Adv. Dickson Matata
409 posts



@AdvMatata Unajua kukiwa na zuio na ukatumia escaping routes kwa kuzingatia agizo la katibu mkuu bado utakua umevunja sheria za JMT? Pia ni kusema chama hakifuati sheria za nchi ma mazuio halali ya mahakama zetu? Sababu kuna lile la miaka 33 ya Chama pesa zinaputia kwa watu ninafsi
Indonesia

@MoriLibery Kwanza hili suala lilikuwa la kifamilia lakini wapo wanachadema waliosadia na hivyo Chadema hatuwezi kujitenga nalo lazima tuwajibishane. Cha pili unatakiwa kufahamu kuwa huo utaratibu wa kichama hauwezi kufanya kazi kwa sasa kwa kuwa chama kimefungiwa akaunti zake na mahakama.
Indonesia

Sawa ni anastahili kuwajibishwa lakini hii ni taasisi kubwa inakuwaje mfumo wake wa pesa usiwe wa kueleweka iwepo namba rasmi ya chama itakayopokea iyo michango hili likiendelea watu watashindwa kuchangia tena
Adv. Dickson Matata@AdvMatata
Mtu mmoja kaniuliza nina maoni gani juu ya suala hili? Nimemjibu CDM haina watu wema pekee au Malaika. Kinachotutofautisha sisi na CCM ni kuwa ukifanya makosa unawajibishwa inavyostahili. Utamaduni huu haupo serikalini wala CCM ndio maana hata ripoti za CAG hazifanyiwi kazi.
Indonesia

Jana @MalisaGJ_ aliutaarifu umma juu ya watu waliovamia nyumbani kwao Kidia Moshi usiku wa manane. Leo tangu saa tatu Polisi wako hapo na wamemweka mama yake chini ya ulinzi wakiwa na waandishi wa habari kadhaa. Hakuna mtu anaruhusiwa kufika hapo hata majirani wamezuliwa.
Indonesia













