuelekea kwenye uzalishaji. Mbali na kusafisha dhahabu, kampuni hiyo inamiliki kiwanda cha kuchenjua dhahabu chenye mitambo ya uwezo wa kubeba kilo 650 za kaboni kila mmoja. Pia, kampuni hiyo inajihusisha na biashara ya kuuza kemikali za aina zote, vifaa kinga na kudhamini wachimbaji wadogo. Kukamilika kwa kiwanda hicho kunaendelea kuonesha dhamira ya dhati ya Serikali ya kuongeza thamani ya madini hapa nchini na kutekeleza mikakati ya sekta hiyo kwa vitendo. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, alikielezea kiwanda hicho bungeni katika hotuba ya bajeti ya mwaka 2025/26 na sasa, ahadi hizo zimetia mwanzoni tu mwa robo ya pili ya mwaka. Mbali na kuongeza ajira na kukuza uchumi wa Chunya, Serikali itanufaika kupitia kodi na tozo mbalimbali sambamba na Halmashauri ya Wilaya ambayo itanufaika moja kwa moja na mapato yatokanayo na shughuli za kiwanda. Kukamilika kwa kiwanda hichi kunafanya idadi ya viwanda vya kusafisha dhahabu nchini kufikia vinane. #Uongezaji Thamani Madini #Value Addition Vision 2030: Madini ni Maisha na Utajiri #Madini ni Ajira,Uchumi na Maendeleo
Wizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet media
Indonesia
0
1
5
496
ASNLAdvisory retweetledi
Wizara ya Madini
Wizara ya Madini@MadiniTanzania·
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi na Mwakilishi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Faru na Blackrock Mining, Black Rock Mining Limited, Ndg. Richard Crookes, amesema kampuni yake imejipanga kuhakikisha utekelezaji wa mradi unafuata viwango vya kimataifa vya usalama na uhifadhi wa mazingira, sambamba na kuwekeza katika teknolojia rafiki kwa mazingira na pia wamemshukuru Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa kuweka mazingira wezeshi yaliyopokea uwekezaji huo mkubwa Morogoro
Wizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet media
Indonesia
0
1
0
129
ASNLAdvisory retweetledi
Wizara ya Madini
Wizara ya Madini@MadiniTanzania·
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA RASMI SHUGHULI ZA UJENZI WA MGODI MKUBWA WA MADINI YA KINYWE MAHENGE ▪️Rais Samia apongezwa kwa mazingira wezeshi ya biashara ▪️Aitaka Kampuni ya Faru Kutoa Kipaumbele cha Ajira kwa wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi, ▪️Ni Uwekezaji wa zaidi ya Tsh Trilioni 1.3. ▪️Serikali kuvuna zaidi ya shilingi trilioni 7 kama mapato. ▪️Ni Mradi Mkubwa zaidi kuwahi kutokea Mkoa wa Morogoro. 📍 Mahenge, Morogoro. Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde (MB), amezindua rasmi shughuli za ujenzi wa mgodi wa madini ya graphite wa Kinywe, unaotekelezwa na kampuni ya Faru Graphite Corporation kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania (hisa 16%) na Black Rock Mining Limited (hisa 84%) ikiwa ni hatua kubwa katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya sekta ya madini nchini. Akizungumza katika hafla iliyofanyika leo tarehe 9 Oktoba 2025 katika eneo la Mahenge, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, Mhe. Mavunde amesema uzinduzi huo ni ishara ya kasi mpya ya uendelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati katika Sekta ya Madini, kutokana na maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. “Mradi huu si uchimbaji wa rasilimali pekee, bali ni injini ya maendeleo itakayochochea ukuaji wa viwanda, biashara, ajira, na ustawi wa jamii katika eneo la Mahenge kwa ujumla” amesema Waziri Mavunde. Kwa mujibu wa Waziri Mavunde, mradi wa Mahenge unatarajiwa kugharimu takribani dola za Marekani milioni 510,(zaidi ya tsh trilioni 1.3)na utazalisha ajira zaidi ya 400 wakati wa ujenzi na zaidi ya 900 ajira za kudumu mgodi utakapoanza uzalishaji kamili. Nje ya mgodi, takribani ajira zisizo za moja kwa moja zaidi ya 4,500 zitachochewa kupitia mnyororo wa thamani wa wachuuzi, wakulima, wasambazaji wa bidhaa na watoa huduma. Aidha, amesisitiza kuwa, Serikali inatarajia kupata mapato ya zaidi ya dola bilioni 3.2 (zaidi ya tsh trilioni 7) katika kipindi cha uhai wa mgodi, kupitia kodi, tozo, gawio, na mrabaha wa madini. Akifafanua umuhimu wa madini ya graphite, Waziri Mavunde amesema madini hayo ni miongoni mwa madini muhimu katika utengenezaji wa betri za magari ya umeme, vifaa vya kielektroniki, na paneli za umeme wa jua na kuwa kupitia mradi huo na mengine iliyopo nchhui Tanzania inajiweka kama kitovu cha malighafi za teknolojia safi duniani. Pia, Waziri Mavunde ameitaka Kampuni ya Faru Graphite Corporation kuzingatia matakwa ya Ushikishwaji wa Watanzania (local content) na Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) kwa kutoa kipaumbele cha ajira kwa Watanzania, hususan wananchi wa vijiji vinavyozunguka mgodi, na kutoa fursa kwa makampuni ya ndani kushiriki katika mnyororo wa ugavi. Akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Malima, amemshukuru Waziri Mavunde kwa uongozi na usimamizi wake thabiti katika Sekta Madini, akibainisha kuwa Mkoa wa Morogoro umebahatika kuwa mwenyeji wa miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo huu wa Faru Graphite wenye thamani ya takribani Shilingi Trilioni 1.3. “Huu ndio mradi mkubwa zaidi kuwahi kutekelezwa katika Mkoa wa Morogoro,” amesema Mhe. Malima, huku akielekeza wataalamu wa mkoa kuandaa semina maalum zitakazowaelimisha wananchi kuhusu fursa za kiuchumi na kijamii zitakazotokana na mradi huo. Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Kamishna wa Madini Dkt. AbdulRahman Mwanga alisema Serikali ilitoa leseni ya uchimbaji mkubwa mwaka 2024, na tayari fidia ya zaidi ya Shilingi Bilioni 13 imelipwa kwa wananchi 254 waliopisha eneo la mradi, ambao pia watajengewa nyumba mpya. Ameongeza kuwa miundombinu ya umeme wa kilovolt 220 kutoka Mahenge imeanza kuandaliwa ili kuhakikisha mgodi unapata umeme wa uhakika, sambamba na kuanzishwa kwa miradi ya kijamii (CSR) inayolenga elimu, afya na maji. Kwa upande wake Msajili wa Hazina, Ndg. Nehemiah Mchechu, ambaye pia ni mjumbe wa Bodi ya Faru Graphite Corporation, amesema Serikali kupitia ubia huu inalinda maslahi ya taifa, ikinufaika kupitia hisa, kodi, ajira na mzunguko wa fedha.
Wizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet media
Indonesia
1
4
13
2K
ASNLAdvisory retweetledi
H Simba
H Simba@simbahd·
Ground Breaking Ceremony for Faru Graphite Project in Mahenge, Morogoro. Hii ni kuashiria kuanza kwa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madini ya kinywe huko Mahenge. Sisi kama team @ASNLAdvisory tunaona fahari kwa mteja wetu kufikia hatua hii. Tunawatakia heri. #LocalContent
H Simba tweet mediaH Simba tweet mediaH Simba tweet mediaH Simba tweet media
Indonesia
1
3
9
520
ASNLAdvisory retweetledi
Wizara ya Madini
Wizara ya Madini@MadiniTanzania·
SEKTA YA MADINI CHUNYA YACHOCHEA KASI YA MAENDELEO Mauzo ya Dhahabu Yafikia Kilo 300 kwa mwezi kutoka kilo 5 Mwaka 2017/18* Tayari Bilioni 19.13 Zimekusanywa Robo ya Kwanza Mwaka wa Fedha 2025/26 Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu Chunya Chaanza Majaribio Chunya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Kimadini Chunya Mhandisi Laurent Mayala amesema ongezeko la shughuli za madini Chunya zimeleta mageuzi makubwa na hivyo kuchochea ukuaji wa sekta nyingine ikiwemo uzalishaji wa madini ya dhahabu ambapo hivi sasa umefikia kilo 300 kwa mwezi kutoka kilo 5 mwaka 2017/18. Amesema kwamba, mwenendo wa biashara ya madini Chunya unakwenda vizuri huku shughuli nyingine zinazotazamiwa kukamilika na zilizoko mbioni kuanza zinatarajia kuifanya Chunya kuwa kioo kwa sekta ya madini nchini na kuuelezea mwenendo wa biashara ya dhahabu pekee kwamba unaendelea kuacha alama ya ukuaji wa mji huo huku ikichochea shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii. ‘’Mwenendo wa mauzo ya dhahabu kwa mwaka 2023/24 zilizalishwa dhahabu zenye uzito wa tani 3.1 za thamani ya shilingi bilioni 452.2 huku tozo, mrabaha na ada za ukaguzi za Serikali zilikusanywa shilingi bilioni 31, mwaka 2024/25 zilizalishwa dhahabu zenye uzito wa tani 3.9 za thamani ya shilingi bilioni 820.9 na tozo za serikali zilikuwa shilingi bilioni 55,’’ amesema Mhandisi Mayala. Ameongeza ongezeko la uzalishaji wa dhahabu limechochewa na uwepo wa masoko ya madini na vituo vya ununuzi ambapo hivi sasa kuna vituo vidogo vya ununuzi wa dhahabu vipatavyo 24 na soko kuu moja lililojengwa na Halmashauri ya Wilaya ya Chunya kwa lengo la kurahisisha biashara ya madini wilayani humo. Chunya ilikuwa mkoa wa pili wa kimadini kuanzisha soko la madini mwezi Mei 2019, lililotanguliwa na soko kuu la Geita lililoanzishwa mwezi Machi, 2019. Mkoa wa kimadini Chunya unatajwa kuwa wa pili kwa uzalishaji wa dhahabu nchini ukitanguliwa na Geita. ‘’ Hadi sasa katika robo ya kwanza ya mwaka 2025/26 tayari tumekwisha kusanya shilingi bilioni 19.13 sawa na asilimia 26.5, Lengo ni kukusanya shilingi bilioni 72, nina imani tutafikia lengo la ukusanyaji tulilopangiwa,’’ amesema Mhandisi Mayalla. Akizungumzia historia ya mwenendo wa ukusanyaji wa maduhuli mkoani humo, amesema mwaka 2023/24 mkoa huo ulikusanya shilingi bilioni 37.3 sawa na asilimia 84.7 ya lengo la shilingi bilioni 44 ilizopangiwa kukusanya; mwaka wa fedha 2024/25 zilikusanywa shilingi bilioni 55.37 sawa na asilimia 92 ya lengo la kukusanya shilingi bilioni 60.2. *Mradi wa Uzalishaji wa Madini ya Shaba Waanza Kuzaa Matunda* Akizungumzia mchango wa madini mengine, amesema uwepo wa kiwanda cha kuchenjua shaba kilichoanzishwa mwezi Aprili 2025 na kinachomilikiwa na Kampuni ya Mineral Acess Limited (MAST) kilichopo eneo la Mbugani Chunya hadi sasa tayari kimezalisha tani 810 za shaba zenye thamani ya shilingi bilioni10.3 na tayari kiasi cha shilingi milioni 594 kimekwisha kulipwa Serikalini. *Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu Chaanza Majaribio, Kuiuzia dhahabu BoT na Nje* Mhandisi Mayala amesema tayari kiwanda cha Kusafisha madini ya dhahabu kinachomilikiwa na kampuni ya Giant Machine's and Equipments Limited kimekwisha fanya majaribio ya kusafisha dhahabu ya kilo 2.9 kwa kiwango cha kuuzwa kwa Benki Kuu ya Tanzania na nje ya nchi na kwamba, kiwanda hicho kitasafisha dhahabu zitakazozalishwa wilayani humo na zile za kutoka maeneo mengine. *Maabara ya GST Yasubiriwa na Wadau* Katika kuwahakikishia wachimbaji wanafanya shughuli zao kwa uhakika na tija, Serikali kupitia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania iko katika hatua za awali za ujenzi wa maabara ya kisasa ya upimaji sampuli za madini wilayani Chunya, kama ambavyo tayari imefanyika kwa Mkoa wa Geita na Dodoma ambapo ujenzi unaendelea. Akizungumzia uwepo wa maabara hiyo, Mhandisi Mayala amesema wachimbaji wanasubri kwa hamu kubwa kukamilishwa kwa maabara hiyo na kueleza kwamba italeta manufaa makubwa Chunya.
Wizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet media
Indonesia
0
2
4
550
ASNLAdvisory retweetledi
Wizara ya Madini
Wizara ya Madini@MadiniTanzania·
🟦 Mahenge, Morogoro Viongozi wa Serikali, Wawekezaji wa Sekta ya Madini, na Wananchi wa Mahenge wanaendelea kuwasili katika eneo la Makanga, Mahenge Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro kwa ajili ya kushiriki Hafla ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Mgodi wa Kinywe - Mahenge. Mgeni rasmi katika hafla hiyo ni Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde (MB), ambaye anatarajiwa kuzindua rasmi ujenzi wa mradi huo mkubwa unaotekelezwa na Kampuni ya Faru Graphite Corporation. Hafla hiyo inaashiria kasi ya utekelezaji wa maono ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ya kukuza uchumi kupitia uwekezaji wa kimkakati kupitia Madini Muhimu. Habari Kamili Itawajia Baadaye. 📍 Mahenge, Wilaya ya Ulanga 📅 Oktoba 9, 2025 #MadiniNiMaishaNaUchumi #MiningTanzania #Mahenge #FaruGraphite #WizaraYaMadini
Wizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet mediaWizara ya Madini tweet media
Indonesia
0
2
5
575