MZEE ALOYCE ⭐⭐
28.5K posts

MZEE ALOYCE ⭐⭐
@AloyceGarani
Society Advisor. ⚖️


🚨 EXCLUSIVE: Andoni Iraola to leave Bournemouth when contract ends this summer. #AFCB did everything to keep head coach but 43yo chose to go + successor process under way - Kieran McKenna high among options. W/ @MarioCortegana @Dan_Sheldon_ @TheAthleticFC nytimes.com/athletic/60910…


Sakata la kifo cha Influencer Ashlee Jenae kutoka Marekani kilichotokea Zanzibar limeendelea kuchukua ukurasa mpya wakati familia yake ikishinikiza mamlaka ya Zanzibar kufanya uchunguzi zaidi juu ya kifo cha mpendwa wao watu wengi kupitia mitandao ya kijamii wameendelea kuandika hofu yao na mashaka ya kuwa msichana huyo angeweza kuchukua maisha yake mwenyewe. Moja ya wasanii wenye nguvu nchini Marekani mwanadada, Cardi B ametoa maoni yake kuhusu sakata hilo ambapo kupitia mtandao wake wa X (zamani Twitter) amendika; “Yule msichana hajachukua maisha yake mwenyewe!!!” ~ Cardi B. Taarifa ya awali iliyotolewa na Polisi Zanzibar imeeleza kuwa uchunguzi umebaini kuwa Ashlee alijiua yeye mwenyewe. Sikiliza CROWN FM kupitia 92.1 Mhz, Radio Box & Radio Garden tafuta CROWN FM. Tutazame Live kupitia YOUTUBE channel yetu CROWN MEDIA na CROWN TV kwenye Kisimbuzi cha Azam (DISH) ni chaneli namba 415. #CrownMedia #HapaNiNyumbani #TupoMwakaWaMbele


Serikali imesema takribani wilaya 50 hazina magereza, na kwamba ujenzi wa kila moja utagharimu takribani bilioni 8.


Bayern Munich 🇩🇪 1 : 2 🇪🇸 Real Madrid Atletico Madrid 🇪🇸 1 : 5 🇪🇸 Barcelona Liverpool 🏴 3 : 1 🇫🇷 PSG Arsenal 🏴 1 : 3 🇵🇹 Sporting CP Come back and clown me tomorrow if I’m wrong

📍 Karaköy, Istanbul, Turkey 🇹🇷



Mhudumu alimkuta amejinyonga bila kufa akaenda kufia hospitali.

Pugu Secondary School wakaona ni kheri kumualika Mpoki kuliko wamualike Naibu Waziri wa Elimu "Wanu Hafidhi" 😂🙌







Tanzania ndio nchi pekee ukiwa na akili ni kosa la jinai 🚮 💔 💔



















