NNE

249 posts

NNE

NNE

@Alatanga

Katılım Nisan 2012
401 Takip Edilen88 Takipçiler
NNE
NNE@Alatanga·
@madeinmusoma Mwaka 1994 kuna Chumba Mwafrica bus Ya karia Juu kutoka Njombe Dar, ilipata ajali mikumi, ule mzigo wa kwenye karia haukutosha kufaulisha kwenye lori la Tani 10 jinsi ulivyokuwa mwingi
Filipino
0
0
0
364
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Mwaka 2009 kuna basi moja iliwahi kuingia pale Ubungo, Dar, saa 1.00 jioni, ikiwa imetoka Mwanza saa 12.00 asubuhi. Ilikuwa ni Ally's Sport 😁😁
Filipino
36
33
599
37.4K
NNE
NNE@Alatanga·
@Afruturist @claudeai Brother hembu tupe hints unawezaje kupata muda wa ku manage taasisi kubwa “Sahara” pia kupata muda wa ku cheza Computer games 🤦‍♀️
Indonesia
0
0
1
1.7K
Jumanne Mtambalike
Jumanne Mtambalike@Afruturist·
My @claudeai experience is amazing. Just created an app from my complex excel sheet that I used to manage my portfolio investments. It's sane how you can do this in minutes. I'm going to enjoy it myself for now. You never know it might solve another person's problem in the future. It has never been this easy to build anything.
Jumanne Mtambalike tweet media
English
12
7
80
7K
NNE
NNE@Alatanga·
@Afruturist Why Organisation need 15 CPA holders, only 1 is enough the rest of the team wanaweza kuwa diploma, etc
English
0
0
0
35
Jumanne Mtambalike
Jumanne Mtambalike@Afruturist·
Ahahaha kaka, I never said it will replace CPA holders. Let me keep the records straight. They will be replaced by someone who knows how to use these tools better. Why do you need 15 CPA holders while you can do the same work with 2 CPA holders and Claude for Excel. I will still advise them to pay attention 😂
Mrusha Jones@mBongo

BreakingNews: "AI will not replace CPA holders." @Afruturist, Mar 2026. After tinkering with @claudeAI & "vibecoding" a cute portfolio page, maybe we've realised it takes a really experienced professional for AI's full utility to materialise. Shekh Mtambalike, wasiseme tunagombana kwa timeline… now wote tumefunga Iftar lini?

English
1
0
2
740
NNE
NNE@Alatanga·
@Afruturist 2: Uwajibikaji, report ya mwisho ni lazima isainiwe na CPA ambaye ndio atawajibika kisheria hata kusimama mahakamani huwezi ishtaki AI
Indonesia
0
0
0
5
NNE
NNE@Alatanga·
@Afruturist Ni Mjadala Mzuri AI kiujumla ni kweli itarahisisha kazi za Auditor na kufupisha muda wa Audit hasa kwenye maeneo haya 1: Uchambuzi wa Data kubwa - binadamu hana uwezo wa kupitia Transaction nyingi say 10,000 ila AI inaweza kupitia Data milion 1 kwa sekunde 1 -
Indonesia
3
0
0
20
NNE
NNE@Alatanga·
@Afruturist Lakini pamoja na hayo bado kuna limitation kuna vitu AI haitaweza kuvifanya mfano 1: Professional Judgment, kuna nyakati inabidi kuhoji management ili kujua Context ya transaction husika
Filipino
0
0
0
6
NNE
NNE@Alatanga·
@Afruturist Badala ya Auditor kukagua risiti chache tu kama sample , AI inakuwezesha kukagua kila muamala mmoja uliotokea ndani ya mwaka.
Indonesia
0
0
0
9
NNE
NNE@Alatanga·
@ItsKamala Shule ya kanisa, Watoto wa waumini hawasomi bure
Filipino
0
0
9
1.7K
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
This Guy Davis Mosha kwenye harambee ya kujenga shule ya kanisa anachangia 500M, Kwenye mnada kanisani leo kanunua keki 5M. Wakati mwingine unamwombea tu Mwenyezi Mungu ambariki maana anatubeba maskini wengi wa michango ya 20k na 50k ambayo kwa ujenzi wa Shule ni kipengele
Indonesia
33
18
392
66.6K
NNE
NNE@Alatanga·
@KennedyMmari Pia ni muhimu kujua hizi brand zilivyokuwa categorise huko china
NNE tweet media
Indonesia
0
0
0
85
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Kampuni za magari ya China ambazo zimefungua ofisi rasmi (dealership) hapa Tanzania; 1. Cherry 2. BYD 3. GWM 4. Changan 5. Omoda 6. JAECOO 7. JETOUR 8. MG (Morris Garages) 9. CMC Motors 10. BAIC 11. Foton 12. Haval China global automotive takeover siyo hadithi tena. Siyo 'footnote'. Ndani ya miaka 10 ijayo tutawaona sana wakitawala mitaa kwenye magari mapya. Rwanda wameshashika sehemu kubwa. Na magari ya China ni kama ya Sci-Fi kwa technology na muonekano.
Filipino
27
39
300
49.4K
NNE
NNE@Alatanga·
@Cowwbama Shida Mtambalike Hiphop sana, Nyeusi ni nyeusi, Nyeupe ni nyeupe hapaki Rangi Jambo
Indonesia
0
0
2
259
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Sema maisha ya mtandaoni 😂😂, watu wanamkanyagia mtambalike lakini deep down jamaa mtu
Indonesia
3
2
24
13K
LUSAJO
LUSAJO@sajo_mwaihabi·
Vijana wa CPA Janja Janja Mnaofanya issue za Tax Consultancy kwenye makampuni, mnaua soko la vijana waaminifu. Most of you mnawasababishia penalties kubwa wateja wenu kwa faida yenu. Hii ni aina ya Udhulumaji. Acheni, Tamaa hazina Baraka ktk Maisha yenu.
Indonesia
21
49
517
45.1K
NNE
NNE@Alatanga·
@Afruturist Brother How do you get a time to read, nikijiangalia na u busy nulionao kwenye biashara zangu kwa kweli nahitaji kujifunza mnapataje huo muda, wakuta mtu ana vitabu 20 sijui 30 kwa mwaka
Indonesia
0
0
0
429
Jumanne Mtambalike
Jumanne Mtambalike@Afruturist·
My second read of 2026. Fascinating book especially for CEOs who are transitioning between different leadership seasons. The book gives you an opportunity to reflect on your role as a CEO. After 10 years of running a company you become complacent. It is a good wake up call. I recommend this read to founders.
Jumanne Mtambalike tweet mediaJumanne Mtambalike tweet mediaJumanne Mtambalike tweet mediaJumanne Mtambalike tweet media
English
4
2
15
1.1K
NNE
NNE@Alatanga·
@Afruturist Kaka umesahau moja AI will eliminate CPA in 2026🤣
Indonesia
1
0
1
893
Jumanne Mtambalike
Jumanne Mtambalike@Afruturist·
My 2026 Tech Predictions; ✅ 2026 will not put humans on Mars, but it will prove reusable, orbital-refueled spaceflight is inevitable. ✅ The Singularity and AGI won’t arrive, but AI will feel intelligent enough to reshape how institutions behave. ✅ AI will write PhD-level problems and research drafts, forcing academia to value judgment over writing. ✅ AI will outperform doctors in specific imaging tasks, while doctors retain final clinical authority. ✅ AI will accelerate courts through research, drafting, and case triage, without replacing judges. ✅ Africa’s biggest AI impact will be productivity gains in the informal economy, not $10B tech giants. ✅ The next generation of startups will be small, profitable, and heavily AI-leveraged. ✅ The real AI opportunity will be companies optimizing LLMs, not building new foundation models. ✅ China AI models will see broader global adoption, creating a multipolar AI ecosystem. ✅ Longevity - 2026 will not deliver radical life extension, but it will significantly extend healthspan, especially through prevention and early detection. ✅ At least one African country will announce a state-backed AI compute facility, even if underutilized initially. ✅ By 2026, we will see end-to-end AI agents replacing full job functions in SMEs and startups not merely augmenting workers specifically in tasks like bookkeeping, grants writing, basic accounting, media, and market research. ✅ 2026 will be remembered as the year exponential technologies quietly reshaped work, power, and opportunity.
Jumanne Mtambalike tweet media
English
7
5
24
4.4K
NNE
NNE@Alatanga·
@Afruturist NBAA itabidi iingilie kati ifungue Shauri Mahakamani😁
Eesti
0
0
1
12
Jumanne Mtambalike
Jumanne Mtambalike@Afruturist·
Watu wa CPA sio madaktari watakua replaced tu 😂
NNE@Alatanga

@Afruturist Hongera J4, your choices of words this time is carefully crafted compared to the one you posted Kuhusu CPA (T) 😁

Indonesia
3
0
3
3.1K