Ali Kamwe

732 posts

Ali Kamwe banner
Ali Kamwe

Ali Kamwe

@AliKamwe

@Media & Communication Manager of Yanga, Holds CAF Coaching License C

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2020
96 Takip Edilen447K Takipçiler
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
🚨Rais wa Yanga, ENG. HERSI SAID ameteuliwa na FIFA kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano yote ya vilabu ya Wanaume Duniani kwa kipindi cha miaka minne [2025-2029] Hersi amekuwa mtu wa kwanza kutoka Afrika Mashariki na kati kuingia kwenye kamati kubwa ya mpira Ulimwenguni.
Filipino
33
38
555
18.7K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Kikosi cha @YoungAfricansSC kitawasili uwanja wa Mkapa saa 11:00 Jioni, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Leo wa Kariakoo Derby HAKUNA KIPENGELE .. 👊🏼🔰🏟️
Indonesia
556
242
2.6K
238.5K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Goli 5 No Red Card No Offside No Penalti
Italiano
218
165
2.3K
106.2K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Mnaoniuliza Lile ‘Goli Halali’ walilonyimwa PAMBA JIJI Leo dhidi ya AZAM FC kwanini mpaka muda huu halijapostiwa kwenye page ya AZAM TV Nafikiri kuweni na Subra .. Ni ishu za ufundi tu, Watapost.. 😄
Indonesia
92
88
1.8K
73.8K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
‘KIBEGI CHA MAOKOTO’ kwenye mchezo ujao ni kwa ajili ya CHASAMBI… Tujiandae Wananchi🔰🙏🏼
Indonesia
252
243
3.1K
141.3K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
🚨Kuanzia Msimu ujao, mchezaji atakayesajiliwa Dirisha Dogo ataruhusiwa kucheza Michuano ya CAF katika Timu yake mpya hata kama mchezaji huyo alishacheza michuano hiyo kwenye Timu aliyotoka “Effect ya ACA chini ya Brain Eng Hersi🧠”
Ali Kamwe tweet media
Indonesia
75
131
2.6K
70.1K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Tangu Eng. Hersi Said awe Mwenyekiti wa ACA, kwa Mara ya Kwanza Klabu zote zilizoshiriki Hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa /Kombe la Shirikisho CAF zilipata Fedha ya maandalizi, Tofauti na zamani Hela ilianza Group Stage Kila Klabu ilipata Dola 50,000 hatua ya awali.
Ali Kamwe tweet media
Indonesia
87
51
1.1K
40K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Waandishi mnaotaka kufanya Mahojiano na Mimi, Tukutane kesho kwenye Duka la CLEMENT MZIZE SINZA SAA 5:00 ASUBUHI Wananchi pia mnakaribishwa kufanya Shopping 🤩 𝐆𝐔𝐒𝐀 𝐀𝐂𝐇𝐈𝐀 𝐓𝐖𝐄𝐍𝐃𝐄 𝐊𝐖𝐀𝐎𝐎 ..🤩🔰
Indonesia
122
286
3.4K
88.9K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
𝐆𝐔𝐒𝐀 𝐀𝐂𝐇𝐈𝐀 𝐓𝐖𝐄𝐍𝐃𝐄 𝐊𝐖𝐀𝐎 Tiketi za mchezo wa TP Mazembe zimeshaanza kuuzwa VIP A - 30,000 VIP B - 20,000 VIP C - 10,000 MZUNGUKO - 5,000 Hakuna muda wa kupoteza! Hii ni DO & DIE Kwetu Wanayanga. Kata Tiketi yako Mwananchi [ Kwa njia ya Simu/ Kwenye vituo
Indonesia
45
71
798
36.9K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Tuelewane .. Mechi inaanzia apo alipoingia Dialo
Italiano
42
18
749
42.1K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
🚨Prince Dube amekuwa mchezaji wa kwanza kufunga HAT TRICK kwenye uwanja wa KMC tangu Uwanja huo ulivyoanza kutumika kwenye mechi za Ligi Kuu Nb: Kitale anaendaga KMC kufunga Viatu tu😂
Indonesia
92
84
1.5K
66.5K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Messi anaweza kustaafu mpira sasa …
Ali Kamwe tweet media
Indonesia
100
86
2.6K
73.9K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Goli la PRINCE DUBE sio tu ni muhimu kwenye kundi Letu .. Bali ni GOLI MUHIMU SANA kwa Yanga Msimu huu.. Alhamdulillah ..🙏🏼🔰
Indonesia
272
164
2.7K
95K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
90 minutes Barca wanatoka uwanjani bila kupiga shuti Lolote langoni [0 Shots On Target] .. bila shaka, Makocha wengi watakaokuja kucheza na Barca wataipitia sana hii Mechi .. Real Sociedad wametoa shule ambayo wapenda Football Tumeenjoy🧠👏
Filipino
95
50
1.5K
76.7K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Barcelona wamefunga Magoli 55 katika Shots on Target 102 walizopiga kwenye mechi 17 walizocheza Msimu huu kwenye mashindano yote Hii ni zaidi ya 50% ya usahihi wa utumiaji wa nafasi zao.. Ni wana ‘Upepo mzuri’ au wana Better session za Finishing kwenye uwanja wao wa mazoezi?
HT
50
30
774
42.1K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Kesho saa 1:00 asubuhi, Mwenyekiti wa Wasemaji Afrika Nitakwenda kuutembelea na kuupa Baraka uwanja wetu wa KMC COMPLEX pamoja na kupiga picha na Mashabiki wa Yanga Waandishi wa Habari mnakaribishwa
Indonesia
178
82
1.5K
77.7K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Ugarte ni Mali ..
Español
50
32
869
52.6K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Au kama vipi Kocha aje na Timu yote 😂
Indonesia
57
28
927
54K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Huyu kocha ni bora asahau mabegi yake huko Ureno lakini hili Teka aje nalo .. Kuna Haaland kama nane ivi kwenye mwili mmoja wa Gyökeres 🙌🏽
34
46
1.2K
46.3K
Ali Kamwe
Ali Kamwe@AliKamwe·
Lamine Yamal … 🧠
Indonesia
74
27
896
48.8K