🧩A•WUOR🌸
30K posts

Huyu mdem hakufanya poa ako station sai... Huyu dem alifanya mtu wa bolt apigwe na mob bure hapo Kilimani Argwigs Kodhek. Alikataa kulipa bei wameskizana jamaa akataka kurudi na parcel place alitoa na dem akapiga nduru ati jamaa ni Mwizi. Within minutes jamaa amevunjwa mguu na mob... Ndio riders walipita wakasaidia na kuuliza ukweli wa mambo🙆Riders called an ambulance jamaa akapelekwa hossy🙆🙆 Police came and took the lady to kilimani police station

Quotes imejaa watu wajinga sana btw. Assume dadako, bibiako, mamako ama mtoto wako akuje akuambie amepigwa mtakua mnauliza maswali za ujinga hivo? Na btw all of you are stupid af.

Huyu mdem hakufanya poa ako station sai... Huyu dem alifanya mtu wa bolt apigwe na mob bure hapo Kilimani Argwigs Kodhek. Alikataa kulipa bei wameskizana jamaa akataka kurudi na parcel place alitoa na dem akapiga nduru ati jamaa ni Mwizi. Within minutes jamaa amevunjwa mguu na mob... Ndio riders walipita wakasaidia na kuuliza ukweli wa mambo🙆Riders called an ambulance jamaa akapelekwa hossy🙆🙆 Police came and took the lady to kilimani police station

Huyu mdem hakufanya poa ako station sai... Huyu dem alifanya mtu wa bolt apigwe na mob bure hapo Kilimani Argwigs Kodhek. Alikataa kulipa bei wameskizana jamaa akataka kurudi na parcel place alitoa na dem akapiga nduru ati jamaa ni Mwizi. Within minutes jamaa amevunjwa mguu na mob... Ndio riders walipita wakasaidia na kuuliza ukweli wa mambo🙆Riders called an ambulance jamaa akapelekwa hossy🙆🙆 Police came and took the lady to kilimani police station

Trade and investment lawyer in his element.