Aneth

24.4K posts

Aneth banner
Aneth

Aneth

@AnethSissya

BBIS #KonaYaMwalimu

Dodoma, Tanzania Katılım Kasım 2019
429 Takip Edilen5.5K Takipçiler
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@MarekaMalili Sio siri is very common
Tanzania 🇹🇿 English
1
0
0
8
Aneth
Aneth@AnethSissya·
Hili so jambo la kujadili. Sabb huwez jua huyu mama alifikwa na nini na watoto wake. It's sad to learn that life can be difficult to the point of trading off your body. Mom mpokee Yesu, yes, haitakuwa rahisi, but hatakudhalilisha
kibaha_finest@kibaha_finest

Huyu mama ana miaka 35+ na ana watoto watatu niangalia video zake jinsi alivyo zalilishwa na yule Russian guy Kiukweli imeniuma sana kuona wakina Mama watu wazima wanakuwa na tamaa an pesa na kusahau kabisa utu wao. Nasikia pia jamaa ni HIV+ anafanya kueneza kama revenge.🚮

Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
0
207
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@kalegamyeh Umeongea vyema sana. Na ni vzr pia kumuacha mtu afuate ndoto yake. Kwamba kama akitaka kwendi medical school ama uhandisi japo shule ni ngumu ila tusiwakatishe tamaa. Maana jaman hawa watoto wana vibweka mnoo
Tanzania 🇹🇿 Filipino
1
0
0
125
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Juzi nilipewa story ya dogo mmoja ndugu yetu ambaye alimaliza form six akakataa kwenda chuo kwamba Kasikia biashara ya vyombo vya kutembeza inalipa sana. Hilo dili alipewa na ndugu zake wengine ambao waliishia darasa la Saba. Akaondoka mkoani kwenda dar kupiga hiyo dili ili atoboe haraka. Baada ya kupigwa na jua na kiu mtaani, akaomba nauli ya kurudi home. Wazazi wake wakamtumia akarudi home na kukubali kwenda chuo. I think mwaka huu anamaliza degree. Kitu nimejifunza kwa madogo wa Gen z( sio wote), kuna jinsi wanahisi watu wanaosoma na walioko kwenye ajira wanapoteza muda and wao kuna jinsi they can magically become rich kwa kupita shortcut. Statistically, Matajiri wengi at some point in their lives walikua wamejiriwa na mtu. Kuajiriwa sio kupata mtaji tu, ni kujifunza skills zingine kama uongozi, nidhamu ya kazi, kujenga network, kujifunza soko, kujifunza mfumo unavyofanya kazi, kuongeza uzoefu wa kitu unachotaka kufanya na kupunguza risk in early life. Ingekua inawezakana kua Tajiri kirahisi hivyo basi hata bank zingewaamini graduates na kuwapa mikopo tu kwa dhamana ya vyeti vyao. Lakini bank wanajua tu unaenda kuwapa hasara. Nafahamu ajira ni ngumu kwa sasa lakini usikatae fursa ya kusoma na Kuajiriwa in early life kwa kudhani utafanya mambo yako tu. Chances ni ndogo sana Yaani kuna exemption chache sana. Unless unatoka kwenye familia ya wafanyabiashara ambapo mambo mengi Unaweza kujifunza kutokea kwenu kama MO Dewji basi Unaweza kukataa ajira lakini lakini sio kusoma. Huyu jamaa hapa chini ni moja ya waajiriwa ambao walikuja kua matajiri wakubwa nchi hii.
Dr. Kala. MD tweet media
Indonesia
15
11
91
3.2K
Aneth
Aneth@AnethSissya·
Another day to feel sorry for the female gender.
Tanzania 🇹🇿 English
0
0
0
90
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@_AbdelazizJamal @Tanescoyetu Inawezekana kabisa. Inategemea unatumia taa aina gani na zenye kuhitaji umeme kiasi gani. Unaweza sema ni taa tuu ukute unataa za fensi 20+ hata kukaa siku 4 si ushukuru??
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
0
0
3
364
il mio nome è
il mio nome è@_AbdelazizJamal·
Wakubwa @Tanescoyetu heshima yenu. Hivi ni kweli umeme unit 14 unaweza kuisha ndani ya siku 4 ikiwa matumizi pekee ni taa, feni na kuchaji simu ? Naombeni ufafanuni tafadhali kwa unyenyekevu mkubwa mno.
Indonesia
33
10
235
22.9K
Aneth
Aneth@AnethSissya·
Binti kuwa na tabia zote ila hizi zikwepe uchoyo, ulafi, na unafiki. Yaani hizi tabia pambana zisikupate kama wewe ni binti.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
1
0
10
484
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@ThatBoyKhalifax This is insane! Whoever said beauty is in the eyes of the beholder was not wrong. Mine was beautiful and even in her postlife she remains more beautiful than any other woman of her age.
Tanzania 🇹🇿 English
0
0
0
46
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹@ThatBoyKhalifax·
i keep resisting the pressure to go full mode on content creation, despite its potential. first, it drains my brain and, secondly, sometimes it forces you to say some wild, shitty stuff, or manufacture controversy where there’s none, just to stay relevant:
English
6
7
64
5.5K
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@DadaEstie Ooh ! Nikidhani ulisoma. Bye
Tanzania 🇹🇿 Filipino
1
0
0
20
Essiiie Kapambala
Essiiie Kapambala@DadaEstie·
Mtu Akifikiri Simu Inasababisha Mtoto Kufeli Huwa Najiskia Kucheka. Hivi Mmewaona Hawo Planned Kids Wanaosoma International Schools Wanaruhusiwa Simu Hadi Shule Na Bado Wanafaulu Ama Mnakaza Tu Fuvu?
Indonesia
39
16
245
22.2K
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@DadaEstie Kufeli sabb ya gadget ni kitu ambacho kilishafanyiwa tafiti na iko.wazi. na ndio maana nchi kama korea, China na Ufini mwanafunzi haruhusiwi gadget kabisa. Ingawa wazazi huwaibia ibia
Filipino
1
0
5
169
Essiiie Kapambala
Essiiie Kapambala@DadaEstie·
@AnethSissya Siongelei Below Tu Naongelea Wote Kwa Ujumla Na Point Yangu Itabaki Pale Pale Wapo Wanaruhusiwa Hata Kama Sio Shule Nyumbani Wanatumia But Sio Sababu Ya Kufeli. Experience Yako Ya 20+ Haijasema Hawapewi Kabisa
Indonesia
3
0
1
206
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@DadaEstie Unless huelewi. I beg to differ. Labda niambie wapi uliwahi ona matokeo ya mwanafunzi wa Intenational school. Tuanzie hapo kwanza. Waalimu wao wanajua kuwa wapo wanaofeli tena wengi tuu. Wengine wanapata hadi grade Z. Ila haisumbui sabb bado ana life nzuri.
Tanzania 🇹🇿 Filipino
1
0
2
42
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@TwevePauLo Marian ama Feza ama Cannosa kuna mtoto wa mlala hoi kule? Hapo Alpha schools nenda tuu katafute mtoto wa mlala hoi humpati. Kimsingi serikali inawajibika kuboresha shule zake ili jamani zipunguz idadi ya zero wallah ni huruma jinsi ambavyo private hakuna ila kwao ziko
Tanzania 🇹🇿 Filipino
0
1
9
173
𝗠𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢𝗭𝗜
Kwanini watoto wengi wa matajiri hawa akili ikiwa wao ndio wana opportunity kubwa ya kusoma shule bora kulimo hawa wa shule za kata.
Filipino
6
2
44
9.7K
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@DadaEstie Nafundisha International School mwaka 20+ sasa. Naweza kukwambia No screen to kiddos below 12. A computer can only be used for learning purposes. Otherwise phones, tablets and iPads it is a noo kwa umri huo.
Tanzania 🇹🇿 English
3
0
7
377
Essiiie Kapambala
Essiiie Kapambala@DadaEstie·
@AnethSissya Point Yangu Ni Wanapewa Simu Hata Kama Ni Kwa Muda Mfupi Tofauti Na Hawa Wengine Wanaokatazwa Kabisa
Indonesia
1
0
0
834
Aneth
Aneth@AnethSissya·
Fanya yote unayofanya ila usichezee ama kuchokoza madhabahu za watu. Mahali watu wanapoamini na kupatolea sadaka pale pana miungu yao. Bila kibali cha Mungu, bila ruhusa na uhakika wa backup ya Mungu. Usiichezee. Utajiona mshindi ila utajuta sanaa.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
2
6
24
678
Aneth retweetledi
J.4, PharmD
J.4, PharmD@MatumlaAJ·
Kuna mwalimu wa UDSM hapa X tulibishana kinoma! Alikua anasema huwezi fanya PhD bila kupita Master’s degree😂😂😂.. Tutakuwepo 👈🏾👈🏾👈🏾👈🏾👈🏾👈🏾 kuwapa exposure wajukuu wa Nyerere.
Ngong Oliver@NgongOliver

Most Cameroonians don't know that you don't need a masters degree to do a PhD and that nobody pays to do a PhD out there!! Your undergrad degree is enough. The most important thing in your application is research potential, any gpa above 3.00 is good. Research potential is key!!

Indonesia
8
1
13
3.1K
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@DadaEstie Pia international schools graduating pathway ni zaidi ya moja. Na hata mtoto akifeli bado anauhakika wa good life as amesha tengenezewa. Sio wote wanafaulu viwango vya kujiunga na reputable uni duniani. Ila haiumizi manake bado wana uhakika wa gud life
Tanzania 🇹🇿 Filipino
0
2
9
234
Aneth
Aneth@AnethSissya·
@DadaEstie Nimefundisha International schools ninachoweza kusema hata huko simu/gadgets ziko restricted. Wakiwa shule wanakusanya muda wa kutoka wanapewa. Pia kufaulu/kufeli ni sabb matokeo yao hayachapishwi mkayaona ninyi msio husika na tunaoyaona hatusemi
Tanzania 🇹🇿 Filipino
3
0
16
1K