Anthony Mavunde

145 posts

Anthony Mavunde banner
Anthony Mavunde

Anthony Mavunde

@AnthonyMavunde

Mtumishi wa Watu "De Populo Servorum"

Dodoma Katılım Aralık 2011
77 Takip Edilen4.9K Takipçiler
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
Udhibiti wa Utoroshaji Madini Nchini
Anthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet media
Indonesia
9
7
24
1.6K
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
Tembo Nickel kupitia kampuni yake mama-Lifezone Metals imeandika historia kwa kuzalisha nikeli, shaba, na kobalt zilizosafishwa kutoka kwenye Mradi wa Kabanga Nickel -Ngara, Kagera Majaribio yamefanywa katika Maabara ya Lifezone ya kisasa ya Simulus, kwa Teknolojia ya Hydromet
Anthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet media
Filipino
3
0
8
1K
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
Tembo Nickel imepata mafanikio ya kihistoria - kwa mara ya kwanza! Tembo Nickel kupitia kampuni yake mama ya Lifezone Metals imeandika historia kwa kuzalisha nikeli, shaba, na kobalt zilizosafishwa kutoka kwenye Mradi wa Kabanga Nickel ulioko Ngara, Kagera @
Anthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet media
Filipino
3
2
9
1.3K
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
Uzinduzi wa Kampeni ya Ugawaji wa Mipira Milioni moja kwa lengo la kuibua na kuviendeleza vipaji vya watoto wa Kitanzania#1mBallCampaign#
Anthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet media
Indonesia
0
0
8
670
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
PART I: Mchango wa Sekta ya Madini katika kuchochea ukuaji wa Sekta nyingine zikiwemo sekta za Kilimo na Viwanda
Indonesia
1
2
8
837
Kheri Mahimbali
Kheri Mahimbali@MahimbaliK·
Leo nimeanza rasmi ziara ya siku mbili wilaya ya Chunya mkoani Mbeya. Chunya ni mkoa wa kimadini na kimkakati. Shughuli za uchimbaji madini katika Wilaya ya Chunya zinafanyika katika maeneo tofauti kama vile Itumbi, Makongolosi, Sangambi, Ifumbo, Matundasi na Mbugani. Uchimbaji huu umetawaliwa na Wachimbaji Wadogo kwa asilimia kubwa. Ajira zitokanazo na shughuli za uchimbaji katika Wilaya ya Chunya ni zaidi ya Watu 50,000. Mwenendo wa Makusanyo ya Maduhuli ya Serikali Katika Mkoa wa kimadini wa Chunya umekuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka. Kwa mwaka Jana 2022/23 Chunya peke yake tumekusanya zaidi ya Shilingi 30 Bilioni na mwaka huu 2023/24 mpaka kufikia mwezi Mei tumeshakusanya zaidi ya Shilingi 34 Bilioni. Mpaka sasa Chunya ina leseni za uchimbaji mdogo (Primary Mining Licence) na leseni za uchimbaji wa kati wa madini (Mining Licence) na haina leseni za uchimbaji mkubwa wa madini (Special Mining Licence). Tunahamasisha utafiti mkubwa ufanyike ili tufungue migodi mikubwa katika mkoa huu muhimu wa kimadini. Mafanikio mengi yamepatikana kupitia soko la madini wilayani Chunya. Kabla ya kuanzishwa soko hili, dhahabu iliyokuwa ikionekana katika takwimu za Serikali ni 20kg tu na baada ya uanzishwaji wake wastani wa zaidi ya 250kg kwa mwezi zinapitia soko hili, hii sawa na ongezeko la mara 12. Tunazipongeza taasisi za kifedha kwa ushiriki wao katika sekta ya madini kwa kutoa mikopo kwa wachimbaji wadogo na wafanyabiashara wa madini ambapo hadi sasa wachimbaji zaidi ya 30 wa Chunya wamefaidika na mikopo toka Benki ya NMB na 20 toka Benki ya CRDB. Katika salamu zangu kwa watumishi wa ofisi ya Chunya, nimewapa salamu mahsusi toka kwa Mhe. Anthony Mavunde Waziri wa Madini na Mhe. Steven Kiruswa Naibu Waziri wa Madini. Katika salamu hizo tumewahakikishia kutatua changamoto za vitendea kazi ndani ya mwaka ujao wa fedha. Pia tumepokea rai yao juu ya kuongeza uhamasishaji wa kuwatafutia mitaji wachimbaji wadogo, tumewaahidi kuja na mbinu mbadala za utafutaji mitaji (alternative financing). Mwisho, nimewakumbusha kuongeza kasi ya makusanyo ya maduhuli, kutatua migogoro, kupiga vita utoroshaji madini na rushwa. #MadiniYetu #MadiniNiMaishaNaUtajiri #Chunya #WachimbajiWadogo #TanzaniaMining @MadiniTanzania @GileadTeri @AnthonyMavunde @KiruswaS
Kheri Mahimbali tweet mediaKheri Mahimbali tweet mediaKheri Mahimbali tweet mediaKheri Mahimbali tweet media
Indonesia
15
37
127
13.6K
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
Leo nimempokea Rais wa Burundi *Mh. Evariste Ndayishimiwe* ambaye amewasili nchini Tanzania. Rais Ndayishimiwe anaungana na marais wengine kutoka Afrika kushiriki mkutano wa jukwaa la mifumo ya Chakula(*AGRF *) ambao Tanzania ni mwenyeji chini ya *Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan*
Anthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet media
Indonesia
20
31
301
20.7K
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
Nimefanya ziara ya kukagua skimu za umwagiliaji Wilaya ya Manyoni,Mkoani Singida.Serikali itajenga bwala kubwa la kuhifadhi Maji eneo la Mbwasa kwa gharama ya Tsh 20bn na hivyo kupelekea kuwa na chanzo cha uhakika cha maji#Ajenda10/30#
Anthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet media
Indonesia
17
8
48
0
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
Shule ya Msingi Mlezi Dodoma
Indonesia
3
6
37
0
Anthony Mavunde retweetledi
Mama Anafanikisha
Mama Anafanikisha@mamanafanikisha·
Malengo ya upanuzi wa bandari ya Mtwara uliofanywa na Mhe. Rais Samia Suluhu, ni pamoja na kurahisisha usafirishaji wa korosho. #MamaAnafanikisha: Kampuni ya Sibatanza imetumia bandari ya Mtwara kusafirisha korosho tani 15,800 zilizokuwa zimesalia katika mavuno ya msimu uliopita
Mama Anafanikisha tweet media
Indonesia
3
8
22
0
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
Ziara ya kutembelea na kukagua mashamba makubwa ya kilimo cha Soya na kufanya mikutano ya wananchi katika kata za Nkung’ungu na Lupa zilizopo tarafa ya Kipembawe,Chunya-Mkoani Mbeya. Ahsante RC Homera kwa utayari wa mkoa wako juu ya uwekezaji wa Longping Hitech
Anthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet mediaAnthony Mavunde tweet media
Indonesia
6
2
26
0
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
SIKU YA MTOTO AFRIKA: Tuwalinde na kuwasimamia wafikie ndoto zao
Anthony Mavunde tweet media
Filipino
3
6
44
0
Anthony Mavunde
Anthony Mavunde@AnthonyMavunde·
Ujenzi wa Mabwawa katika mkoa wa Dodoma
Indonesia
5
4
24
0