BL 👷‍♂️

4.7K posts

BL 👷‍♂️ banner
BL 👷‍♂️

BL 👷‍♂️

@BaricKGL

Katılım Nisan 2012
6.6K Takip Edilen1.6K Takipçiler
BL 👷‍♂️
BL 👷‍♂️@BaricKGL·
@GoodluckMalekoJ @Cowwbama Naona anasifika kwa kuwa na ma- "apartments" na viwanja sehemu potential za Tz. Sijajua jimboni kwake atakuwa na ma- apartments mangapi 😅.. Miaka 30+ ukute hakuna uwekezaji mkubwa alioufanya kule kuwasaidia kidogo japo wananchi wake
Indonesia
0
0
1
27
It's MalekoGJ.
It's MalekoGJ.@GoodluckMalekoJ·
@Cowwbama Mzee ni Mbunge wa Isimanii ila Mkazii wa Iringa mjini
Indonesia
5
0
9
1.6K
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Kumbe mjomba alikua mbunge wa isimani?😳, na toka 1995 Nilifika nyang’oro sekondari nilikuta maisha ya walimu nikasema hata kwa maisha ya vip siwezi kuishi kule Kama sio Asas kuweka mifugo na yule api kufuga mbuzi hamna kitu tena, barabara ni mbovu mbovu mbovu🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Kutoka kihesa kwenda isimani ni kama unaenda nje ya mjii wakati hamna km nyingi kiivo ila ndio hapafai hata stand tu hamna
RaHeeM tweet media
Indonesia
28
33
314
26.6K
BL 👷‍♂️
BL 👷‍♂️@BaricKGL·
Ni msimu wa Mvua ,jitahidi upande mti/ miti kwenye kiwanja chako, au Shamba.🌴🌴 Kwa Pamoja tutunze Mazingira
Indonesia
0
0
1
30
BL 👷‍♂️
BL 👷‍♂️@BaricKGL·
Ripoti ya ile tume ya matukio ya Oct 29 inatoka lini..??
Indonesia
0
0
1
32
BL 👷‍♂️
BL 👷‍♂️@BaricKGL·
I really wish to see the roads. Such a good step towards AFCON 2027. Please don't forget to place waste bins and green space(s) along the roads.
Chinese Embassy in Tanzania@ChineseEmbTZ

With AFCON 2027 approaching, construction of the Arusha Stadium is gathering pace. Simultaneously, 19.9km high-standard access roads are underway to enhance surrounding transport. China stands ready to support Tanzania’s successful hosting of #AFCON2027 through quality infrastructure cooperation. Wakati AFCON 2027 inakaribia, ujenzi wa Uwanja wa Arusha unaendelea kwa kasi. Wakati huo huo, ujenzi wa barabara za kiwango cha juu zenye urefu wa kilomita 19.9 unaendelea ili kuboresha usafiri katika maeneo yanayouzunguka. China iko tayari kuunga mkono Tanzania katika kuandaa kwa mafanikio #AFCON2027 kupitia ushirikiano wa miundombinu bora.

English
0
0
0
46
Jino Kwa Jino
Jino Kwa Jino@ibramoore·
@BaricKGL Ikitokea gari ikapata breakdown kutakuwa na msongamano mkubwa maana njia itakua inatumika upande mmoja..
Filipino
1
0
1
7
BL 👷‍♂️
BL 👷‍♂️@BaricKGL·
BRT jmemalizika, ila barabara za pembeni ambazo ndo zinapita magari ni nyembamba. Naona ni kama tumerudi kulekule tena kwenye foleni, Kwanini barabara za pembeni zisingewekwa tatu au nne kabisa (kwenda na kurudi)?
Chinese Embassy in Tanzania@ChineseEmbTZ

Highly recognized for quality, efficiency & safety! The Lot 1 of Dar es Salaam BRT Phase III Project constructed by Chinese enterprise has obtained the acceptance certificate, which upgrades public transport, eases congestion, shortens travel time and boosts local economy & employment.

Indonesia
1
0
2
92
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Mtu kajoin Twitter 2011 afu leo 2026 anasema ana umri wa miaka 30. Humu kwa kujidogosha.
Indonesia
9
1
28
6.9K
BL 👷‍♂️
BL 👷‍♂️@BaricKGL·
@shibobo___ @SusannaN2 @IAMartin_ Busara wangesubiri wavune ndo wawapige stop, Kuvamia eneo la hifadhi ya misitu na kufyeka miti na kupanda mazao ni kosa kisheria. Ukiangalia hapo kama palikuwa ni msitu mwanzoni , idadi ya miti iliyofwekwa itakuwa mingi
Indonesia
0
0
0
23
R.M
R.M@shibobo___·
@SusannaN2 @IAMartin_ Sasa mahindi yanakausha miti? Ivi hua watu wanavichwa gani duh?
Indonesia
2
0
1
778
Susanna Nordlund 🐐 🇹🇿
Mahindi yamefyekwa leo katika kata ya Orgosorok na wanajeshi JWTZ na migambo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya Wilson Sakulo. Sababu ni Msitu Loliondo One.
Filipino
114
134
441
80K
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Zile series za kina Steve mweusi kina ndaro na wanzao mi Naonaga zinatengenezwaga kwa ajili ya watu wa vijijini simiyu shinyanga ndani ndani uko😁
Indonesia
47
32
572
38.5K
BL 👷‍♂️
BL 👷‍♂️@BaricKGL·
Kwa hapa bongo wapi wanauza plastic poles ?
Indonesia
0
0
1
99
Raphael Mheta
Raphael Mheta@RaphaelMheta·
Pray For Turiani.🙏
Morogoro, Tanzania 🇹🇿 English
22
17
92
20.2K
Shakur Faith
Shakur Faith@shaks_prince·
UPDATE: Nimetoka Kibaruani nikapata wasaa wa kumtembelea na kupiga story mbili tatu na yule maza wa jana Anaishi alone na anajishuhulisha na kukopesha vitu Ila wateja wengine wanamtukana na wengine wanampiga kabisa akienda kudai marejesho Hajaniomba pesa (japokuwa nimempatia👇
Shakur Faith tweet media
Kenya 🇰🇪 Filipino
177
166
648
19.7K
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Hivi ni kweli asali haiozi hata ikae milele
हिन्दी
17
5
75
8.9K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuoa Mwanamke uku ukiwa huna kazi ni hatari ni sawa na kujitanguliza kaburini. Anaweza kukwambia ntavumilia lakini baadae atakubadilikia vibaya mno na hautaamini kama ndo yeye. Prophet IPM- 2025
Indonesia
25
54
485
15.9K
IbRaH
IbRaH@Ibrah_Sheby·
Southern Highland wana ardhi nzuri sana kiukweli kule unaweza panda pesa na ikaota✍️
Suomi
3
5
40
2.2K
Shakur Faith
Shakur Faith@shaks_prince·
@BaricKGL Nitamkubusha tena. Nilijitahidi kumwambia machache tu. Ila natumai alinisikia. Na Mungu amponye kwa kila kitu 🙏🏽
Kenya 🇰🇪 Indonesia
1
0
2
205
Shakur Faith
Shakur Faith@shaks_prince·
Leo mda huu usiku natoka kibaruani, napita na gari kwenye daraja moja karibu na Kisongo, nikahisi kama mtu amejirusha kwenye maji. Ikabidi ni park pembeni chap, na kuingia ndani ya daraja. Mind you, jana na leo mvua zimenyesha sana Arusha na maji ni mengi mno.👇
Shakur Faith tweet mediaShakur Faith tweet mediaShakur Faith tweet mediaShakur Faith tweet media
Kenya 🇰🇪 Indonesia
123
109
608
46.7K
Ignatius
Ignatius@ignyharaz2·
Approach with caution
Ignatius tweet media
English
19
27
440
15.7K