Bernard Musase retweetledi
Bernard Musase
2.1K posts

Bernard Musase retweetledi

@Labella_Mafia95 Shida yenu mnapenda wanawake material ukadhani ni mke, mwanamke hawezi kusugua kucha zake mwenyewe ni mke huyo?
Indonesia

🍆🍆 Mke wa maskini huwa anafurahia usiku tuu
𝗦𝗲𝗻𝗶𝗼𝗿 𝗠𝗼𝗻𝗲𝘁@winstone_nnko
Wale jamaa wasio na pesa lakini madem zao bado wanawapenda, wanatumia formula gani? Nimejaribu kuwa kwenye uhusiano bila pesa, imekuwa ngumu sana, ni karibu na haiwezekani kabisa.
Indonesia
Bernard Musase retweetledi

Salute Rachel Dangwa
Napenda unique style yako ya kupambana na hawa wauaji washenzi lakini pia naomba radhi - I was not familiar with your game 🔥
Kumbe unaonekana unaongea tu vitu lakini ni 100% certified za ndani!
Nawahimiza wote hata kama hupendi style yake msikilze kwani Rachel anatoa taarifa zingine nyeti hata mi niki hakiki inakuwa confirmed! Kuchukuliwa poa nayo ni advantage na Rachel should never be underestimated! She is very smart and strategic! Follow her na msikilzeni vizuri akiwapa taarifa!
Hii harakati tunahitaji soldiers who come in different forms! Rachel ni real soldier! 🔥
Naku salute 🫡

Indonesia
Bernard Musase retweetledi

Australia wale jamaa wameshoot raia beach na wameua na kujeruhi watu, haijapita hata masaa wameshakuwa identified na wamedakwa tayari na
mmoja kauliwa!!
Njoo bongo sasa, wameuliwa raia 2000+ mpaka leo hakuna muuaji hata mmoja aliyekamatwa eti inaundwa tume kuchunguza……..!!! Tume ushu💨
Tuna uongozi wa kiduanzi mno!!
Indonesia
Bernard Musase retweetledi

#TANZANIA:CHADEMA YATAKA UCHAGUZI UFUTWE NA TUME IVUNJWE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetaka kufutwa kwa uchaguzi uliofanyika tarehe 29 Oktoba, kikisema zoezi hilo halikuzingatia misingi ya uhuru na haki. Chama hicho pia kimetoa wito wa kuvunjwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na kuundwa upya kwa chombo kitakachokuwa na uwajibikaji na uhalali wa kikatiba.
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Bara, @HecheJohn , akizungumza jijini Dar es Salaam baada ya kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho, amesema wanaiunga mkono mitazamo ya makundi mbalimbali ya kijamii na waangalizi wa uchaguzi walioibua hoja kuhusu mwenendo wa uchaguzi huo.
Heche amesema kuwa ripoti za waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zinaonesha wazi uwepo wa mazingira yasiyokuwa na usawa pamoja na changamoto za uhalali wa mchakato mzima wa uchaguzi.
“Masuala yaliyoainishwa katika ripoti hizo yanaimarisha msimamo wa CHADEMA kuendelea kudai mageuzi ya kikatiba, kisheria na kitaasisi, ili Tanzania iweze kuendesha chaguzi huru na zenye kuaminika mbele ya wananchi wake na jumuiya ya kimataifa,” amesema Heche.

Indonesia
Bernard Musase retweetledi

‼️🚨POLICE HAVE KILLED A YOUNG MOTHER ‼️
Police in #Tanzania continue with extrajudicial killing and yesterday in Keisangora, Nyamwaga, Tarime distirct, @tanpol went to harass a woman who was selling local brew! Her daughter who had just given birth tried to defend her mother and was killed by police
Mauaji haya ya dhulma na kikatili hayana mwisho! Wamemwua binti mdogo Rhobi (picha hii ya zamani) aliyetoka kujifungua! Alikuwa anamtetea mama yake, polisi mmoja alimkaba na kumpiga na kumrusha kwenye mawe akafa! Ndugu walipeleka mwili polisi wakapigwa tia gas na polisi wametokomea na mwili wa Rhobi
So @SuluhuSamia usije na drama zako! Nyie ni wauaji jana, leo na kesho
Tunataka HAKI
We need JUSTICE then we will get peace💪🏽
#D9 #SamiaMustGo


English
Bernard Musase retweetledi
Bernard Musase retweetledi
Bernard Musase retweetledi

Baada ya haya yote inakuaje mtu anapata nguvu ya kuzungumza?? Inakuaje hana hata huruma ya uongo? Inakuaje unakana haya? Inakuaje unasema ni AI? Inakuaje unasema ni watu kutoka nje? Mara wamelipwa? Mara wachunguzwe? Kivipi yani? Kiaibu hata cha mbali hamna? Unyama sana 💔
Larry Madowo@LarryMadowo
EXCLUSIVE: Our CNN investigation found that Tanzanian police killed protesters, and signs of mass graves used to hide their brutality. We spoke to more than 100 people, used forensic analysis of videos, and satellite imagery. The govt didn't respond to our detailed questions
Indonesia
Bernard Musase retweetledi
Bernard Musase retweetledi

Tangu nitoke mahabusu ya polisi leo ni siku ya 6 line yangu @VodacomTanzania haifanyi kazi.. Hakuna simu inayoingia wala mimi siwezi kupiga simu ikatoka, hata namba 100 ya huduma kwa wateja haitoki:
Nimekuja Voda shop kujua na wao wanasema hawaoni shida au nisubiri masaa 24.
Kuna uwezekano mkubwa yakawa yale ya ndugu yetu Erick.
Voda ni muhimu mkaniambia kuna tatizo gani.
Nimeweka kwenye public ili kila mtu ajue.
Indonesia
Bernard Musase retweetledi
Bernard Musase retweetledi

Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote.
Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki.
Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu.
Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia.
Damu ya wenzetu haijamwagika bure na hakuna atakaefunika jambo hili bila uwajibikaji.
Msimamo wa Mwenyekiti uko thabiti, Yuko imara na mwenye afya njema.
Filipino

@ccm_tanzania Kwamba tatizo litengenezwe halafu litatulie nionekane niko vizuri, nimeipenda sana hii
Polski

Nikiwa Mama na Mlezi wa Taifa hili, Ninavielekeza vyombo vya Sheria na hasa ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka kuangalia kiwango cha makosa yaliyofanywa na vijana wetu, kwa wale ambao wanaonekana walifuata mkumbo na hawakudhamiria kufanya uhalifu wawafutie makosa yao. Nimewasamehe wote waliofuata mkumbo. #KaziNaUtuTunasongaMbele

Indonesia
Bernard Musase retweetledi

Huyo Mwana Mama ilikua mwaka 2019 aliongonza MAANDAMANO Nchi nzima SUDAN Kumng'oa Omar Bashir ambae mpaka leo kafungwa kwenye gereza alilolijenga mwenyewe alilokua akiwatesea wapinzani wake Leo hii anasota huko pake yake 🧐
Huyu Dada ni sawa na @mangekimambi


Indonesia









