Ally Ibrahim

1K posts

Ally Ibrahim

Ally Ibrahim

@AllyIbrahimtz

Katılım Ağustos 2024
819 Takip Edilen141 Takipçiler
Ally Ibrahim
Ally Ibrahim@AllyIbrahimtz·
@Don_Chimpaga 😀😀😀Sawa lakini na ww usimwamini mwanamke anaetongozwa na mtu asiempenda anakuja kukushitakia au kukuambia omari ananitongoza ukamwamini na kupata nae hasira mtu aliemtongoza mkeo...
Indonesia
1
0
1
78
Tunduru Finest
Tunduru Finest@Don_Chimpaga·
Watu wa Fesibuku wapo mbele ya muda😂😂😂
Tunduru Finest tweet media
Indonesia
6
4
60
4.6K
Ally Ibrahim
Ally Ibrahim@AllyIbrahimtz·
@killo_killo11 😀😀😀😀eeeh...kikubwa sisi ni people kwan yeye si ana moyo na sisi tuna moyo kama aibu utaona ww
Filipino
0
0
0
10
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Na hapa napo watoto wa fisi mnapiga?😁
killo_Killotz tweet media
Filipino
6
7
31
3.2K
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Jennifer Lopez ni Mwanamuziki ambaye namkubali miaka yote. Kati ya Mashabiki zake wakubwa 100 Ulimwenguni, huenda nikawa namba 1!🐐
Fadhili Kangusi tweet media
Indonesia
4
0
14
507
Ally Ibrahim
Ally Ibrahim@AllyIbrahimtz·
@ayubu_madenge 😀😀😀Unamshangaa au unatuhabarisha maana huko irani kuna watoto kibao maprofesa....
Indonesia
0
0
1
394
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Martin Chegere ambaye O-level alikuwa Tanzania One, akiwa Maua Seminary, A-level akawa tena TO akiwa Pugu Sec na Chuo akawa Best Student UDSM, anasema hajawahi kuacha wala kupumzika kusoma hata mwaka mmoja tangu aanze darasa la kwanza. Sasa ni Professor akiwa na miaka 39 tu.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
46
67
1.6K
51.2K
AKARO
AKARO@akaro255·
Muda wa kula watu wa maofisini
AKARO tweet media
Indonesia
3
2
8
975
JAPHET MATARRA
JAPHET MATARRA@Eng_Matarra·
Yule Tajiri wa Katoro-Geita aliyemwaga pesa kwenye harusi ya binti yake, mandinga na helkopta anashika nafasi ya ngapi kwa matajiri nchini Tanzania?
Indonesia
38
33
807
47.3K
Ally Ibrahim
Ally Ibrahim@AllyIbrahimtz·
@Kingston_Kappa 😀😀😀Huyo atakuendea hata kwa waganga kuwa nae makini sana anaweza kukutia hata uchizi maana ww ulimpa kwa kumuonea huruma ili asiteseke katika utafutaji lakini yeye akakuletea dharau....
Filipino
1
0
2
65
Ally Ibrahim
Ally Ibrahim@AllyIbrahimtz·
@Mikumifinest 😀😀😀Umalaya tu ulikuwa unamsumbua alikuwa anamtaka yule mama yake lakini ndio hivyo tena kila kitu huwa hakikosi changamoto.......
Filipino
0
0
0
41
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Ila mwisho wa siku jamaa aliamua tu awasamehe hakutaka fidia mana aliona mlolongo wa polis utakuwa mkubwa akajisepea zake tu ila tangu siku hiyo . Hata mtoto amsalimie kwenye gari haitikii salamu
Indonesia
2
1
12
1.7K
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Jamaa alikuwa anasafiri kuelekea Arusha kwaajili ya mishe zake na ilikuwa mara yake ya kwanza kwenda kule . Kwenye siti aliyokaa alikaa na mama ambaye ana mtoto mdogo ambae hajaachishwa ziwa bado ila sio mchanga . Njiani jamaa akanunua vitu vya kutafuna akaanza kula na mtoto akalilia ikabidi ampe ale na yeye na hapo ndipo alipojiroga 👇👇
Indonesia
3
8
50
12.2K
𝗗𝗮𝗻𝘆𝗲 𝗠𝘂𝗳𝗮𝘀𝗮 🦁
Kuna Kitita Cha Shilingi Elfu Kumi Za Kitanzania (10,000), Kwa Atakae Bashiri Mechi Kati France VS Morroco. Tuambie Dakika 90 Matokeo Yatakuwaje Vigezo:, Ni Follow, Repost Alafu Bashiri Matokeo Yako Kwenye Comment. Here We Go,
𝗗𝗮𝗻𝘆𝗲 𝗠𝘂𝗳𝗮𝘀𝗮 🦁 tweet media
Filipino
14
15
27
783
Kaka mkubwa
Kaka mkubwa@sapro_phyticus·
Kuna dili limepatikana
Kaka mkubwa tweet media
Filipino
7
5
13
259
Ally Ibrahim
Ally Ibrahim@AllyIbrahimtz·
@kasesco_tz 😀😀😀Sasa ww unashangaa nini wakati huwa tuna beba hadi tv tano kwa pamoja
Filipino
0
0
3
226
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi unawezaje kumuagiza boda Tv ya Milioni moja..😅🫵🏾
kasesco☆ tweet media
26
31
201
9.5K
Ally Ibrahim
Ally Ibrahim@AllyIbrahimtz·
@ze_mandevu 😀😀😀Yani hawa wakija kuachana lazima mmoja azimie na atakufa kabisa
Indonesia
0
0
2
96
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Kama kwenye mahusiano yenu hamjafikia hii level niliyofikia Mimi na Shemeji yenu, nendeni kituo chochote cha polisi kilicho karibu yenu mka report nyie ni Wahaini.😁
The mandevu tweet media
Indonesia
15
15
210
9.1K
Ally Ibrahim
Ally Ibrahim@AllyIbrahimtz·
@FanuelIddy 😀😀😀Hapo huwezi hata kuuliza kama marinda yapo au hayapo ww amini tu kuwa marida watu walishaondoka nayo ....
Filipino
1
0
1
1.1K
Pharm Iddy 💊💉
Pharm Iddy 💊💉@FanuelIddy·
Mambo yanaanzaga hivi hivi hadi watu wanakuja kua machoko😁💔💔
Pharm Iddy 💊💉 tweet media
Indonesia
68
35
353
55.7K
Ally Ibrahim
Ally Ibrahim@AllyIbrahimtz·
@heis_kanny 😀😀😀Kwani huyu ndugu yake nani maana niffer kasema hamjui huyu...
Indonesia
0
0
0
6
Raisi Wa Mbeya
Raisi Wa Mbeya@heis_kanny·
``I'm taken" ajaona chocolate tangu January 😂😂
Raisi Wa Mbeya tweet media
Eesti
3
2
2
99
Ally Ibrahim
Ally Ibrahim@AllyIbrahimtz·
@PKunjega1_ 😀😀😀😀kama ya leo haiwezi kukatika tena ...
Indonesia
1
0
4
574
peter kunjega
peter kunjega@PKunjega1_·
Jamaa alikutana na mdada kwenye dala dala akaomba namba akapewa baadae kwenye kumpanga demu akakubali sasa baada ya wiki mbili wakakubaliana kuoana ikafika siku ya kujitambulisha kwao demu jamaa kaingia ukweni kapiga suti kali na but la kwenda , ile anafika ukweni hivi watoto wa kike wote walikuwa wameenda kuoga mtoni maana ni kijijini unaambiwa😂😂 sasa mzee akamwambia unamjua unayetaka kumuoa ? Jamaa akasema ndio namjua, okey sawa . Kumbe wale mademu wa hapo wanafanana kama mayai unaambiwa 😂 mademu wakaja sasa kutoka mtoni walipofika mzee akawaita kisha jamaa akaambiwa aseme anayemtaka 😁😁 ndani ya sekunde 30 akikosea atalipa faini ya usumbufu na mke hapati. Jamaa akaamua👇👇
Indonesia
26
7
180
31.6K