
Alfred Esq.
1.9K posts

Alfred Esq.
@Alfredcharles23
Managing Patner at: Legalbay Advocates ,Millenium Debt Collectors & Auctioneers.


“Msimamo wa mwanadamu haupaswi kuwa gereza la dhamira yake. Kuna nyakati ambapo ukimya huwa mzigo kuliko maneno. Sidai kuwa mimi ni mkamilifu, lakini nimeamua kutii dhamira yangu kuliko kuigiza consistency isiyo na ukweli. Si busara kushinikizwa kuonyesha “uanaume wa kisiasa” kwa kubaki sehemu ambayo dhamira yako haiwezi tena kutulia”


@TitoMagoti Hatuwezi pata quality tshirts na hii logo @ze_mandevu

Mwami Zitto Zuberi Kabwe a Pure Pan-Africanist 🇹🇿. A true presidential material for our blessed country, Tanzania — committed to African unity, dignity, and transformative leadership for the people. One day yes inshallah


Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA. Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli. Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki. Asanteni Sana.


Just start


Janja bingwa wa magari snap anatuvimbia akiwa kapewa leseni ya kumiliki silaha 🙌























