Fourteen.
4.2K posts

Fourteen.
@AllenMushumbusi
Content Creator | Brand Strategist | Rastafari 🌿
dar-es-salaam Katılım Ocak 2012
203 Takip Edilen446 Takipçiler

@MangiwaKwanza1 Iniesta was overrated
kuna namna kucheza na Bosquet & Xavi kulimbeba
Indonesia

@kissamosulleysh @mellahcoffee @Adv_innocent Huna point mzee😂 Ile kaul yake kujihusiha kama sehemu ya team inatumika mashabiki wote duniani, kama ningejua tokea mwanzon umemind kisa kasema kama miongon mwaa, nisinge hata reply, maana we ni famba😂
Indonesia

@kissamosulleysh @mellahcoffee @Adv_innocent Watu mnapenda kubisha sana, Arsenal hana mkataba na Rwanda tena ndo maana kwenye jersey mpya hakuna hiyo kitu, Kesho check game upate uthibitisho
Indonesia

@mellahcoffee @Adv_innocent Sema wabongo kwa kujipa umuhimu kwenye mambo ya watu eti "Hatufanyi nae kazi" kama vile ana share ya asilimia 5 pale Arsenal😁
Indonesia

@mjomba__nimama @mananajr_ @Adv_innocent Mjomba unakaza fuvu kabsa kwamba Adidas a produce Jersey then auze hizo Jersey kwa hizo bei za Kariakoo, Point ya jamaa sio Jersey zinatengenezwa wap? Kaitaja China maana ndo mzigo mwing unapotoka, vipo viwanda adi Morogoro hapo vinatoa zile za buku nane nane.😂
Indonesia

@mananajr_ @Adv_innocent Unajua nguzo zinazo tengenezwa Hapo Ubungo zina uzwa njee umesha wai kuona ubora wake !?
Indonesia

@kc_binLadenjr @MswatiKing_01 Cha kina Mbappe kilibeba Ubingwa, sisi ndo tulikua wenyeji nadhan
Indonesia

@AllenMushumbusi @MswatiKing_01 Cha akina Job, Yohana Mkomola n.k, ndo kilikuwa chamoto
Filipino

@godbless_lema Sasa kati ya kenya na Tanzania wapi kuna stability ya kisiasa, ujue Mzee kama wewe kuongea na kuandika vitu kama hivi vina kupunguzia ile credibility yako🚮
Indonesia

@TuuPhilbert @LeftWriter_ Vingunguti ni kijijini ausio😂 Masaki ni ushuani, pale vingunguti ni town kabsa.
Filipino

@LeftWriter_ Sio kweli. Kama vile dhahabu itafutwavyo ardhini na kuletwa nje, ndivyo vivyo hivyo walio wazuri kijijini hukimbilia mjini. Ni rahisi kukutana na wadada wazuri 7 kati ya 10 ukiwa Masaki, kuliko ukiwa Vingunguti. So ni obvious mjini kuna wanawake wazuri zaidi kuliko vijijini.
Filipino
Fourteen. retweetledi
Fourteen. retweetledi
Fourteen. retweetledi
Fourteen. retweetledi
Fourteen. retweetledi
Fourteen. retweetledi
Fourteen. retweetledi
Fourteen. retweetledi
Fourteen. retweetledi
Fourteen. retweetledi




















