BetPro Tips

15.5K posts

BetPro Tips banner
BetPro Tips

BetPro Tips

@B3tPr_

Sports Analyst | Betting and Promotions 📩 | #1xBet & #FANSPORT

Katılım Şubat 2025
4.4K Takip Edilen5.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
BetPro Tips
BetPro Tips@B3tPr_·
KANUNI ZA BETTING Betting inaweza kufurahisha na kukutoa machozi pia, lakini inahitaji nidhamu. Wengi tunajihusisha na Kubashiri au maarufu 'Betting' Lakini hatujui Kanuni zake. Ndiyo betting ina kanuni zake, unajua ni zipi? Shuka na uzi 🧵 👇 Hapa kuna Kanuni za kukuongoza kwenye Betting hasa wale watu wapya kwenye betting. 1. Weka BAJETI: Siku zote weka kiasi cha pesa unachoweza kumudu kupoteza, Usitumie pesa ya mkopo kubeti. Kwa sababu ukipoteza utakua umepata Hasara mara mbili. Usitumie zaidi ya Asilimia kumi ya mshahara wako au faida yako, yaani kama msahara wako ni 100k basi usiweke zaid ya 10k kwenye betting. Hii inalinda pochi yako! 2. Elewa MASOKO: Elewa odds na Masoko kulingana na kampuni kabla ya kubet. Hapa unaweza tumia Tovuti mbali kujua aina ya masoko yaliyopo na mgawanyo wa odds. Masoko yanatofautina sana kulingana na Kampuni ndo maaana kuna watu wanapenda Sportybet, betpawa na betway alafu kuna wale wanapendelea kampuni za kirusi kama 1xbet, 888STARZ, Helabet, Fansport, Dbbet n.k 3. Fanya ANALYSIS bila Ushabiki📈: Analysis ya Mechi husika ni muhimu sana, kwenye analysis utaangalia H2H, Trend ya team kwenye Mechi 5-10 za mwisho, Majeruhi, Adhabu kwa wachezaji na pia Mashindano husika. Hii itakusaidia kwenye uchaguzi wa Masoko na kuelewa thamani ya odds. Unaweza tumia; Sofascore, Forebet, Flashscore n.k 4. Epuka Kufukuzia HASARA na Udhibiti HISIA. ▪︎ Umepoteza? Usiongeze dau kurudisha pesa! 😣 Pumzika, Kufukuzia kurudisha hela uliyopoteza husababisha hasara zaidi. ▪︎Usiruhusu furaha au huzuni ikudanganye. 😢 Bashiri kwa akili, sio moyo. Rekodi mwenendo wako nzima ili ujue nini unafanya. 5. Epuka MAZOEA na HISTORIA. Epuka sana kuweka mazoea na historia mbele ya utafiti. 🗣️ Amini utafiti wako, siku zote analysis inashinda hadithi! Hapo wananielewa sana wale waliompa Benfica win direct akiwa na odds 1.12 alafu akatoa draw😁 au Chelsea vs Ipswich (2:2) na watu waliamini ni mechi rahisi kwa Chelsea. 6. Weka MALENGO yako sio NDOTO: Lenga ukuaji mdogo usio na presha kwako, mfano 3-10% ya mtaji kwa mwezi. 🎯 Ndoto za pesa za haraka zinaangusha. Tumia app kama Action Network kufuatilia muendeko wamo wa betting. 7. SUBIRA ni Muhimu. Kamari ni mbio ndefu, sio fupi. ⏳ Subiri nafasi bora za odds au dau. Usikimbilie kubashiri kwa misimko au kukurupuka, chukua mda wako fanya analysis yako taratibu angalia odds zilizopo jiridhishe ndo uweke mkeka wako. 8. UCHAGUZI wa Kampuni: Betting imekua kwa kasi sana miaka ya hivi karibuni na kila siku kuna Kampuni mpya, Usipate shida utumie kampuni ipi au ipi usitumie. Zingatia analysis yako mfano unaweza tumia sportybet kwa options za kawaida kama direct win, double chance na over/ under lakini options kama Fouls, throw-ins, goal kicks na options nyingine unaweza tumia Kampuni za kirusi kama 1xbet, 888starz n.k 9. Betting ni BURUDANI. Betting ni burudani, usiikamie sana utaumia wewe. NB: Hakuna "Sure Odds" ndo maana ukaitwa Ubashiri. AHSANTE KWA MUDA WAKO. MWISHO WA UZI🧵 Follow. Like and Repost.
BetPro Tips tweet mediaBetPro Tips tweet media
Indonesia
26
113
135
68.9K
BetPro Tips
BetPro Tips@B3tPr_·
SECRETBET 2 & 5 Odds Booking Code: XZGRL, JL5SL
BetPro Tips tweet mediaBetPro Tips tweet mediaBetPro Tips tweet media
English
1
4
4
305
BetPro Tips
BetPro Tips@B3tPr_·
SECRETBET 5 ODDS Booking Code: U4T6K
BetPro Tips tweet media
English
1
2
2
150
BetPro Tips retweetledi
Bob Kipara
Bob Kipara@_bli4·
Manchester United inacheza leo, Dunia nzima ina furaha😁
Bob Kipara tweet media
Italiano
5
19
161
1.2K
BetPro Tips
BetPro Tips@B3tPr_·
FOOTBALL PICKS Booking Code: 7ZS9J
BetPro Tips tweet mediaBetPro Tips tweet media
English
1
3
2
197
BetPro Tips retweetledi
Zagy G ✨
Zagy G ✨@ZagyGirl·
Mimi sio mtabiri ila CHELSEA hatoki na Clean Sheet Burnley Over 0.5 ni Odds 2.5
Suomi
8
13
247
11.9K
BetPro Tips retweetledi
angel bellerin02
angel bellerin02@angelbellerin02·
Tuishi humu Odds 17 Code J2SDM Jisajiri sasa slim.link/g0xzqWc Tumia promo code ANGELB
angel bellerin02 tweet mediaangel bellerin02 tweet media
Indonesia
1
7
7
1.1K
BetPro Tips retweetledi
𝑳𝑼𝑻𝑯𝑬𝑹 18🍿
50 BEST SERIES (Selected Edition) 🔥🍿 1. Game of Thrones 2. Breaking Bad 3. Prison Break 4. Peaky Blinders 5. Vikings 6. Money Heist 7. The Walking Dead 8. The Wire 9. The Sopranos 10. Better Call Saul 11. Chernobyl 12. Stranger Things 13. Narcos 14. The Boys 15. Band of Brothers 16. True Detective 17. Dexter 18. Mr. Robot 19. Lost 20. Black Mirror 21. The Crown 22. Squid Game 23. The Witcher 24. Lucifer 25. Westworld 26. Homeland 27. Ozark 28. Sherlock 29. Sons of Anarchy 30. Succession 31. Fargo 32. Dark 33. The Mandalorian 34. House of Cards 35. The Office 36. Friends 37. How I Met Your Mother 38. Modern Family 39. Brooklyn Nine-Nine 40. Avatar: The Last Airbender 41. Death Note 42. The Handmaid’s Tale 43. American Horror Story 44. Spartacus 45. Supernatural 46. The Last Kingdom 47. Fallout 48. 3 Body Problem 49. Baby Reindeer 50. Ripley
𝑳𝑼𝑻𝑯𝑬𝑹 18🍿 tweet media
English
15
137
569
60.5K
BetPro Tips retweetledi
Bob Kipara
Bob Kipara@_bli4·
Ukiona Chelsea yuko juu ya Man u, ujue Man u ana kiporo cha mechi😃
Bob Kipara tweet media
Indonesia
1
7
59
1K